Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ongeza mishahara mwezi huu, watumishi watakuelewa

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ongeza mishahara mwezi huu, watumishi watakuelewa

Akina nani wanao hujumu uchaguzi kama siyo watumishi wa umma?
Wanaohujumu uchaguzi Ni watumishi wenye vyeo vya juu,Ila hawa watumishi wa chini ambao Ni wengi wapo against na Mkulu maana namba imesomeka ilivyo kwao.
 
Kwa wale wa NMB nasikia fresh, mtujuze kama ametekeleza ahadi yake
Wewe umesikia NMB tayari halafu usisikie habari ya ongezeko? Ni kuwa acha kujipa matumaini hewa.
 
Hata akiongeza mashahara haitasaidia, labda ni kwa watumishi mazuzu tu ndiyo wanaweza kumchagua.
 
Back
Top Bottom