Masanjaone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 844
- 597
Mkulima smith anatumiwa na waliotoa tamko lakuwa uchaguzi wawenyeviti wa vitongoji haukuwa huru utadhani walialikwa. Hao ndo mabeberu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkulima smith anatumiwa na waliotoa tamko lakuwa uchaguzi wawenyeviti wa vitongoji haukuwa huru utadhani walialikwa. Hao ndo mabeberu mkuu
HahahahTaarifa inasema ni jumamosi huko Mwanza. Watumishi wote wa umma kama Waalimu na wauguzi wameshapewa agizo la kufika uwanjani kuonyesha "UZARENDO"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mko wangapi mnaotaka kujua kila kitu ?Sisi kama wanunuzi wa hizo ndege kupitia kodi zetu tunahaki ya kujua kilichojiri!
Hahaha sawa Mpwa
Picha ya nini? Sema km unataka tuwataje
Ukweli upi!?
Angeendelea kutwambia ni hatua zipi zilizochukuliwa mpaka ndege hiyo kuachiwa. .. Kama tumelipa basi tuambiwe ni kiasi gan? Kama tumeshinda kesi basi huyo mkaburu atatulipa sh ngapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafaa kuwa mtunzi na mwimbaji wa taarabu .
Umeambiwa na mleta Post kuwa mawakili wameondoka na ndege kikomandoo, rejea Entebbe Airport Raid ya waizraeli.