Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Ina maana zile T-Shirt za Makufuri Baki Hazina dili TenaRais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Wewe mwenye akili unionyeshe wapi niliwasemea nyie au nilisema sie ( wana ccm na wapenda maendeleo familia yangu ikiwemo ) tunaomba aendelee miaka 20 tena bila uchaguzi?Huna akili ww wap niliposema watz hatumtaki,nilichoandika hapo ukimpenda ww na familia yako inatosha sio utusemee na ss
Sent using Jamii Forums mobile app
Peleka upumbavu wako huko...Wewe mwenye akili unionyeshe wapi niliwasemea nyie au nilisema sie ( wana ccm na wapenda maendeleo familia yangu ikiwemo ) tunaomba aendelee miaka 20 tena bila uchaguzi?
wasiwasi wa kujitengenezea ili kufanya siasa za matukio. kwani jpm aliwahi kusema ataongeza muda ikiwa atashinda muhula wa pili...sasa ni wazi cdm baada ya kuishiwa hoja imebaki kujitekenya na kucheka wenyewe. sijui ndio sera gani hii. dikteta gani anawahakikishia watu ataheshimu katiba kuhusu muhula wa urais.Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Huzi huu utakuwa kumbu kumbu nzuri huko mbeleni yetu macho
hahahahajaIshakua 10, si ulituambia unataka mitano baba, tuonee huruma .
UNGEMFANYA NINI?angeongeza aone
ndo akili zake hizo wakati wananchi wenyewe huwa anawatuma wasimamishe misafara yake na mabango
cc tanga walimu na watumishi wengine walilazimishwa waende kumshangilie hahaha maigizo oyyyyy
Samahani wewe si ukuku au mbona unapingana na wenzako wanaotaka kumbakisha?Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
Si Mara ya kwanza kukana matamshi yake hata hili atalikana mwishoni mwa utawala wake, Alafu kwani nani kamwambia atatawala miaka kumi?
Sawa ndugu asante sana MAPOOOOFVUUUU gunia zima la sabuni
Wanasiasa sio wa kuwaamini kabisa!! Kitu anachosema kweli ni JINA LAKE TU, ili ukienda kwenye karatasi ya kupigia kura. Usipoteee!!Ishakua 10, si ulituambia unataka mitano baba, tuonee huruma .
Upumbavu ndio unaokusumbua boya ww huyu mzee siku akitoka madarakan mtakuwa na wakati mgumu sanaSawa ndugu asante sana MAPOOOOFVUUUU gunia zima la sabuni