Kama kwenda kunywa juice kama jamaa zenu wa Ufipa sawa.Ikulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kwenda kunywa juice kama jamaa zenu wa Ufipa sawa.Ikulu
Mfumo wa maisha ya njia ya mkato tulioukumbatia kuanzia enzi za Mzee Mwinyi, madhara yake ndio hayo uliyoyaandika.
Hao wa vijijini ambao wanaonekana kutokuwa na umuhimu ndio zaidi ya asilimia 80 ya wapiga kura. Hawa wa majijini wanaishi kinyonyaji tu, aina ya maisha ambayo moja akitumbuliwa wanaumia watu 10,000.
Kama kwenda kunywa juice kama jamaa zenu wa Ufipa sawa.
Nitashangaa mpaka nakufa.Yaani kipindi magufuli anapitishwa kuwa rais nilishangaa sana,bado naendelea kushangaa
Irejee post yakoWewe umeona kuna vitisho hapo? Ndugu mwenye full hope.!
Mkuu endelea kujidanganya kuwa ushawishi wa kisiasa upo kwa sisi wa facebook na twitter.Phillipo ni mara mia kuishi mjini kiujanjaujanja kuliko kuishi kijijini na kumiliki heka tano wakati pato lako haliwezi kuvuka 1m@yr. Ukiwa mjini kwa ujanja ujanja unaweza kufikia 5m@yr japo matumizi ni makubwa.
Halafu hiyo ya kusema eti huko vijijini ndio kuna wapiga kura lakini huku mijini hakuna huo ni uongo au umekariri. Hii ni janja ya ccm kuiba kura kwa kile nilichokuambia huko vijijini ndio kulikojaa watu wenye ufahamu mdogo wa mambo, hivyo ni rahisi kupika idadi ya wapiga kura kwani wamejaa makondoo. Huku mjini kuna idadi kubwa ya wapiga kura na wengi wanahamasa hasa kwa vyama vya upinzani. Tena zamani ilikuwa inasemwa wanawake ndio wapiga kura, lakini hasa kuanzia 2010 kwa hamasa ya cdm vijana walikua wengi hadi kuwa na matumizi makubwa na mabaya ya vyombo vya dola. Iwapo vyama vya upinzani hasa cdm wakisusia uchaguzi idadi itakuwa ndogo hasa kwa mijini na sio vinginevyo. Hivyo hilo la kusema eti vijijini idadi ya wapiga kura ni 80% katafute mjinga wa kumuambia hayo. 80% ya wapiga unayosema ww ya vijijini ilikuwa enzi za Nyerere sio sasa.
Mkuu endelea kujidanganya kuwa ushawishi wa kisiasa upo kwa sisi wa facebook na twitter.
Mkuu kama unafikiri ni rahisi tu kama kuagiza mchemsho kwa Mama Ntilie gombea tu 2020 ushinde.Mkuu uphill ukiiongelea ikulu ya Tanzania unaiongelea kwa mapozi utadhani ni mahali pa maaana kumbe ni uchafu mtupu kama uchafu mwingine. Hivi ingekuwa whitehouse au Barkingham Palace si ndio ungekufa kabisa.
Acha hizo dogo, pale ni mahali pa kawaida sana na yoyote mwenye akili timamu anaweza kukaa na kuongoza hii nchi. Narudia tena, mtu yoyote mwenye akili timamu hata kijana mdogo anaweza kuongoza nchi hii kutokea hapo ikulu hasa ukizingatia yaliyofanywa na marais waliopita au yanayofanyika sasa. Kama kuna sifa tofauti na kuwa na akili timamu ya kuongoza nchi hii hebu taja tuone.
Mkuu kama unafikiri ni rahisi tu kama kuagiza mchemsho kwa Mama Ntilie gombea tu 2020 ushinde.
Hili NENO bepari/mabepari hua sielewi hasa hua mnamaanisha nini? Naona kama hua mnawachukulia kama watu wabaya sana while not. Kimsingi Matajiri wote wakubwa hata Tanzania ni mabepari, mtu kama Mengi, Rostam, MO, mzee wa Azam nk ni mabepari.Mwaka huu wa JPM ni wa mwisho. Akivuka basi hakuna kitakachomtoa kwenye reli. Ila akiyumba amekwisha na watanzania tumekwisha maana najua mabebari yanajua uzuri/umahiri wa kiongozi huwa ni miaka 3, yakimshindwa huwa yanakata tamaa. Naamini anawashauri wa UWT wazuri sana.
Then sijui kama unaelewa maana halisi ya vitisho, ukisimama kwenye haki na endapo uyaongeayo una uhakika nayo hofu inatoka wapi kuwa mtu anatishwa?Irejee post yako
Unafundisha chuo gani vile???Be careful NOT Be catefuly.
Even the Spelling is wrong.
Kama Kiingereza hakipandi, tumia Kiswshili. Acha ujuaji.
Kwa nia njema ukamtisha!!!!Then sijui kama unaelewa maana halisi ya vitisho, ukisimama kwenye haki na endapo uyaongeayo una uhakika nayo hofu inatoka wapi kuwa mtu anatishwa?
Nimemshauri tu kwa nia njema kama anadhani yupo tayari kutetea anacho kiamini sidhani kama kuna vitisho hapo
Ila kama anatumika ama kutumiwa basi wanaomtumia waweza kuwa ama na hasara au faida kwa wakati wake.[/QU
Kama ametishika ni jambo jema kunguru muoga huishi maisha marefu..Kwa nia njema ukamtisha!!!!