Rais Magufuli relax, hawataki Urais wako bali wanataka ujivuruge


Phillipo ni mara mia kuishi mjini kiujanjaujanja kuliko kuishi kijijini na kumiliki heka tano wakati pato lako haliwezi kuvuka 1m@yr. Ukiwa mjini kwa ujanja ujanja unaweza kufikia 5m@yr japo matumizi ni makubwa.

Halafu hiyo ya kusema eti huko vijijini ndio kuna wapiga kura lakini huku mijini hakuna huo ni uongo au umekariri. Hii ni janja ya ccm kuiba kura kwa kile nilichokuambia huko vijijini ndio kulikojaa watu wenye ufahamu mdogo wa mambo, hivyo ni rahisi kupika idadi ya wapiga kura kwani wamejaa makondoo. Huku mjini kuna idadi kubwa ya wapiga kura na wengi wanahamasa hasa kwa vyama vya upinzani. Tena zamani ilikuwa inasemwa wanawake ndio wapiga kura, lakini hasa kuanzia 2010 kwa hamasa ya cdm vijana walikua wengi hadi kuwa na matumizi makubwa na mabaya ya vyombo vya dola. Iwapo vyama vya upinzani hasa cdm wakisusia uchaguzi idadi itakuwa ndogo hasa kwa mijini na sio vinginevyo. Hivyo hilo la kusema eti vijijini idadi ya wapiga kura ni 80% katafute mjinga wa kumuambia hayo. 80% ya wapiga unayosema ww ya vijijini ilikuwa enzi za Nyerere sio sasa.
 
Kama kwenda kunywa juice kama jamaa zenu wa Ufipa sawa.

Mkuu uphill ukiiongelea ikulu ya Tanzania unaiongelea kwa mapozi utadhani ni mahali pa maaana kumbe ni uchafu mtupu kama uchafu mwingine. Hivi ingekuwa whitehouse au Barkingham Palace si ndio ungekufa kabisa.

Acha hizo dogo, pale ni mahali pa kawaida sana na yoyote mwenye akili timamu anaweza kukaa na kuongoza hii nchi. Narudia tena, mtu yoyote mwenye akili timamu hata kijana mdogo anaweza kuongoza nchi hii kutokea hapo ikulu hasa ukizingatia yaliyofanywa na marais waliopita au yanayofanyika sasa. Kama kuna sifa tofauti na kuwa na akili timamu ya kuongoza nchi hii hebu taja tuone.
 
Kwa pumba hizi bora ulivyokuwa huandiki, eti list ya Musiba inatumika kama reference!
 
Mkuu endelea kujidanganya kuwa ushawishi wa kisiasa upo kwa sisi wa facebook na twitter.
 
Mkuu endelea kujidanganya kuwa ushawishi wa kisiasa upo kwa sisi wa facebook na twitter.

Hivi Phillipo unaongea na mimi ukidhani niko Asia, Europe au North America hivyo naongea nadharia wala sijui uhalisia?. Kutokana na aina ya biashara zangu za mazao hutembelea vijiji vingi kununua mazao. Huwa naenda wilayani katika mikoa ya Manyara, Singida, Dodoma, Tanga, Arusha na Morogoro. Hiyo ni sample ya kutosha na nina ujua uelewa wao na uhalisia wake.
 
Mkuu kama unafikiri ni rahisi tu kama kuagiza mchemsho kwa Mama Ntilie gombea tu 2020 ushinde.
 
Mkuu kama unafikiri ni rahisi tu kama kuagiza mchemsho kwa Mama Ntilie gombea tu 2020 ushinde.

Ingekuwa tume na vyombo vya dola vinanitii na niko kwenye chama cha siasa ningegombea ili kushinda. Tume na jeshi vikiwa upande wako huhitaji hata kura moja. Habari ndio hiyo.
 
Hili NENO bepari/mabepari hua sielewi hasa hua mnamaanisha nini? Naona kama hua mnawachukulia kama watu wabaya sana while not. Kimsingi Matajiri wote wakubwa hata Tanzania ni mabepari, mtu kama Mengi, Rostam, MO, mzee wa Azam nk ni mabepari.
 
Irejee post yako
Then sijui kama unaelewa maana halisi ya vitisho, ukisimama kwenye haki na endapo uyaongeayo una uhakika nayo hofu inatoka wapi kuwa mtu anatishwa?

Nimemshauri tu kwa nia njema kama anadhani yupo tayari kutetea anacho kiamini sidhani kama kuna vitisho hapo
Ila kama anatumika ama kutumiwa basi wanaomtumia waweza kuwa ama na hasara au faida kwa wakati wake.
 
Kwa nia njema ukamtisha!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…