Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Bado haitasaidia kituKunafununu keshaongeza huko.
Hizi siku chache zilizobaki, unaweza kuzitumia vizuri kwa kuwaongezea mishahara watumishi. Hawa ni watu wasio na kinyongo na huridhika kwa kitu kidogo tu.
Ili kupunguza 'technicalities' nakushauri uongeze 'flat tate' yaani ukiamua kuongeza, ongeza bila kujali ngazi ya mshahara wa mtumishi. Kwa mfano, unaweza kuongeza 50,000/= kwa kila mtu.
Nakuhakikishia watumishi ni watu wasio na kinyongo na watakuelewa. KUMBUKA uliwaahidi mwaka 2015 lakini hujawahi kutekeleza ahadi yako.
Hiyo ahadi uliyotoa jana ukiwa PWANI, watumishi wanailinganisha na ile ya 2015. Ili ahadi hiyo iwe na nguvu, wakati ni sasa.
View attachment 1605741
Kuna kada za ulinzi zimeshakula mshahara jioni ya leo nasikia hamna omgezeko lolote japokuwa sina uhakika na taarifa hiziHizi siku chache zilizobaki, unaweza kuzitumia vizuri kwa kuwaongezea mishahara watumishi. Hawa ni watu wasio na kinyongo na huridhika kwa kitu kidogo tu.
Ili kupunguza 'technicalities' nakushauri uongeze 'flat tate' yaani ukiamua kuongeza, ongeza bila kujali ngazi ya mshahara wa mtumishi. Kwa mfano, unaweza kuongeza 50,000/= kwa kila mtu.
Nakuhakikishia watumishi ni watu wasio na kinyongo na watakuelewa. KUMBUKA uliwaahidi mwaka 2015 lakini hujawahi kutekeleza ahadi yako.
Hiyo ahadi uliyotoa jana ukiwa PWANI, watumishi wanailinganisha na ile ya 2015. Ili ahadi hiyo iwe na nguvu, wakati ni sasa.
View attachment 1605741
Kuna kada za ulinzi zimeshakula mshahara jioni ya leo nasikia hamna omgezeko lolote japokuwa sina uhakika na taarifa hizi
Mhhh.. Za usoUtakuwa mjinga kumwelea mtu ambaye hakukupa mshahara kwa miaka 5 halafu juma moja kabla ya uchaguzi anakuhonga nyongeza ili umpe kura. Kuna Watanzania wajinga lakini siyo wote. Wenye akili pia tupo.
Hakuna kitu.Kuna kada za ulinzi zimeshakula mshahara jioni ya leo nasikia hamna omgezeko lolote japokuwa sina uhakika na taarifa hizi
Aaaaa basi hawahitani nyomgeza etiDuuh... Ila hao jamaa walishaongezwa kitambo na kila mwaka wa fedha, wao imo
Mpaka hapo mwenyewe umeshapata jibu lako.cdm hamna uwezo wa kufanya lolote .Huyu anakiburi sn ngoja CDM wamunyooshe, sema kundi la watumishi wa umma linawatu wapumbavu sn wengi ndiyo wanaohujumu upinzani ili jiwe arudi tena aendelee kuwatesa