Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ongeza mishahara mwezi huu, watumishi watakuelewa

Aongeze mwezi huu kutoka kwenye bajeti gani?
 
Huyu Magu The Hague inamuhusu..namuonea huruma sana mama Janet naye atasombwa tu kama mke wa Gbagbo
Mwaka 2015 pia mlipiga huu mkwara wa kwenda The Hague lakini mpaka leo hamjaenda
 
We jamaa una akili nyingi sana,unataka kumuingiza mwenzio kingi.ye mwenyewe hajui hatma ya ajira yake.
 
Hahaha...hakuna muda tena, subirini tu huu uchaguzi utawaletea nini...
 
Mwaka wa 6 na miezi 6 kazini sijapanda daraja ewe mungu tupa jicho lako kwetu
 
Sio rahisi kutumia fedha bila bajeti. Hata hivyo suala la nyongeza ya mishahara linahitaji mipango kweli kweli kwani ni fedha nyingi sana
 
Sio rahisi kutumia fedha bila bajeti. Hata hivyo suala la nyongeza ya mishahara linahitaji mipango kweli kweli kwani ni fedha nyingi sana
Mh kikwete katika uongozi wake pamoja na ufisadi mwingi uliokuwepo aliweza kuongeza mishahara kila mwaka.
 
Kwani payroll zinaoneshaje?
 
2015 alitoa ahadi ambazo utekelezaji wake ulikuwa Ni 2015-2020.Mishahara kafeli kabisaaaaaa.Kama ahadi ya mishahara alifeli kuitimiza je hii anayotoa atatimiza? Huyu Ni Karl Peters na mikataba ya kilaghai
 
Kuna kada za ulinzi zimeshakula mshahara jioni ya leo nasikia hamna omgezeko lolote japokuwa sina uhakika na taarifa hizi
Itakuwa kweli hamna ongezeko.Halafu kada za ulinzi nao wanamchukia hatariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…