Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Mtumishi wa namna Hiyo ndo alipaswa kutumbuliwaKama kuna mtumishi atakayempigia kura Rais Magufuli kwakuwa ameongezewa mshahara mwezi huu na kuisahau miaka 5 ya mateso basi hana akili huyo mtumishi wa umma.
Hakawii. Roho ya hatari Sana kupewa wadhifa mkubwa kama Rais.Alifaa kuwa Baba WA nyumba Tu afichiwe Siri na mkewe na watoto.Umeona eeeh,Kwanza anaweza ongeza halafu akapora
Akina nani wanao hujumu uchaguzi kama siyo watumishi wa umma?Hujawahi wastudy watumishi wa umma vizuri.Laiti Kama kura zingekuwa zinapigwa na watumishi pekee yake Magufuli angefeli saa mbili asubuhi.
Hata mke wake sidhani kama atamchaguaMi ninamshukuru aliegundua kupiga kura kwa siri.
Huyu Magufuli watumishi wake wa ikulu wengine hawatamchagua
Asante mkuu.Ujumbe Madhubuti Ndugu zangu msijisahau
Kha!kha!kha?,Kwamba kikulacho ki nguoni!!!Mi ninamshukuru aliegundua kupiga kura kwa siri.
Huyu Magufuli watumishi wake wa ikulu wengine hawatamchagua
Wanaohujumu uchaguzi Ni watumishi wenye vyeo vya juu,Ila hawa watumishi wa chini ambao Ni wengi wapo against na Mkulu maana namba imesomeka ilivyo kwao.Akina nani wanao hujumu uchaguzi kama siyo watumishi wa umma?
Wewe umesikia NMB tayari halafu usisikie habari ya ongezeko? Ni kuwa acha kujipa matumaini hewa.Kwa wale wa NMB nasikia fresh, mtujuze kama ametekeleza ahadi yake
Bado mkuuKwa wale wa NMB nasikia fresh, mtujuze kama ametekeleza ahadi yake
Umeongea kwa usahihi kabisaWanaohujumu uchaguzi Ni watumishi wenye vyeo vya juu,Ila hawa watumishi wa chini ambao Ni wengi wapo against na Mkulu maana namba imesomeka ilivyo kwao.