Attack the message not the messenger.kwani wewe mtoa maada ni shoga?
hicho alichoongea siasa iko wapi?
Anaenda mahakani kupewa ruhusa ya kutowa mimbaKama alibakwa akapata mimba inakuwaje?
NGOS tayali zimekuharibu sishangai ukisimama mbele ya hadhira ukitete mapenzi ya jinsia mojaRais anapokuwa wakwanza kuwanyima watu wake haki yao yakupata elimu basi tupo pabaya sana kama taifa.
Samahani sana kama mwanao tayari anamimba mpeleke evening class wao hawabagui hata ukiwa na mapacha wanakuchukua tuAtakayefanya kama alivyosema RAIS atakuwa MZAZI mpumbavu.Kuna shule za private,kama anauwezo ampeleke mtoto wake private.
Huu ujinga ati mtoto sababu amepata Mimba asisome aupeleke Lumumba na Chato
Sema wewe hujaona maana yake siyo sisi! Wewe unaona ni haki mtoto akipata ujauzito asirudi shule? Kwanini anyimwe haki yake ya kikatiba ya kupata elimu, kwanini apewe adhabu mara mbili. Halafu hujui tu hii ni kwa ajili ya watoto wa masikini wanaotegemea shule za serikalitujifunze na sisi kuwa na mambo yetu, na viwango vyetu vya maadili ambavyo tunavisimamia.
NGO na wafadhili wake ambao wengi ni wazungu wasilazimishe kuleta mambo ambayo sisi hatujaona maana yake.
Samahani sana kama mwanao tayari anamimba mpeleke evening class wao hawabagui hata ukiwa na mapacha wanakuchukua tu
Dhubutuuuuwanawake andamaneni kupinga hili
Kama kawaida ya mzee wa visasi, hivi hajui kuna watu wana chukua masters na tayari wana watoto wenye watoto.
Elimu ni haki ya kila mtu, hata kama mtoto wa sekondari kapata mimba haimaanishi hiyo haki yake inapotea, aendelezwe baadaye aje kuokoa mtoto sio kukaa anaongeza idadi ya wajinga wasio na kazi. Midingi yenye phd feki ndo haiwezi kuliona hili. Tz won't be saved by this guy, he's a joke.