Rais Magufuli, samahani mimi sijakuelewa kuhusu COVID-19 tests...

Mimi natake measures zote kama Magufuli anavyofanya binafsi. Kanisani siendi. Sitoki hovyo hovyo. Hapa kwangu sitaki wageni kabisa.Mimi najikinga na ninamuomba Mungu anilinde pia.
kwani magufuli amekataza watu wasiende kuabudu? acha uoga utakufa mapema kwa presha, halafu wewe ni mchoyo unatumia kigezo cha corona kufukuza watu kwako.
 
Mkurugenzi mkuu wa maabara ya Taifa hivi leo mara tu baada ya hotuba ya Rais!
 
Tumsikilize yetu tu maana ndo anajua kila kitu,huyu jamaa anaiwazia Tanzania na watu wake mema sana
 
Ni jambo jema hukumwelewa maana katika mengi aliyoyesema umenukuu yale unayotaka kama ushahidi wa hisia zako hasi.

Ameendelea kusisitiza kuwepo kwa ugonjwa ambao ni hatari.

Ametoa tahadhari kuhusu vipimo kama vinaaminika au wapimaji hawako makini kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kununuliwa.

Amekumbusha umhimu wa kuzingatia ushauri unaotolewa kila mara kujikinga dhidi ya maambukizi.

Mwisho natoa wito kwako na wenye kubeza juhudi za Serikali: Uzembe, jeuri na hofu yako vitakuangamiza ama kwa njaa au kwa korona
 
Ajielewi over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…