Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mkuu unaongea nini mahakama haihusiani na Mambo ya siasa.SUALA LA TUNDU LISSU NI KIPIMO TOSHA CHA BUSARA ZA RAISI NA DOUBLE STANDARD ZA KIMAHAKAMA KATIKA MUKTADHA WA KUWA WOTE SAWA KWENYE USO WA SHERIA!
NB;
KAMA LISSU ANA KESI YA KUJIBU KWA MUJIBU WA SHERIA BASI SHERIA IFUATE MKONDO WAKE!
matendo yako yatashuhudiwa na yule aliye juu yako, na sisi wakazi wa muda hapa duniani tutayaona unavyo dhihaki mwenye huruma kuu unayemuomba usiku na mchana kutwa - maombi mbalimbaliMimi sishauriwi..... na ukishauri dno umeharibu kabisaaa!
Kwani LISSU ni raia wa aina gani tofauti na raia wengine wanaoendelea na kesi zao kwa mujibu wa sheria?sidhani kama unapenda vurugu mechi ndugu yangu... vyovyote viwavyo, aachwe tu hadi uchaguzi, hata kama hajaomba msamaha, sijatumwa ila kwa niaba yake, afikiriwe tu kama Yesu alivyomfikiria yule mwizi mwingine wa msalabani kwa hadi ya wote kuwa peponi siku ile...
Magufuli sio Yesu acha kuwafananisha.Ya YESU yalikuwa yake.Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe MUNGUsidhani kama unapenda vurugu mechi ndugu yangu... vyovyote viwavyo, aachwe tu hadi uchaguzi, hata kama hajaomba msamaha, sijatumwa ila kwa niaba yake, afikiriwe tu kama Yesu alivyomfikiria yule mwizi mwingine wa msalabani kwa hadi ya wote kuwa peponi siku ile...
sawa, but- mahakama zinajua kwamba alikuwa huko nje kwa matibabu- na wamuache atie nia halafu baada ya uchaguzi ndio waanze kuitisha faili zakeKesi Lisu anazo kibao za kumtosha tu.Kwa Lisu sio busara zinahitajika sababu kesi zake ziko mahakamani.Ni sheria kufuata mkondo wake, sio busara kufuata mkondo wake!!!!
Natambua mantiki ya hoja yako lakini tambua hii nchi inaongozwa kwa mihemko na sio kwa mujibu wa sheria na katiba!Mkuu unaongea nini mahakama haihusiani na Mambo ya siasa.
Iache mahakama ifanye kazi yake mtu akamatwe ajieleze kama aliapa bungeni alafu baadaye akavunja kiapo chake inatakiwa akamatwe.
Simfananishi JPM na Yesu... yeye mwenyewe kwa kimya chake huwa anawaombea watu misamaha , hata Kinana juzi kati alisisamehewa, iweje Lissu aliyeponea Risasi?Magufuli sio Yesu acha kuwafananisha.Ya YESU yalikuwa yake.Ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe MUNGU
Ya kaisari yanataka Lisu akitua tu akamatwe apelekwe Segerea ya Yesu yanasema leo hii tutakuwa wote mbinguni!!
Hivi wewe unaakili au unafikiri kwa kutumia makalio, hivi TL alizungumza aliyotendewa tu, hatusahau sie alivyoenda akasababisha ndege zetu zikamatwe na ujue ndege zile ni kodi yetu wananchi acha utani wako.msaliti ni mamaako...TL ameeleza ukweli kwa yale yaliomtokea
Zinajua wapi kwa ushahidi upi? ulishawahi iona medical report ya daktari ya Tundu LISU Ikionyeshwa mahakamani? Mahakama ilijulia wapi kuwa Lisu yuko kwenye matibabu? Ushahidi pekee ni DOCTORS MEDICAL REPORT Si vinginevyosawa, but- mahakama zinajua kwamba alikuwa huko nje kwa matibabu- na wamuache atie nia halafu baada ya uchaguzi ndio waanze kuitisha faili zake
Baada ya uchaguzi Lissu atakuwa Rais wetu, nani atathubutu kumfanyia figisufigusu? Au hamuamini Kama mgombea wenu atashinda?Uhalifu Uhusiane AU USIHUSIANE na kutia nia; Akikanyaga au Asikanyage; ajiandae kisaikolojia au la, ni maoni yangu mimi pangu pakavu tia mchuzi... figusu afanyiwe baada ya uchaguzi... kuchafukiwa au kuchafuliwa wakati huu wa uchaguzi hatutaki kama wana familia wa nyumba yetu sote Tanzania
Ngoja tu huyo TUNDU lisu Arudi ndipo ataijua vizuri Tanzania aliyoiacha miaka hii ambayo hakuweko mjinga mkubwaHivi wewe unaakili au unafikiri kwa kutumia makalio, hivi TL alizungumza aliyotendewa tu, hatusahau sie alivyoenda akasababisha ndege zetu zikamatwe na ujue ndege zile ni kodi yetu wananchi acha utani wako.
Kwa faida ya nani wakati majaji wamepangiwa kumaliza kesi walizokabidhiwa ili tuwape zingineAngalau umeanza kuelewa mantiki ya uzi huu... process ya mahakama iendelee baada ya uchaguzi.
Ni vema muda mwingine ungekuwa unawaacha kwanza wenye akilini tomami na uelewa mkubwa wajadiliane kwanza.Uhalifu huwa hauhusiani na kutia nia.
Huwezi omba excuse kuwa kwa kuwa nagombea msinikamate kwa makosa niliyofanya kabla ya kutangaza nia hakuna.
Akikanyaga tu nchini ni segerea hakuna majadiliano ni yeye tu kujiandaa kisaikolojia
hata hao wanaosamehe watu kiholela wapo kwenye ukosefu! Kwa mantiki hyo hakuna haja ya kuwa na mahakama!Kwani Wanaosamehewaga kama akina Kinana ni raia wa namna gani ?
mimi huwa majadiliano siwezi mhalifu ninachojua hahitaji mjadala ni kumkamata kutia pingu na kupeleka SegereaNi vema muda mwingine ungekuwa unawaacha kwanza wenye akilini tomami na uelewa mkubwa wajadiliane kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mleta uzi unatumia sheria za nchi gani? Yaani unamuelekeza Rais wa Nchi aingilie uhuru wa Mahakama? Wote waliopo mahabusu kwa kesi hukuwaona bali umemuona huyo Lissu tu? Basi na hao mahabusu waachiwe hadi uchaguzi uishe ndo wakamatwe tena na kuendelea na kesi zao.Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.
Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na kondoo aliyepotea.
Tundu Lissu ni Mtanzania kama wewe, baba, kaka na mtoto wa familia Tanzania yetu wewe. Hotuba yako (Uchaguzi House) ya leo 22/07/2020 nimependa na iwe ya kweli kwa vitendo.
Tafadhali, chondechonde, akirudi huyo (Tundu Lissu) Jumatatu, muacheni arudi kwa style yake, afanye anayotaka kufanya bila kuvunja sheria. Hakuna haja ya kutunishiana misuri kwa sasa, muacheni aje, kama figusu, mfanyieni baada ya uchaguzi na sio sasa. Tutachafuka na kuchafuana sote, nyumba yetu sote (Tanzania) itanuka, mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee au figisu zozote.
Mheshimiwa sana Rais Magufuli, kama umesoma, umesomea au kutaarifiwa. Ni hayo tu yangu. Nyumba Tanzania ni yetu sote. Bila matusi au mkwaruzo tuwe kama nguchiro na Mchwa, nyumba moja bila mkwaruzano.
Ni hayo tu kwa leo. Ubarikiwe na Uongozwe kwa niaba aliye juu na amri ya uhai wako kwake.
Hakika wazazi waliuza ng'ombe na wakapeleka ng'ombe shule kusoma.Sheria huwa hazitungwi na viongozi wa serikali hutungwa na bunge ambako wawakilishi wa wananchi ndiko waliko
Safi sana aisee sikua nimejua kumbe ofisi za Msajili wa vyama vya siasa zimeshindwa kudhibiti hilo?Lkn lnaweza kutishia kuvifuta vyama hivyo vinapoleta upinzani mkali sio?KWANINI VIONGOZI WANAOJINASIBU KUABUDU DEMOKRASIA WANABAKA KATIBA ZAO NA KUONDOA UKOMO WA MADARAKA!?
CCM KUMEOZA NA UPINZANI KUNATOA FUNZA!
Tunaamini Hashimu Rungwe atakua rais.Baada ya uchaguzi Lissu atakuwa Rais wetu, nani atathubutu kumfanyia figisufigusu? Au hamuamini Kama mgombea wenu atashinda?