Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

Kila mwaka utasikia sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi![emoji1782][emoji1782][emoji1782]
 
Itakuwa ni ushauri wa mama Jesca huu baada ya kulalamikiwa na walimu wenzake aliowatelekeza sio bure
 
Ahsante kama umeshiba tayari.
Karibu sana Heineken baridiii na kitimoto hapa

Wewe

Una kinyama Cha mkundi kinakuwasha. Sema watu wamchague JPM wapo wataomchagua, sio kuleta porojo wakati hiyo miradi mikubwa bado haijakamilika.

Wafanyakazi wanajua miaka mtano ilivokuwa na 28 oct wanna Jambo lao.
Mzee mie ndio ba$#a lenu. JIANDAENI kuliwa
 
Kama iko kwenye ilani yenu ya ccm mbona hamjaongeza mishahara kwa miaka yote hiyo? Lissu ni kiongozi bora kabisa, mfano ni pale alipopewa jukumu ya kuwa Rais wa mawakili wasomi tanganyika
Nini alifanya
 
Imekula kwake yeye na kiburi chake cha uraisi akilazimisha nitaingia barabarani Niko na dumu la petrol ili sasa tuoneshane kua tumechoka tunataka haki zetu kama watanzania
 
Mfa maji; enenda salama
 
Ni kwanini Rais Magufuli atoe ahadi hivi sasa kwenye kampeni ya uchaguzi, wakati aligomea kata kata katika kipindi chote cha utawala wake wa miaka 5?
 
Akisha pata atawaambia ambae hataki kazi aache maana kuna vijana wengi mtaani hawana kazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…