Uchumi umeimarika Sasa?alikuwa amaimarisha uchumi
Kwani wakati watangulizi wake wanaongeza mishahara ya watumishi, walikuwa wameweka mazingira wezeshi ya uzalishaji?Hivi unawezaje kuanza kuongeza mishahara kabla huweka mazingira wezeshi ya uzalishaji ?
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Hayo ndiyo yanajustify watumishi wa umma kutokupewa nyongeza ambayo ipo kisheria na ina madhara chanya kwenye mafao yao? Kwanini wana Lumumba mna akili nzito kiasi hiki, je unaelewa madhara ya kutokuwapa nyongeza kila mwaka kama sheria inavyotaka? Jibu swali kama huwezi muite KM Bashiru akusaidie.Ndugu yangu kumbuka sheria ni msumeno inakata mbele na nyuma. Ukiwa mfanyakazi unalindwa na sheria sawa lakini ni lazima pia mfanyakazi ati sheria za kazi. Mfano uwajibikaji, kutokupokea rushwa, vyeti feki, wizi hizi zote zinamuondolea kinga. Nchi kabla Magufuri hajaingia madarakani wenyenchi yao ambao ni wapiga kura walikuwa na malalamiko Kila kona yanayohusu rushwa, kuzalauliwa na hao watumishi wa uma. Kucheleweshewa kwa makusudi kwajili ya urasim. Kwakifupi walikuwa watumishi wengi wezembe walirudisha nyuma uchumi wa nchi wakati huohuo wao wanaendelea kudai maslai haki. Au umejisaulisha ndugu yangu, nasema uongo ndugu yangu. Ilikuwa imefika wakati ukitaka kumuandikisha mtoto darasa la kwanza mwalimu anakuomba pesa la sivyo atakwambia nafasi zimejaa. Sasa jemedali wetu mtetezi wawanyonge JPM ameingia kaweka mambo sawa tunampa mitano mingine ili kazi iendelee.
Mataga walio wengi hata kazi hawana, wanabangaiza vibarua Lumumba, wanalipwa posho hata mshahara hawaujui. Hawajui increment wala fao la kujitoa. Kwa ujumla hawajui chochote zaidi yakusema CCM oyee, na hata elimu zao tia maji tia maji, msomi gani utamuajiri umlipe posho tu bila mshahara? Hawa wananjaa sana wasidhani hatuwajui.Kuondoa FAO la kujitoa Ni ugomvi mkubwa na Wafanyakazi private sekta.
Mwaka 2018 Magufuli na CCM walifuta FAO la kujitoa bila kujali maoni ya TUCTA.
Wafanyakazi sekta binafsi walilalamika, CCM NA MAGUFULI hawakujali.
NSSF wanalipa 33% ya mshahara wa Mwezi na watu hawajui Ni Lini watapata Pesa zao.
Watu wote wanastahili fao la kujitoa.
Wale MATAGA wanaitetea CCM hawaonekani kwenye Uzi huu.
Hao ni vijana wa lumumba pale hawajui lolote zaidi ya kutetea Zile buku 2 kwa sikuUnaandika pumba, bilashaka wewe ni mchumia tumbo au unakaa kwa dada yako!!
Acha tunaojielewa tumshughulike huyu katili, jizi, Mbaguzi Jiwe
Je sheria inasema hivyo kuhusu kupandishwa mishahara ya watumishi wa umma, je pia Kuna exceptional yoyote katika sheria inayotaka mtumishi wa umma aongezewe mshahara kila mwaka? My friend kwa sasa watu elimu iko kwa kichwa sanaWewe acha unafiki unafikiri hutoba ya jana alisoma akiwa chumbani kwako tu. JPM amejipambanua kwakusema ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Aidha jana ametoa sababu za wazi kabisa kwamba alikuwa amaimarisha uchumi akimanisha ukusanyaji wa kodi, kuziba mianya ya rushwa, wafanyakazi hewa, kuzibiti mafisadi, kuongeza nidhamu na uwajibikaji kazini. Sasa ameona mambo yapo kwenye right truck, uchumi umekua nidhani kazini na uwajibikaji umekua sasa mishahara itapanda kwa speed ya kimbunga.
Sisi wananchi wajasiliamali tumemuelewa sana. Tunajua miaka mitano tulikotoka hapa tulipo na tunako elekea. Usiishi kwa mazoea utafilisika ndugu amka. #JPM mi5 tena kazi iendelee
Uchumi umeimarishwa na bado unatumia TECNO F3 ya laki 2.huo uchumi haujakufikia? 😀Kama amesema serikali yake inapanga kuongeza mishahara ya wafanyakazi ni kwasababu tayari ameshaujenga uchumi kwa kiwango cha kuruhusu kuwepo kwa nyongeza hiyo.hata hivyo kwa sasa inawezekana kutokana na namna alivyoujenga uchumi katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake.
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Bro usipanic ukweli ndo huo. Misukule hamuwezi amini kuwa mzee JPM anashinda.Mbuzi wa dar wamekuzidi akili
Acha uongo, ustronger upi?Tatizo la serikali hii ya awamu ya 5 ni kutoa kipaumbele katika mambo ambayo hayana msingi..............
Angalia sasa jinsi walicyokuwa wakihangaika na kuwanunua wabunge wa Chadema, wakiamini kuwa ndiyo wanakiua chama hicho.............
Sasa angalia jinsi walivyoingia hasara, badala ya kukiua chama hicho jinsi walivyokuwa wakiwaza, ndiyo kwanza kimekuwa more stronger and stronger
Mkuu nauwezo wa kukuajili kabisa. Achilia mbali kuwa naishi wapi.Unajitegemea au unaishi kwa mtu/ndugu yako?
Wadanganye wake waisome namba 5tena.Wafanyakazi msicheke na kima safari hii.