Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Anasema hela za kutenga kwa ajili ya katiba Mpya hizo hazipo! Ila za kununua wapinzani hasa wa chadema zipo.Hapa ni wananchi kuamua maamuzi magumu,la sivyo tutaburuzwa mpaka tutakoma,Iweje mtu mmoja awe kila kitu ni yeye ? Hapana hii nchi ni yetu sote na ndio sisi walipa kodi,Naamini muda ukifika wananchi ndio wataamua
 
Kama maendeleo kwanza kwanini mlimuo doa Mwingereza wakati uwezo wa kuyafanya hayo Tena kwa muda mfupi alikuwa anao, kwanza tuanzie hapo mkuu....
Mkuu kwanini unataka Katiba Mpya?
Unafikiri nini Kitabadilika Katika Utekelezaji ikija Katiba Mpya?
Unahisi mambo "Yako"Ambayo unatamani yawe yanashindikana kwasababu hayamo katika Katiba ya Sasa?
Je Yale unayoyapenda ambayo yapo kwenye Katiba ya sasa Ni Kwa Kiasi gani Yanatekelezwa?
Au unadai tuuuu Mpyaaa,Mpyaaa Ili ionekane una kitu Kipya?
Ni Kupoteza hela tuu.Maendeleo Kwanza!
 
Aliposema serikali ina bil 5,hakuhesabu na za Mo Bavicha mmekuaje siku hizi?.
Chadema akaunti yao wana balance ya milioni 37, Lowassa benki ana bil 37 sio sahihi kusema utajiri wa Chadema wanadaiwa na Lowassa mara 1000
Taarifa hii iwafikie vilaza wa lumumba na mwenyekiti wao asiejielewa,akidhani uchumi wa nchi unajengwa na visasi,mauaji,maprof,na madokta wenye phd feki kama yeye
Screenshot_2018-11-02-21-00-03-1.jpg
 
Kuna wakati nawaangalia watu kama Profesa Kabudi anaye simama na kumsifu mtu wa aina ile nafikia uamuzi tatizo sio huyo mtu bali ni sie wenyewe kushindwa kumwambia mawazo yako sio sahihi
 
Mkuu umeongea vizuri mno... Inashort ni kwamba watanzania tuna hali mbaya sana, tumuombe Mungu tu bila kuchoka labda kunasiku atatenda muujiza.
 
Katiba iliyopo inatosha sana, katiba siyo malaika wa Mungu.
KATIBA YA WARIOBA ILIKUWA FEKI.
 
Rais Magufuli amenifurahisha kwa kuwa mkweli kwamba hakuwahi kuinadi katiba mpya na wala siyo kipaumnele chake hata sasa.
Kauli hii ilinifanya nirudi nyuma nilitafakari Bunge maalumu la katiba na ile Tume ya Jaji Warioba. Nikawakumbuka akina Prof Kabudi na kijana Polepole walivyokuwa chachu ya matumaini ya " hiyo" katiba mpya. Tena nikamkumbuka Prof Lipumba na timu nzima ya UKAWA walivyotokomea mitini wakati ule wa BMK tena bila sababu zenye mashiko. Nikamkumbuka "mtaalamu" na injini iliyowezesha kupatikana Katiba Pendekezwa mzee Chenge aka Joka la Makengeza na timu yake ya akina Dr Tulia. Ndipo kwa mbali nimebaini wslioitaka kwa ukweli kabisa Katiba mpya ni Dr Sengodo Mvungi rip kwa upande wa Tume ya Warioba na Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwa upande wa BMK wengine walikuwa wasindikizaji tu.
Chukua mfano wa wabunge wa chadema wanashindwa kutengeneza Katiba yao ili wajiongoze vizuri na badala yake wanakimbilia CCM, je hawa ndio wataweza kutengeneza Katiba ya wananchi?.......au wataenda kushibisha matumbo yao tu.
Niishie hapo!
 
Hivi la kufisili watanzania kwa michango ya sherehe mbona hamlizungumzii...!! Sherehe ina gharimu zaidi ya mamia ya mamilioni ya ela ninyi hamuoni shida hapo?
 
Hawajitambui...watakwimu hawa! Tunajua jinsi..Kenya ilivyofanikiwa...kujenga matabaka nchini mwake kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. wenye nacho tunajua wanaficha wapi ela zao...na wanashirikiana na akina nani kuhakikisha pengo kati ya 'commoners' na wenye nacho huko Kenya linazidi kuongizeka. Siwezi kununua hadithi hii.
 
Taarifa hii iwafikie vilaza wa lumumba na mwenyekiti wao asiejielewa,akidhani uchumi wa nchi unajengwa na visasi,mauaji,maprof,na madokta wenye phd feki kama yeyeView attachment 919251
Upupu mtupu huu walahi
Mikunya imeoza na maalshababu wanawatwanga kila iitwapo leo walahi
Hell no it will never happen walahi
 
Hawajitambui...watakwimu hawa! Tunajua jinsi..Kenya ilivyofanikiwa...kujenga matabaka nchini mwake kati ya wenye nacho na wasiokuwa nacho. wenye nacho tunajua wanaficha wapi ela zao...na wanashirikiana na akina nani kuhakikisha pengo kati ya 'commoners' na wenye nacho huko Kenya linazidi kuongizeka. Siwezi kununua hadithi hii.
True walahi
 
Rais Magufuli amenifurahisha kwa kuwa mkweli kwamba hakuwahi kuinadi katiba mpya na wala siyo kipaumnele chake hata sasa.
Kauli hii ilinifanya nirudi nyuma nilitafakari Bunge maalumu la katiba na ile Tume ya Jaji Warioba. Nikawakumbuka akina Prof Kabudi na kijana Polepole walivyokuwa chachu ya matumaini ya " hiyo" katiba mpya. Tena nikamkumbuka Prof Lipumba na timu nzima ya UKAWA walivyotokomea mitini wakati ule wa BMK tena bila sababu zenye mashiko. Nikamkumbuka "mtaalamu" na injini iliyowezesha kupatikana Katiba Pendekezwa mzee Chenge aka Joka la Makengeza na timu yake ya akina Dr Tulia. Ndipo kwa mbali nimebaini wslioitaka kwa ukweli kabisa Katiba mpya ni Dr Sengodo Mvungi rip kwa upande wa Tume ya Warioba na Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kwa upande wa BMK wengine walikuwa wasindikizaji tu.
Chukua mfano wa wabunge wa chadema wanashindwa kutengeneza Katiba yao ili wajiongoze vizuri na badala yake wanakimbilia CCM, je hawa ndio wataweza kutengeneza Katiba ya wananchi?.......au wataenda kushibisha matumbo yao tu.
Niishie hapo!
Kuwa huru kifikra ndugu..
Yani kila analofanya huyu kichaa wewe ni kusifia tu..
Very Shameful.
 
Back
Top Bottom