Rais Magufuli, tafadhali mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee

Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.

Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na kondoo aliyepotea.

Tundu Lissu ni Mtanzania kama wewe, baba, kaka na mtoto wa familia Tanzania yetu wewe. Hotuba yako (Uchaguzi House) ya leo 22/07/2020 nimependa na iwe ya kweli kwa vitendo.

Tafadhali, chondechonde, akirudi huyo (Tundu Lissu) Jumatatu, muacheni arudi kwa style yake, afanye anayotaka kufanya bila kuvunja sheria. Hakuna haja ya kutunishiana misuri kwa sasa, muacheni aje, kama figusu, mfanyieni baada ya uchaguzi na sio sasa. Tutachafuka na kuchafuana sote, nyumba yetu sote (Tanzania) itanuka, mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee au figisu zozote.

Mheshimiwa sana Rais Magufuli, kama umesoma, umesomea au kutaarifiwa. Ni hayo tu yangu. Nyumba Tanzania ni yetu sote. Bila matusi au mkwaruzo tuwe kama nguchiro na Mchwa, nyumba moja bila mkwaruzano.

Ni hayo tu kwa leo. Ubarikiwe na Uongozwe kwa niaba aliye juu na amri ya uhai wako kwake.
Tundu Lisu ni MSALITI hakuna mtu anayependa msaliti wa nchi , sasa anakuja kutafuta nini wakati anaona mabeberu ndio ndugu zake wa kuishi nao. Na sisi watanzania hatuamini USHOGA kama yeye anavyotaka .
Pili sie ahtuhitaji kuishi kwa kutegemea misaada ya masharti tunataka tujitegemee tumechoka Tunaenda na Mungu tutapambana wenyewe mpaka mwisho .
 
Sio woga no order ya mahakama.Mahakama na Raisi ni vitu tofauti na Chadema SIKU ZOTE HUWA HAMTAKI RAISI AINGILIE MAAMUZI YA BUNGE WALA mahakama.

La Lisu hataingilia kama alivyofanya kwa Kabendera pamoja na mama kabendera kuomba sanaaaaa.

Lisu ajiandae tu.Alivyoligema atalinywa

Uoga unawasumbua wapuuzi wakubwa mnateka watu mnapiga risasi watu Laisi mwenyewe kapora Tl.1.5
 
Wataanza kuyadhibiti mapokezi yake, uoga.

Mleta uzi umesema vizuri. Ngoja tutulie tuone.

Jesus is Lord!
Wewe kama utajitokeza lwako Airport yakikukuta ukilianzisha ya kwako na ndugu zako sasa hivi kila mtu anahangaika jimbomi hakuna wa kuhangaika na mwingine sijui katwangwa virungu na polisi sijui yuko segerea tukampe dhamana utahangaika mwenyewe na familia yako
 
Naona unatishia nyau kuwa tutachafuana tusipomuachia free!!! unamtishia raisi kama kinyago chako cha kumtisha!!!

Umesema akija asaidiwe atulie usipate shida akifika atapelekwa Segerea akatulie kule hadi uchaguzi upite ndipo kesi zake ziendelee.Hilo ombi linakubalika.Akitulia Segerea hadi uchaguzi ukishapita atakuwa katulia vya kutosha
Ndugu, mimi sitishii wala nini, kwa jinsi ulivyoandika, yaonekana (impliedly) wewe ndio unatishia, nilishosema ni busara tui zitumike , wamuache hadi hadi baada ya uchaguzi, hekima hainunuliwi wala kutafutwa.. ni maoni yangu tu .. sina bifu na mtu na huyi Tundu ni mambo yake, apitishwe au asipitishe na CDM... ni yake hayo
 
Kwamba mzee baba ni mtu wa Mungu na mwenye huruma sio?

Basi kilio chako atakisikia mkuu.
SHERIA na mtu wa MUngu wapi na wapi ukifanya uhalifu jianndae kukutana na sheria .Kazi ya Raisi ni kusimamia sheria sio dini!!!

Lisu hata angekuwa papa akirudi ni Segerea
 
SHERIA na mtu wa MUngu wapi na wapi ukifanya uhalifu jianfdae kukutana na sheria .Kazi ya Raisi ni kusimamia sheria sio dini!!!

Lisu hata angekuwa papa akirudi ni Segerea
Ni maoni yako--- yaheshimiwe pia
 
Ndugu, mimi sitishii wala nini, kwa jinsi ulivyoandika, yaonekana (impliedly) wewe ndio unatishia, nilishosema ni busara tui zitumike , wamuache hadi hadi baada ya uchaguzi, hekima hainunuliwi wala kutafutwa.. ni maoni yangu tu .. sina bifu na mtu na huyi Tundu ni mambo yake, apitishwe au asipitishe na CDM... ni yake hayo
Mhalifu hahitaji hekima NI KUKAMATWA SWEKA NDANI PELEKA MAHAKAMANI.court ORDER HUWA HAINA HEKIMA IKISHAANDIKWA KAMATA YULE NI KUKAMATA TU

Akitua ni kukamatwa tu.Yanayobaki ya mahakama baada ya kuhakikisha mtu waliyeagiza akamatwe yuko Segerea
 
Tundu Lisu anaadhibiwa na Mungu na siyo Raisi wa JMTZ, hivyo maombi yako ya kusamehewa kwake (Tundu) yapeleke Misikitini na Madhabauni labda yatasikilizwa, lkn ili asamehewe ni lazima kwanza atubu makosa yake hakuna njia nyingine, ...
 
Tundu Lisu anaadhibiwa na Mungu na siyo Raisi wa JMTZ, hivyo maombi yako ya kusamehewa kwake (Tundu) yapeleke Misikitini na Madhabauni labda yatasikilizwa, ...
Ni maoni yako--- yaheshimiwe pia - Asante
 
Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.

Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na kondoo aliyepotea.

Tundu Lissu ni Mtanzania kama wewe, baba, kaka na mtoto wa familia Tanzania yetu wewe. Hotuba yako (Uchaguzi House) ya leo 22/07/2020 nimependa na iwe ya kweli kwa vitendo.

Tafadhali, chondechonde, akirudi huyo (Tundu Lissu) Jumatatu, muacheni arudi kwa style yake, afanye anayotaka kufanya bila kuvunja sheria. Hakuna haja ya kutunishiana misuri kwa sasa, muacheni aje, kama figusu, mfanyieni baada ya uchaguzi na sio sasa. Tutachafuka na kuchafuana sote, nyumba yetu sote (Tanzania) itanuka, mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee au figisu zozote.

Mheshimiwa sana Rais Magufuli, kama umesoma, umesomea au kutaarifiwa. Ni hayo tu yangu. Nyumba Tanzania ni yetu sote. Bila matusi au mkwaruzo tuwe kama nguchiro na Mchwa, nyumba moja bila mkwaruzano.

Ni hayo tu kwa leo. Ubarikiwe na Uongozwe kwa niaba aliye juu na amri ya uhai wako kwake.
Mtu aliye dharau taifa letu, akalituna nchi za nje. Sisi tunachanga fedha zetu tunanunua ndege zetu yeye anazungumza na mabeberu ili wazikamate ndege zetu. Si hivyo mtu yeye mwenzake mmoja wanadriki kuzuia misaada ya fedha toka WB.

Huo ni ungwana kweli, Mahakama inabidi ifanye kazi yake. Huyu ni mhalifu kama walivyo wahalifu wengine. Hivyo kwa mujibu wa sheria zetu inatakiwa aingie mahakamani ili akajieleze makosa yanayo mkabili.
 
SHERIA na mtu wa MUngu wapi na wapi ukifanya uhalifu jianndae kukutana na sheria .Kazi ya Raisi ni kusimamia sheria sio dini!!!

Lisu hata angekuwa papa akirudi ni Segerea
Lkn yeye alipowasamehe wakina Lugola,Kamishina Andengenye kwa kupiga mchongo wa Tsh. Trillion 1 hapo alikua hasimamii sheria sio?
 
Sio woga no order ya mahakama.Mahakama na Raisi ni vitu tofauti na Chadema SIKU ZOTE HUWA HAMTAKI RAISI AINGILIE MAAMUZI YA BUNGE WALA mahakama.

La Lisu hataingilia kama alivyofanya kwa Kabendera pamoja na mama kabendera kuomba sanaaaaa.

Lisu ajiandae tu.Alivyoligema atalinywa
Lini magufuri akaacha kuviingjlia vyombo vya dola.? Kila cku aingilia mahakama na bunge
 
Mtu aliye dharau taifa letu, akalituna nchi za nje. Sisi tunachanga fedha zetu tunanunua ndege zetu yeye anazungumza na mabeberu ili wazikamate ndege zetu. Si hivyo mtu yeye mwenzake mmoja wanadriki kuzuia misaada ya fedha toka WB.

Huo ni ungwana kweli, Mahakama inabidi ifanye kazi yake. Huyu ni mhalifu kama walivyo wahalifu wengine. Hivyo kwa mujibu wa sheria zetu inatakiwa aingie mahakamani ili akajieleze makosa yanayo mkabili.
sawa, ila kabla ya hapo- subira yavuta kheru ndugu, baada ya uchaguzi tafadhari
 
Mtu aliye dharau taifa letu, akalituna nchi za nje. Sisi tunachanga fedha zetu tunanunua ndege zetu yeye anazungumza na mabeberu ili wazikamate ndege zetu. Si hivyo mtu yeye mwenzake mmoja wanadriki kuzuia misaada ya fedha toka WB.

Huo ni ungwana kweli, Mahakama inabidi ifanye kazi yake. Huyu ni mhalifu kama walivyo wahalifu wengine. Hivyo kwa mujibu wa sheria zetu inatakiwa aingie mahakamani ili akajieleze makosa yanayo mkabili.
Hivi kwanini Viongozi wa wanyonge wanaopendwa na watu wametunga sheria ya kuogopa wao wasishitakiwe mahakamani wakitoka madarakani?
 
Serikali ihakikishe from now border zote waingiaji wanachekiwa aweza kwepa uwanja wa JK NYERERE akashuka nchi nyingine jirani akaja kwa magari ya kawaida
 
Uhalifu Uhusiane AU USIHUSIANE na kutia nia; Akikanyaga au Asikanyage; ajiandae kisaikolojia au la, ni maoni yangu mimi pangu pakavu tia mchuzi... figusu afanyiwe baada ya uchaguzi... kuchafukiwa au kuchafuliwa wakati huu wa uchaguzi hatutaki kama wana familia wa nyumba yetu sote Tanzania
Akifika tu, segerea inamuhusu. Atapumzika huko Hadi uchaguzi uishe. Na ulinzi atapata wakutosha wala asijali,
 
Lkn yeye alipowasamehe wakina Lugola,Kamishina Andengenye kwa kupiga mchongo wa Tsh. Trillion 1 hapo alikua hasimamii sheria sio?
Bahati ya mwenzio usiilalilie mlango wazi.Hao waliomba msamaha wenyewe Lisu ulishawahi sikia akiomba msamaha popote? kuiomba serikali msamaha?

Utalisamehe jitu lisiloomba msamaha?

Halafu kachelewa issue ziko mahakamani hata angeomba msamaha sasa ni useless akitua tu ni kumkamata Segerea misamaha angeomba kabla kesi kutua mahakamani!!
 
Hivi kwanini Viongozi wa wanyonge wanaopendwa na watu wametunga sheria ya kuogopa wao wasishitakiwe mahakamani wakitoka madarakani?
Hili swali ni mtambuka na fikirishi sana..labda utapa majibu mujarabu...
 
Uhalifu huwa hauhusiani na kutia nia.
Huwezi omba excuse kuwa kwa kuwa nagombea msinikamate kwa makosa niliyofanya kabla ya kutangaza nia hakuna.

Akikanyaga tu nchini ni segerea hakuna majadiliano ni yeye tu kujiandaa kisaikolojia
acha vitisho we mlamba viatu
 
Back
Top Bottom