Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

Mleta mada anazungumzia lugha iliyotumika sio ushoga.

Mbuzi hajawahi kukosea kulenga sehemu ileeeee!!!! Duh!
[emoji23] [emoji23] uwez pnga kila kitu atakama ww n mpnzan sasa "ILE SEHEMU" sa apo tusi lipo ap??
 
Mwenye ule mswaada wa usawa wa kijinsia wa EAC Na. 2 wa 20/1/2017, alete tuusome vizuri
 
Yatumike maneno gani ya staha zaidi ya hayo? Kulea mtoto wa kiume siku hizi ni changamoto kweli
 
Hahahahahah
Critical thinking is better than argumentation!!
No body is fighting with anybody ideologically.. What you have to do is to THINK be for you argue!!!

Tafsiri ya kisheria ni kwamba mwanafunzi akipata mimba amebakwa!!!
Na adhabu yake Ni kifungo kisichopungua miaka 30 jela.

Kama Ni hivyo unawezaje kumwita mtu aliebakwa immoral!!?

Nakama hoja Ni maadili Na yakwamba waschana woote wanaopata mimba Ni umalaya hivyo kurudi shule Ni kuendekeza utovu wa nidhamu Na uvunjifu wa maadili mema..

Kwanini tusianze Na kufuta Sheria ya SOSPA!!!
Na wafungwa woote waachiliwe huru mana hawakubaka isipokuwa walijipatia uroda kwa Malaya!!
Hii ndio ilikuwa target ya NGO zinazotetea hili. Yaani wanatumia udhaifu wa tafsiri ya sheria kuhalalisha wote warudi.
Mtoto anae jifungua aandaliwe utaratibu mwingine wakusoma sio kuchanganywa na wasio wazazi.
 
naona watetezi wa ushoga mnataka kuandamana maana nyie ndio huwa mnakosea ile sehemu

Usabadilishe lengo la mleta hoja, yeye lengo lake ni lugha ya staha kutumika. Juzi hapa mlikuwa mnalia lia Lisu kutumia neno rubbish kwamba sio lugha ya staha.
 
Kwa hili la mimba naungana na msimamo wa Magufuli.Ni lazima tuwe na misingi yetu tunayoiamini.Kuruhusu hilo lifanyike kwenye shule za serikali ni kuintatein mchezo wa mapenzi shuleni.Wasichana wajue kabida kuwa akipata mimba akiwa shule basi haendelei palepale.Kama akitaka ataendelea shule binafsi au labda hizo special zitakazojengwa na NGOs kama kweli zinawapenda hawa wazazi wanafunzi.

Ninaichukulia hii kama hatua ya kulinda maadili ya watoto wa kike mashuleni.Kesi za kubaka zina adhabu zake kwa huyo mbakaji.Hata muuaji ana adhabu yake lakini mtu aliyeuawa hawezi kurudi.
 
tujifunze na sisi kuwa na mambo yetu, na viwango vyetu vya maadili ambavyo tunavisimamia.
NGO na wafadhili wake ambao wengi ni wazungu wasilazimishe kuleta mambo ambayo sisi hatujaona maana yake.
Sio utamaduni wote wa nje ni mbaya; kuna mambo mazuri na mabaya, na ni vizuri kuiga Yale mazuri. Kumrudisha mwanafunzi mzazi shule faida ni nyingi kuliko hasara!
 
safi kabisa mh Rais wakishindwa kujitunza watafute QT,shule sio za wazazi,wazazi watumie utaratibu wao uliowekwa,hizo NGO zinapiga hela hazina lolote.
 
our no 1,leo amegusia topic muhimu mno ambaye yeye kama kawaida kaiweka kimihemko,please wana JF tujaribu kuidadisi hapa,ni kweli kila mzazi anapenda mtoto wake aelimike shuleni,

mtoto wa kike inapotokea anapata mimba why anaathibiwa yeye tu,maana anafukuzwa shule hadi yule wa kiume aliyempa mimba anaachiwa aendelee na masomo,kwangu huu ni utaratibu dume na unaendeleza ukandamizaji wa watoto wa kike,halafu baadaye tunakuja kupiga kelele ohooo mbona hatuna wasomi wengi wa kike,

kumbe wengi wao wameathiriwa na mfumo dume,solutions watoto wa kike waruhusiwe kuendelea na shule baada ya kuzaa,iandaliwe kampeni nchi nzima ili watoto wa kike wanaopenda wapigwa sindano za kuzuia mimba,na hizi zinatofautiana kutoka mwezi mmoja hadi miezi sita,ila ni lazima kila mmoja kupimwa maana zina side effects kutegemeana na mhusika,condoms zigawiwe bure mashuleni na iandamane na elimu nzuri how to use it safely,

its time noe tabia hii ya kuwafukuza shule only girls ife maana ni ya kibaguzi.
we sasa unahamasisha uzinzi mashuleni,mwanao wa kike akikuomba ruhusa akapigwe sindano ya kuzuia mimba akiwa darasa la saba au form two utajisikiaje? au ukisikia walimu wanawagawia kondomu wanafunzi,na mwanao kapewa,utajisikiaje
 
Hapo kapotoka sana na sikubaliani naye kabisa.

Mwanafunzi wa kike kupata ujauzito siyo kosa kubwa hivyo hadi anyimwe fursa ya kujiendeleza kielimu.

Hapo adhabu haiendani kabisa na kosa!
Mpongeze kwa hatua nzuri. Alizozifanya.
Teh teh teh leo unampinga mwenyekiti wako? Mpongeze bhana.
-Dikiteta uchwara ni nani? Nasikia watu wakiongea tu-
 
Naunga hoja mkono kwa 100%…ngono zembe imezidi mashuleni
Na athari yake inaonekana tu kwenye mimba ila ukimwi na maradhi mengine hamuangalii

Ngono mashuleni imekua fashion na mbaya zaidi na watoto wa nje ya ndoa pia wamekua fashion

Tusidanganyane kuwa wote wanabakwa,,kesi za hivo ni chache wengi wanatoa ngono kwa hiari

Tutaona mimba zikipungua mashuleni kwa amri hio ya rais

Na asiesapoti hilo agizo nae yawezekana ni miongoni mwa wanaotia mimba hao wanafunzi
 
Hii ndio ilikuwa target ya NGO zinazotetea hili. Yaani wanatumia udhaifu wa tafsiri ya sheria kuhalalisha wote warudi.
Mtoto anae jifungua aandaliwe utaratibu mwingine wakusoma sio kuchanganywa na wasio wazazi.
Huo utaratibu mwingine ndo ninao udai hapa...Ni upii!!?kabla ya kutoa kauli t
Raisi alipaswa kuja Na majibu ninikifanyike kwa utaratibu rasmi wa kiserikali.

Lakini ajabu ameongea kwa mihemko Na kuwaona wanafunzi wanaopata mimba wakiwa shuleni Ni watu wasiokuwa Na maadili!

Kwa mjibu wa maelezo yake substitute ya mfumo wa awali Ni kwamba "waende wakasome veta,wakashone cherehani..."n.k

Hebu tujiulize Ni utaratibu upi serikali itatumia kufanikisha hili!!?

Nauliza hivi nikiifikria hatma ya watoto yatima,watoto wanaotoka familia maskini/fukara,Ni nani atawapeleka veta!!?
Na jee mfumo wa elimu ya ufundi nchini Ni rafiki kwa maendeleo ya watoto maskini!!?
 
Back
Top Bottom