Rais Magufuli, tafadhali mtumbue Harrison Mwakyembe, wizara upande wa michezo imemshinda

heko, Mwakyembe ni CCM na ameagizwa kivuruga simba ili YANGA AMBAYO NI TIMU YA CCM irudi kwenye chati, walimteka roma mkatoliki wakamzuia asiongee, sasa wakamteka mo wakamzuia na wanataka asiwe na hisa, alafu wao watazinunua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtapata TABU SANAAH!!! Mwakyembe piga kazi, simamia sheria za michezo ipasavyo[emoji28][emoji8][emoji60][emoji123]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtapata TABU SANAAH!!! Mwakyembe piga kazi, simamia sheria za michezo ipasavyo[emoji28][emoji8][emoji60][emoji123]
We utakuwa mtoto wa kilomoni[emoji3][emoji3]
 
hawa walisababisha Serengeti boys ifanye Vibaya lile kombe lililofanyika hapa
CAF walileta zile pesa za kuwezesha mashindano, wakaziweka TFF , wizara ikaenda ikazichukua na TFF wakaanza kuwa wanaomba wizarani, TFF wakachukia wakawa kama wameisusia michuano hii
 
Maskini Simba yangu tunarudi kulekule
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtapata TABU SANAAH!!! Mwakyembe piga kazi, simamia sheria za michezo ipasavyo[emoji28][emoji8][emoji60][emoji123]
Hata glori ni mchezo.. asimamie huo
 
Maagizo kutoka kwake atamtumbua vipi..MO waachie timu Yao yasije kukuta ya Yusuf...mwaka huu watu watatembeza mabeseni sio mabakuli kama Jangwani
 
Hajamtumbua bado?. Mi naandaa maandamano huku wakui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…