Rais Magufuli, tafadhali mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee

Yaani kitendo cha kuwaomba hivi serikali ni kuonyesha hatuna uhuru. Jiulize hizo kesho zinamisingi gani ya maana. Yaani ukisema Raisi mjinga ni kesi moja, ukisema Raisi ni dikteta uchwara ni kesi ya pili, ..... Kama yote aliyokuwa anasema sio ya kweli kwanini alipigwa risasi! na mpaka namba ya gari lililokuwa linamfuata aliwaambia Polisi
Maswali yako Magumu sana Kamundu, sijui Dinald Trump angekuwa Raisi wetu angefungua kesi ngapi kwa kweli...
 
Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.

Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na kondoo aliyepotea.

Tundu Lissu ni Mtanzania kama wewe, baba, kaka na mtoto wa familia Tanzania yetu wewe. Hotuba yako (Uchaguzi House) ya leo 22/07/2020 nimependa na iwe ya kweli kwa vitendo.

Tafadhali, chondechonde, akirudi huyo (Tundu Lissu) Jumatatu, muacheni arudi kwa style yake, afanye anayotaka kufanya bila kuvunja sheria. Hakuna haja ya kutunishiana misuri kwa sasa, muacheni aje, kama figusu, mfanyieni baada ya uchaguzi na sio sasa. Tutachafuka na kuchafuana sote, nyumba yetu sote (Tanzania) itanuka, mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee au figisu zozote.

Mheshimiwa sana Rais Magufuli, kama umesoma, umesomea au kutaarifiwa. Ni hayo tu yangu. Nyumba Tanzania ni yetu sote. Bila matusi au mkwaruzo tuwe kama nguchiro na Mchwa, nyumba moja bila mkwaruzano.

Ni hayo tu kwa leo. Ubarikiwe na Uongozwe kwa niaba aliye juu na amri ya uhai wako kwake.
Mwana mpotevu aliomba msamaha kwa babaye, na alisamehewa!
He Lisu ameomba msamaha kwa usaliti wake kwa nchi yake?
 
"Mhimili uliojichimbia ni maneno ya JPM mwenyewe alipokuwa anajibu swali la Pascal Mayalla"- Lord Denning
Kumbe ni maneno ya Magu??? Anaesema hadharani kuwa ntawapiga na shangazi zenu???? Huyu upeo wake wa mambo ya utawala na uongozi ni mdogo sana hivyo sishangai
 
Mwana mpotevu aliomba msamaha kwa babaye, na alisamehewa!
He Lisu ameomba msamaha kwa usaliti wake kwa nchi yake?
Ndio maana nikasema, JPM ni mkatoliki na kanisani hakosagi, (Sala za "baba yetu uliye mbinguni na kanuni ya Imani -nicene creed anazijua sana na kuziishi vema") anaijua vema imani ya mkatoliki haitaki visasi wala na pia Kwamba Mungu ndio hakimu wa haki, sasa kama yote hayo anayajua, ya nini kufanyiana bifu na Lissu... si amsamehe tu (hata kama sio mkosaji) kimya kimya au hata kuutangazia umma na aseme - Lissu karibu nyumbani ndugu yetu, kuwa na amani, mimi bado ni Raisi wako, utake usitake... Lissu hata afanye nini , haindoi ukweli kwamba JPM ni Raisi na kama akishindwa hiyo October, bado atakuwa kwenye historia ya kwamba alikuwa Raisi wa Tz, ya nini bifu na kukaa kimya na au kuruhusu watu wampake matope kwamba anahusika.. yatosha sasa, kimya kimekuwa kingi, na asema basi...
 
Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.

Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na kondoo aliyepotea.

Tundu Lissu ni Mtanzania kama wewe, baba, kaka na mtoto wa familia Tanzania yetu wewe. Hotuba yako (Uchaguzi House) ya leo 22/07/2020 nimependa na iwe ya kweli kwa vitendo.

Tafadhali, chondechonde, akirudi huyo (Tundu Lissu) Jumatatu, muacheni arudi kwa style yake, afanye anayotaka kufanya bila kuvunja sheria. Hakuna haja ya kutunishiana misuri kwa sasa, muacheni aje, kama figusu, mfanyieni baada ya uchaguzi na sio sasa. Tutachafuka na kuchafuana sote, nyumba yetu sote (Tanzania) itanuka, mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee au figisu zozote.

Mheshimiwa sana Rais Magufuli, kama umesoma, umesomea au kutaarifiwa. Ni hayo tu yangu. Nyumba Tanzania ni yetu sote. Bila matusi au mkwaruzo tuwe kama nguchiro na Mchwa, nyumba moja bila mkwaruzano.

Ni hayo tu kwa leo. Ubarikiwe na Uongozwe kwa niaba aliye juu na amri ya uhai wako kwake.
Natumai hata Ndg. Tundu Lissu naye anatakiwa aombe msamaha kwa kupiga magoti kwa jinsi alivyomsema vibaya dunia na aweke wazi kwamba hayo alikuwa akiyazusha tu. Akifanya hivo na mimi nitamuombea msamaha lakini pia aweke ahadi kwamba hatorudia vinginevyo hapana kila mtu atavuna alichokipanda.
 
Kumbe ni maneno ya Magu??? Anaesema hadharani kuwa ntawapiga na shangazi zenu???? Huyu upeo wake wa mambo ya utawala na uongozi ni mdogo sana hivyo sishangai
Exactly ni yake... rejea hapa hasa kuanzia dk ya tano..https://youtu.be/sKZMYdTrWUk ... na jibu alilopewa...anyway sitaki kulumbana lakini ninatambua Uraisi wake na ndio maana nasema yafaa tu amkaribishe mwana mpotevu aliyeonjeshwa mauti na kurudi ...
 
Natumai hata Ndg. Tundu Lissu naye anatakiwa aombe msamaha kwa kupiga magoti kwa jinsi alivyomsema vibaya dunia na aweke wazi kwamba hayo alikuwa akiyazusha tu. Akifanya hivo na mimi nitamuombea msamaha lakini pia aweke ahadi kwamba hatorudia vinginevyo hapana kila mtu atavuna alichokipanda.

Mtoto mkaidi katika familia huwa hatupwi na baba yake wala mama yake ...
 
Kama ana kesi ya kujibu akamatwe tu hakuna double standard.
Kuna ndugu zetu nao wana kesi kipindi hiki cha kuchagua viongozi wawapendao la sivyo kesi zao zisimame au waachiwe huru kwanza
Waombee msamaha pia, Raisi wetu ni msikivu na atakusikia pia kama atavyosikia ombi langu...
 
Natumai hata Ndg. Tundu Lissu naye anatakiwa aombe msamaha kwa kupiga magoti kwa jinsi alivyomsema vibaya dunia na aweke wazi kwamba hayo alikuwa akiyazusha tu. Akifanya hivo na mimi nitamuombea msamaha lakini pia aweke ahadi kwamba hatorudia vinginevyo hapana kila mtu atavuna alichokipanda.
Nakubaliana na maneno yako, kumbuka siku zote kiongozi huonesha mfano, ndio maana ya kuwa kiongozi
 
Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.

Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na kondoo aliyepotea.

Tundu Lissu ni Mtanzania kama wewe, baba, kaka na mtoto wa familia Tanzania yetu wewe. Hotuba yako (Uchaguzi House) ya leo 22/07/2020 nimependa na iwe ya kweli kwa vitendo.

Tafadhali, chondechonde, akirudi huyo (Tundu Lissu) Jumatatu, muacheni arudi kwa style yake, afanye anayotaka kufanya bila kuvunja sheria. Hakuna haja ya kutunishiana misuri kwa sasa, muacheni aje, kama figusu, mfanyieni baada ya uchaguzi na sio sasa. Tutachafuka na kuchafuana sote, nyumba yetu sote (Tanzania) itanuka, mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee au figisu zozote.

Mheshimiwa sana Rais Magufuli, kama umesoma, umesomea au kutaarifiwa. Ni hayo tu yangu. Nyumba Tanzania ni yetu sote. Bila matusi au mkwaruzo tuwe kama nguchiro na Mchwa, nyumba moja bila mkwaruzano.

Ni hayo tu kwa leo. Ubarikiwe na Uongozwe kwa niaba aliye juu na amri ya uhai wako kwake.
Unaaabudu Mtu
 
Unaaabudu Mtu
Siabudi Mtu, Bali Mungu baba muumba wa mbingu na nchi, vote vinavyoonekana na visivyo.... kumbuka oia mamlaka ya duniani pia huwezwa na Mungu... ni jinsi gani Mgtu huyo anayatumia mamlaka hayo, ni juu yake , pia check and balances ziliwekwa na Mungu wake.. hapa duniani tunapita tu na hatuna zaidi ya miaka 100 kuanzia sasa...utake usitake.. figusi ziiche, tupendane kama aliyetupenda sote, tuishi vema na tumependeze Muumba katika njia zetu... yeye alikwisha kujitoa mhanga kwa ajili yetu sote...Ameshinda mauti , sisi bado.. figusu basi
 
Umeandika uzi wa kumuabudu Jiwe Mbona
 
Umeandika uzi wa kumuabudu Jiwe Mbona
Simuabudu mtu ila ninatambua mamlaka yake juu ya anawowaongoza...kwa kulitambua hilo, namuomba aache kitimanyongo, sote tu Raia wa nchi moja...
 
Back
Top Bottom