Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Hizi siku chache zilizobaki, unaweza kuzitumia vizuri kwa kuwaongezea mishahara watumishi. Hawa ni watu wasio na kinyongo na huridhika kwa kitu kidogo tu.
Ili kupunguza 'technicalities' nakushauri uongeze 'flat tate' yaani ukiamua kuongeza, ongeza bila kujali ngazi ya mshahara wa mtumishi. Kwa mfano, unaweza kuongeza 50,000/= kwa kila mtu.
Nakuhakikishia watumishi ni watu wasio na kinyongo na watakuelewa. KUMBUKA uliwaahidi mwaka 2015 lakini hujawahi kutekeleza ahadi yako.
Hiyo ahadi uliyotoa jana ukiwa PWANI, watumishi wanailinganisha na ile ya 2015. Ili ahadi hiyo iwe na nguvu, wakati ni sasa.