Mkuu,Mkuu, wakiruhusiwa kusoma hao wakiwa na mimba watafanyana sana. Tena wakikamatwa watasema rais aliruhusu.
Watu wengine translation inawasumbua kidogo.
Lakini sasa katiba inasemaje kuhusu marufuku hii??
mana haya maneno ni matam sana kuyatamka watu wakakupigia makofi.
Angetupa na kumbukumbu ya katiba kwanza kuhusu haki ya elimu kwa kila mtz kama katiba haikuweka wazi alete katiba mpya ili sasa hii iwe ni sheria kwa mujibu wa katiba otherwise hizi porojo tukienda kwa Mahakamani zitakuwa hazina mashiko.
tujifunze na sisi kuwa na mambo yetu, na viwango vyetu vya maadili ambavyo tunavisimamia.
NGO na wafadhili wake ambao wengi ni wazungu wasilazimishe kuleta mambo ambayo sisi hatujaona maana yake.
Malezi mabaya , wazazi na watu wazima kwenye jamii wanalikoroga halafu wanampa binti alinywe peke yake, hata kijana aliyemtia mimba haguswi....binti kupata mimba ni matokeo ya makosa ya watu wazima wengi tu walio kwenye maisha yake na maisha ya mtu aliyemtia mimba.Sometimes mwanamke kabakwa wengine ni mazingira magum ndo yanawapelekea kuingia kwenye vishawish
Lakini huo mtazamo wa Magu ni mtazamo wa watu wengi pia.
Wewe subiri tu uone maoni ya watu humu....utashangaa!!
Wanaowapa watasomeshwa gerezani miaka 30?
Aya ikitokea umebakwa ukapata mimba inakuwaje apo kwa upande wakoNi kweli maana mtu a sex yeye mimba apate yeye na kaenda shule kusoma au kufanya mapenzi so nimachaguo tuu ukitaka soma kama hutaki zaaa ni uchaguzi wa mtu
Hujui tafsiri ya sheria ndiyo maana unasema kuhusu Katiba.
Sheria au Katiba ina pande mbili ambazo ni haki (upate elimu ) Wajibu (vigezo vya kutimiza ili upate hiyo elimu).
Na bado kuna bylaws za nchi na taasisi za elimu (shule ).
Kwa hiyo, ukiwa unadai haki yako mahala popote pale kwanza jiulize Kama umetimiza wajibu wako na kuzingatia bylaws zote.
Vinginevyo, unakuwa kilaza na mkurupukaji.
yawezekana wewe ndio kilaza zaidi., baylaws ni sheria za kujitungia tu unlala asubuhi unaleta wazo liwe sheria ikitokea umeenda mahakamani katiba Inazungumzia jambo lile mahakamani hutaweza kuleta baylaws na ikaweza kusimama kama sheria.
Ndio mana saiv mumeleta baylaws kupiga marufuku mikutano ya siasa wakati katiba ya nchi inaruhusu. Mukishatamburikiwa kila siku mnaleta sheria mpya tu hamjali kama munavunja katiba.
Kama kweli kasema hivyo basi kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.
Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.
Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
"Kama kweli"?