Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni


Pole naona bado uko kwenye blanket la vyama vya siasa. Katiba ya nchi haitungwi na vyama vya siasa bali maoni ya wananchi wote. Au kwakuwa mchakato wa katiba uliporwa na wanaccm ndio umedhani wenye haki ya kutengeneza katiba mpya ni vyama vya siasa?
 
Tuko katika light track. Tutembee vifua mbere. Nimefulai sana
 
Mtoa uzi ujue katiba ya nchi haitengenezwi na chama au tuseme vyama inatengenezwa na wananchi wa kila rika, Kutaja Ukawa na Chadema kuwahusisha na mchakato wa katiba ni kutokuelewa maana yake.
Dr. Seng'ondo aliuliwa wakati wa mchakato hivyo unapomtaja unaumiza ndugu zake, rafiki zake na wenzake waliokuwa karibu naye. Tunaomba utuambie kama ulihusika kumwondoa huyu nguri wa siasa.
Vyama vya siasa visipewe nafasi kwenye utengenezaji wa katiba.
 
Umeandika unafiki mtupu! Hulka ya watz.
 
Pole naona bado uko kwenye blanket la vyama vya siasa. Katiba ya nchi haitungwi na vyama vya siasa bali maoni ya wananchi wote. Au kwakuwa mchakato wa katiba uliporwa na wanaccm ndio umedhani wenye haki ya kutengeneza katiba mpya ni vyama vya siasa?
Bwashee wewe ulikuwa na haki gani kwa mfano?!
 
Naomba niulize swali la ovyo tu kulingana na ujinga wangu, "Hivi katiba ya nchi ni mali ya wananchi ama Rais aliyeko madarakani?? Je mwenye mamlaka ya kuamua kwamba katiba iweje, lini, n.k ni Rais ama ni wananchi?? Naomba michango/ushauri na michango yenye tija tafadhali. Prof. Kabudi, mwaka 1986 ulinifundisha kuhusu 'Constitutional Law' naomba mwongozo wako kama umo humu.
 
Kwahiyo hata wema wa Nyerere tusiutaje kwa sababu ametangulia mbele ya haki?.....bwashee acha hizo!
 

Boss johnthebaptist Je wewe unaitaka hiyo Katiba Mpya??? !!!
Je hiyo Katiba Mpya ina Manufaa au Faida kwa Mwananchi na Taifa kwa ujumla ??? !!!
Je Katiba ya sasa ni nzuri na ina manufaa kwa Taifa na Mwananchi??? !!!
 
Hiyo ni analysis au ubuyu? Maana haina focus. What did you want to discuss here? What data did you use to justly what you said
 
rais ni zao La katiba. rais hawezi akawa juu ya katiba.magu kwa kukataa katiba kapotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…