Ndo wawataje sasa hao wabakaji.Ha ha ha ha.. Kila siku wanapewa mimba.. wanabakwa na kupewa mimba.. Mie nawajua ni watoto sifanyi nao zinaa.. Miguberi ipo kibao huko iliyokubuhu, na mafundi pia..
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.
Ndio hiyo option Rais kawapa... Hajaifuta..Kwa hiyo Nyerere alivyoleta "Elimu ya Watu Wazima" alikuwa mjinga?
unatoa taarifa polisi within 24 hrs, unapatiwa tiba yavali na unakuwa na documentation, daktari atathibisha kuwa kweli umebakwaInakuwaje pale Binti mwanafunzi akapata mimba baada ya kubakwa!!
huyu mzee hana hekima hata kidogo. kama baba mwenye familia huwezi ropoka maneno kama haya mbele ya familia yako. trust, mzee huyu hana hata chembe ya aibuAmeyasema hayo leo akiwa Bagamoyo kwenye uzinduzi wa barabara.
"Kwenye utawala wangu siko tayari kuruhusu ujinga kama huu, kama wanaona inafaa basi wafungue shule za wazazi ili huku wakiendelea na masomo waendelee kunyonyesha watoto wao."
Ameongeza kuwa hizo NGOs ndio zimeleta mambo ya ajabu ajabu hadi wanaume kwa wanaume kuingiliana, wanawake kwa wanawake kuingiliana.
"Hata wanyama hawafanyi hivyo mbuzi Ng'ombe huwezi kuwaona wakikosea ile sehemu...Wachungaji si mpo hapa mmewahi kuwaona mbuzi wakikosea au ng'ombe wakikosea"....aliongeza Magufuli.
Very very True...Ukitazama kwa jicho la tatu utagundua NGO'S nyingi sana hapa bongo zinapata support kutoka nje ambazo zina masharti magumu kiasi kwamba endapo watashindwa na misaada inasitishwa, so wao wanaangalia matumbo yao na kufumbia macho athari katika jamii!
Huyu jamaa huyu,ana maneno makavu sana
Ndo wawataje wabakaji. Mara nyingi wabakaji wamekuwa wakiachwa tuu wawabebeshe mimba wanafunzi wwngine.Sasa picha ndio linaanza.
Mkuu keshasema na alishatamka kwamba hapangiwi na mtu.
But my take mheshimiwa sana rais wetu nadhani inatakiwa awe na akiba japo kidogo ya maneno because alwayz what goes around comes around too that thats the law of karma.
Kuna mazingira mengine ya upatikanaji mimba ambayo unaweza kumhukumu bure kabisa mtoto wa kike i.e ubakaji
Nimesema sijaelewa?Hujaelewa wapi!??
Rais kasema waondoke katika mfumo wa shule za serikali...hii ni sheria ambayo nikipewa urais wa siku moja pale magogoni nitaifuta kabla ya lunch time,all girls rukusa kuendela na masomo baada ya kuzaa,kwanza imejidhihirisha kuwa kuwa fukuza shule kumepunguza mimba mashuleni,ndio kwanza zinaongezeka
Sasa hofu yako nini!??Nimesema sijaelewa?
watakuwa jela wanalimaHuyu mzee sijui anawazaga nini kabla ya kuongea. Na wanaowapa ujauzito wasisomeshwe basi.
Usinipangie cha kuandika. My device my money so what?! NextSasa hofu yako nini!??