mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Siyo TMA bali ni TMAA- Tanzania Minerals Auditing AgenciesTatizo Mh.Rais huwa anashughulikia tatizo kwa kuangalia mtu au kikundi.
Alitakiwa ashughulikie tatizo hili kimfumo na siyo ki mtu au kisehemu.
Office iliyotumiwa ni office ya waziri mkuu, ambae ni msaidizi wake mkuu. Hatujasikia maelekezo ya hadharani kutoka kwake kama alivyotoa ya wafanyakazi wa TMA na Mkurugenzi wa Geita.
Mi nadhani kuna double standard katika kushughulikia matatizo ya nchi hii.