Katiba mpya ilishindikana kwa sababu ya unafki wa JK. Alitoa nafasi ile kinafki na baadaye alihakikisha wabunge hawawi wamoja !!.Bora isiwe hivyo... Hatuwezi kupata katiba bora chini ya utawala huu. Chansi ya katiba huru tulikwamishwa na wana siasa akina Mh. SITA (R.I.P).
Mchakato ulikuwa ni batili kwa sababu Watanzania wenzetu wanaojulikana kama UKAWA, walisusia. Kwa hiyo ili haki itendeke, ni vema mchakato ukaanza upya ili nao washiriki."Sitegemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, hata kama kuna mtu anataka kutupa hizo fedha, atupe tukatengeneze Stiegler's Gorge. Watu wanakaa wanapiga kelele katiba mpya, utadhani katiba ndio mwarubaini wa kila kitu."- Rais Dkt Magufuli
Rais Magufuli asaidiwe, akumbushwe na afahamu kuwa anaongoza watu zaidi ya milioni 50. Amewekwa hapo na Wananchi na kwa mujibu wa Katiba, hivyo hapaswi kuwapuuza miongoni mwa hawa Watanzania waliompa kura.
Kauli kama hii siyo kauli njema kutolewa na Rais wa nchi. Nini Tafsiri yake?
Inamaana mchakato wa kwanza uliofanyika awali chini ya Rais Kikwete ulikuwa batili? Kwanini Rais anawaaminisha Watanzania katika kuamini upande mmoja wa hasi tu dhidi ya maombi ya Katiba Mpya?
Washauri wa mzee huyu wamsaidie,... Waandaaji wa hotuba za mzee huyu wamsaidie,wazihariri maana kuna baadhi ya kauli za kulipasua Taifa. Kauli kama hii haipaswi kuungwa mkono na Mtanzania mwenye akili timamu.
Katiba iliyopo ilitokana na maoni ya Watanzania, na hao hao Watanzania ndiyo wanaodai mabadiliko ya Katiba hiyo.
Namnukuu Mwl. Nyerere, aliwahi kusema; " Katiba ni kama vazi analoshonewa mtoto,.... Na kadri mtoto anavyokuwa ni lazima lile vazi lipanuliwe ili kumtosha mtoto".
Sasa huyu mzee anatujibu Watanzania utadhani fedha zitakazotumia ni fedha za kutoka mfukoni mwake.
Kwahiyo kwake yeye Stiegler's Gorge ndiyo mwarobaini wa kila kitu....[emoji853][emoji853]
NDAMA....
Nchi ni Mali yake"Sitegemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, hata kama kuna mtu anataka kutupa hizo fedha, atupe tukatengeneze Stiegler's Gorge. Watu wanakaa wanapiga kelele katiba mpya, utadhani katiba ndio mwarubaini wa kila kitu."- Rais Dkt Magufuli
Rais Magufuli asaidiwe, akumbushwe na afahamu kuwa anaongoza watu zaidi ya milioni 50. Amewekwa hapo na Wananchi na kwa mujibu wa Katiba, hivyo hapaswi kuwapuuza miongoni mwa hawa Watanzania waliompa kura.
Kauli kama hii siyo kauli njema kutolewa na Rais wa nchi. Nini Tafsiri yake?
Inamaana mchakato wa kwanza uliofanyika awali chini ya Rais Kikwete ulikuwa batili? Kwanini Rais anawaaminisha Watanzania katika kuamini upande mmoja wa hasi tu dhidi ya maombi ya Katiba Mpya?
Washauri wa mzee huyu wamsaidie,... Waandaaji wa hotuba za mzee huyu wamsaidie,wazihariri maana kuna baadhi ya kauli za kulipasua Taifa. Kauli kama hii haipaswi kuungwa mkono na Mtanzania mwenye akili timamu.
Katiba iliyopo ilitokana na maoni ya Watanzania, na hao hao Watanzania ndiyo wanaodai mabadiliko ya Katiba hiyo.
Namnukuu Mwl. Nyerere, aliwahi kusema; " Katiba ni kama vazi analoshonewa mtoto,.... Na kadri mtoto anavyokuwa ni lazima lile vazi lipanuliwe ili kumtosha mtoto".
Sasa huyu mzee anatujibu Watanzania utadhani fedha zitakazotumia ni fedha za kutoka mfukoni mwake.
Kwahiyo kwake yeye Stiegler's Gorge ndiyo mwarobaini wa kila kitu....[emoji853][emoji853]
NDAMA....
Naomba utuombe radhi Watanzania, hatujawahi kumchagua huyu MTU ila Lubuva aliambiwa amtangaze kwa sababu wanazozijua wao na kwa faida zao, naomba samahani kama nimekukera my brother ila ukweli ndo huo.Mleta mada nikukumbushe tu kwamba Rais hakoseagi, Lakini pia tulimchagua wenyewe, na tuna mwamini,
Nb:mheshimwa Jpm unikumbuke kwenye UDC popote ntakwenda, naunga mkono juhudi zako.
"Malaika" hataki kuweka misingi ya uongozi anayoitenda kwenye Katiba Mpya. "Malaika" kasema wazi suala la kuweka misingi yake kwenye katiba mpya ni kupoteza pesa. Na mimi naona "Malaika" atukimbize hivyo hivyo mpaka tunyooke hata kama ni miaka 20!"Jesca John - Mwanafunzi wa kidato cha Sita chang'ombe.
Tutathini ni nini kifanyike ili rais ajaye asiharibu kile kilichofanywa na Magufuli, tunahitajij wakina Magufuli katika Miongo mitatu. Asante "
Sijui kama hoja ya mwanafunzi huyu kuna aliyeizingatia. Ana hoja nzito. Sawa kwa wale tunaoamini kuwa tumepata 'malaika', je huyu 'malaika' akimaliza muda wake au Muumba akampenda zaidi ya sisi tunavyompenda, haya mambo yake ya kimailaka nani atayaendeleza? Je tutapata 'malaika' mwingine? Je, tunafanya maandalizi yo yote ya kuendelea kupata 'wamalaika' tuseme katika miaka 50 ijayo? Kwa maoni yangu huyu binti alikuwa anasisitiza suala la uwepo wa Katiba mpya iliyobora itakayohakikisha kila zuri lililotendwa na 'malaika' litadumishwa kwa ajili ya vizazi vijavyo. Vinginevyo vitukuu vyetu kuna siku vitapiga bakora makaburi yetu! nachema tu
"Sitegemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, hata kama kuna mtu anataka kutupa hizo fedha, atupe tukatengeneze Stiegler's Gorge. Watu wanakaa wanapiga kelele katiba mpya, utadhani katiba ndio mwarubaini wa kila kitu."- Rais Dkt Magufuli
Rais Magufuli asaidiwe, akumbushwe na afahamu kuwa anaongoza watu zaidi ya milioni 50. Amewekwa hapo na Wananchi na kwa mujibu wa Katiba, hivyo hapaswi kuwapuuza miongoni mwa hawa Watanzania waliompa kura.
Kauli kama hii siyo kauli njema kutolewa na Rais wa nchi. Nini Tafsiri yake?
Inamaana mchakato wa kwanza uliofanyika awali chini ya Rais Kikwete ulikuwa batili? Kwanini Rais anawaaminisha Watanzania katika kuamini upande mmoja wa hasi tu dhidi ya maombi ya Katiba Mpya?
Washauri wa mzee huyu wamsaidie,... Waandaaji wa hotuba za mzee huyu wamsaidie,wazihariri maana kuna baadhi ya kauli za kulipasua Taifa. Kauli kama hii haipaswi kuungwa mkono na Mtanzania mwenye akili timamu.
Katiba iliyopo ilitokana na maoni ya Watanzania, na hao hao Watanzania ndiyo wanaodai mabadiliko ya Katiba hiyo.
Namnukuu Mwl. Nyerere, aliwahi kusema; " Katiba ni kama vazi analoshonewa mtoto,.... Na kadri mtoto anavyokuwa ni lazima lile vazi lipanuliwe ili kumtosha mtoto".
Sasa huyu mzee anatujibu Watanzania utadhani fedha zitakazotumia ni fedha za kutoka mfukoni mwake.
Kwahiyo kwake yeye Stiegler's Gorge ndiyo mwarobaini wa kila kitu....[emoji853][emoji853]
NDAMA....
Naomba utuombe radhi Watanzania, hatujawahi kumchagua huyu MTU ila Lubuva aliambiwa amtangaze kwa sababu wanazozijua wao na kwa faida zao, naomba samahani kama nimekukera my brother ila ukweli ndo huo.
Jiwe ndio wa kutafuta ushauri nasaha,katiba ni mali ya wananchi yeye anaweka kauzibe.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mkuu utakufa kabla ya wakati si wako!
Narudia tena tafuta mshauri nasaha
Hapa nadhani ndio pa kumwambia ukweli mheshimiwa, pamoja na mazuri anayoyafanya katiba itamsaidia sana, maana bila katiba imara yeye akiondoka akija mwingine legelege tutarudi kule kule kwenye upigajiSitegemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, hata kama kuna mtu anataka kutupa hizo fedha, atupe tukatengeneze reli. Watu wanakaa wanapiga kelele katiba mpya, utadhani katiba ndio mwarubaini wa kila kitu.
Lakini hela za kuwahonga wabunge/madiwani wa upinzani anazo. Na kutumia mabilioni kurudia chaguzi za watu ambao wako hai hawajafa anazo."Sitegemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, hata kama kuna mtu anataka kutupa hizo fedha, atupe tukatengeneze Stiegler's Gorge. Watu wanakaa wanapiga kelele katiba mpya, utadhani katiba ndio mwarubaini wa kila kitu."- Rais Dkt Magufuli