Rais Magufuli njoo vyuo vikuu ujionee. Manunuzi ya magari ni suala pana kuliko linavyotajwa mbele yako

Rais Magufuli njoo vyuo vikuu ujionee. Manunuzi ya magari ni suala pana kuliko linavyotajwa mbele yako

Na UKIRITIMBA ni nini, msaada tafadhali
Ukiritimba ni hali ya kundi la watu wenye nia ovu kutumia mfumo kutawala kila kitu ili kujinufaisha wenyewe huku wenzao wakiumia. Mfano mzuri wa ukiritimba ni ubeberu
20201118_230335.jpg
 
Mbona hili jambo ni jepesi lakini watu wanalifanya gumu.... ni rahisi sana. Kila ngazi serikalini ina stahili zake, haiwezekani mkurugenzi wa wilaya akatembea na gari sawa na Waziri. Angenunua gari la kawaida, asingepata hii misukosuko. Hapo ndipo alipokosea.
RC anatumia v8
DC v8
DED v8
Wachini kidogo nao wanatumia v8

Ova
 
Ukiritimba ni hali ya kundi la watu wenye nia ovu kutumia mfumo kutawala kila kitu ili kujinufaisha wenyewe huku wenzao wakiumia. Mfano mzuri wa ukiritimba ni ubeberu
Hata humu ndani mwetu tuna mabeberu
Na mabepari.....
Beberu siyo mpaka atoke nje

Ova
 
Hata humu ndani mwetu tuna mabeberu
Na mabepari.....
Beberu siyo mpaka atoke nje

Ova
Mabeberu wapo kila mahali na hawafai hata wawe waafrika, wachina, wabelgiji, wamarekani..... beberu ni unyonyaji wa wazi
 
Mabeberu wapo kila mahali na hawafai hata wawe waafrika, wachina, wabelgiji, wamarekani..... beberu ni unyonyaji wa wazi
Basi humu kwetu ndiyo tunao na wanajinufaisha wao tu na wataendelea kuwepo na kuwepo
Tuwe wapole tu

Ova
 
Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana!! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati shule hospitali na madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu wa kudumu na ni sehemu ya rushwa za manunuzi.

Hata vyuo vikuu kila leo kuna magari ya kifahari yananunuliwa kwa ajili ya viongozi wakati vyuo hivi haviwezi hata kulipa pesa za likizo za wafanyakazi, hawawezi kuboresha mazingira ya kusomea, hawawezi kujenga nyumba za wanafunzi. Rais Magufuli, tembelea UD, tembelea SUA, nenda UDOM, Mzumbe, Muhimbili, kote kuna magari ya aina hii yamenunuliwa kwa kipindi hiki.

Kama vyuo vikuu wako hivyo, unategemea nini kwenye halmashauri kwa madiwani? Wakurugenzi hawa wamesoma vyuo hivi visivyojua nini muhimu kuliko kingine na rushwa zao. Ni vyuo hivi hivi vilivyokuwa vinaiba pesa za wanafunzi kupitia bodi ya mikopo. Bahati mbaya sana, wanaachwa bila kuchukuliwa hatua. Hawa ndo wnaojenga tabia ya waajiliwa wa baadaye.
Hivi Mnamshangaa Mkurugenzi aliyenunua Gari la milioni 400 huku Mkimuacha "MITANO TENA" akinunua Midege ambayo haina faida yeyote kwa Mtz.? Nani katuroga? Midege hasara tupu,utanunuaje midege mbayo haina faida huku watoto wanatembea hadi kilometer 10 kwa ajili ya shule? Barabara za mitaani kibao kipindi cha mvua hazipitiki ,hivi tukiuza dege moja si tunaweza kuweka molamu na vikaravati vodogo vidogo barababara zote za mitaani kuepuka adha kipindi cha mvua?
 
Huyu anayenunua ndege, nampa nafasi ya uaminifu kwa sababu hakuna anayepanda ndege 10 peke yake:a anaweza kuwa ametia hasara ya kibiashara lakini kosa lake alilifanya kwa fikra njema. Huyu Mkuu wa chuo cha UD, SUA, MUHAS, Mzumbe, nk. Hawana sababu yoyote njema kwa waajiliwa wa vyuo hivyo. Lengo ni kupanda magari ya kifahari.
 
Huko Geita Mkurugenzi kasimamishwa kazi. Ni safi sana!! Sababu ziko wazi. Pesa za CSR haziwezi kuwa za gari la Mkurugenzi, wakati shule hospitali na madaraja ni hovyo. Mbaya zaidi ni gari la milioni 400! Tatizo hili liko kote! Hiyo ofisi ya waziri mkuu inayopitisha vibali kama hivyo ina udhaifu wa kudumu na ni sehemu ya rushwa za manunuzi.

Hata vyuo vikuu kila leo kuna magari ya kifahari yananunuliwa kwa ajili ya viongozi wakati vyuo hivi haviwezi hata kulipa pesa za likizo za wafanyakazi, hawawezi kuboresha mazingira ya kusomea, hawawezi kujenga nyumba za wanafunzi. Rais Magufuli, tembelea UD, tembelea SUA, nenda UDOM, Mzumbe, Muhimbili, kote kuna magari ya aina hii yamenunuliwa kwa kipindi hiki.

Kama vyuo vikuu wako hivyo, unategemea nini kwenye halmashauri kwa madiwani? Wakurugenzi hawa wamesoma vyuo hivi visivyojua nini muhimu kuliko kingine na rushwa zao. Ni vyuo hivi hivi vilivyokuwa vinaiba pesa za wanafunzi kupitia bodi ya mikopo. Bahati mbaya sana, wanaachwa bila kuchukuliwa hatua. Hawa ndo wnaojenga tabia ya waajiliwa wa baadaye.
Kuna mtu kanidokeza; maprofesa hawa wanaojiita ma-VCs walipokuwa kwenye mkutano wa pamoja kuna mmoja alisikika akijivunia gari alilokwenda nalo. Tabia hii ni ya watu waliotoka vijijini kwenye maisha magumu. Walizoea wakinunuliwa kaptura mpya, hupita kila kaya wakionesha maajabu waliyoyapata. Maprofesa bado hawajawa watu wa kufikiri ugunduzi. Wanafikiria kuwaonesha majirani.

NAsikitika kwamba vyuo vyote hivi nashuhudia wanafunzi hawana hostels, wanaishi vichochoroni kumbe VCs wakitanua na magari ya milioni 400! Wakurugenzi wanaonewa bureeee! Profesa mjinga wa kiwango hiki anmfundisha nini mwanafunzi wake?
 
Tatizo Mh Rais huwa anashughulikia tatizo kwa kuangalia mtu au kikundi.

Alitakiwa ashughulikie tatizo hili kimfumo na siyo ki mtu au kisehemu.

Office iliyotumiwa ni office ya waziri mkuu, ambae ni msaidizi wake mkuu. Hatujasikia maelekezo ya hadharani kutoka kwake kama alivyotoa ya wafanyakazi wa TMAA na Mkurugenzi wa Geita.

Mi nadhani kuna double standard katika kushughulikia matatizo ya nchi hii.
Nahisi kuna jambo. Mbona ofisi hii inapunguziwa matawi kila siku? Ofisi nyingi zimehamishiwa ofisi ya rais.
 
PM awe makini. Ofisi yake kuanza kuhusishwa husishwa sio ishara njema... Kumbuka ndio chaguo langu 2025 kwa ofisi kubwa kabisa nchini
 
Hiyo CCM kabla ya Magufuli ilikuwa imeoza kwa tabia ya kubebana na matumizi mabaya.

Tena usituambie tena habari za CCM.
CCM kama CCM yenyewe bila mtu sahihi pale juu ni janga kwa taifa.
Kwaio kwako Magu ndio mtu sahihi au? 😂😂
 
Huko hawezi fukua makaburi maana anajua watafukua vyeti vyake fake.
 
V8 Kama hizo waanaenda wapi?hakika ni matumizi mabaya ya fedha.udsm,udom,mzumbe NK kazi zetu nyingi ni hapo mlipo
 
Policy Yao gari wanannunua Toyota
Halafu sehemu ya mkataba toyota watafanya
Maintenance na service Hadi likifikisha kilometres 150,000/-

Halafu likifikisha kilometres hizo wanaliuza
Linapigwa mnada ...
Hawakai na gari zilizo zidi kilometres 150,000/..

Kwahiyo hawana kabisa gharama za mabilioni
Za kutengeneza magari kama ambazo
Ziko mashirika mengine ..
Hizo gharama ya service Toyota (tz)LTD unazifahamu?
Je hiyo minada ni ya uwazi kweli au kujitwalia kama nyumba za serikali?
 
Back
Top Bottom