barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ingekuwa inakufa isingeenda afcon.MASKINI , TIMU YETU YA TAIFA INAKUFA MACHONI MWETU MAANA ITATEGEMEA SUPER SUB-PLAYERS .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekuwa inakufa isingeenda afcon.MASKINI , TIMU YETU YA TAIFA INAKUFA MACHONI MWETU MAANA ITATEGEMEA SUPER SUB-PLAYERS .
heko, Mwakyembe ni CCM na ameagizwa kivuruga simba ili YANGA AMBAYO NI TIMU YA CCM irudi kwenye chati, walimteka roma mkatoliki wakamzuia asiongee, sasa wakamteka mo wakamzuia na wanataka asiwe na hisa, alafu wao watazinunuaKwa kitendo ulichofanya cha kutaka kuihujumu timu yetu ya simba tunasema hatuna imani na wewe tena kwenye mpira wa miguu. Hii timu ya simba sio timu ya serikali bali ina wanachama wake ambao wanafanya maamuzi juu ya klabu. Na sisi ndio wanachama ambao tumeamua kumpa timu Mo Dewji na ametusaidia kufika robo fainali africa mpaka kusaidia Tanzania kuingiza timu nne mashindano ya africa lakini hilo hulioni. Tunakuomba ujiuzulu mapema kabla hatujafanya maandamano ya kukupinga hadharani.
Nawasilisha.
We utakuwa mtoto wa kilomoni[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtapata TABU SANAAH!!! Mwakyembe piga kazi, simamia sheria za michezo ipasavyo[emoji28][emoji8][emoji60][emoji123]
Hata glori ni mchezo.. asimamie huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtapata TABU SANAAH!!! Mwakyembe piga kazi, simamia sheria za michezo ipasavyo[emoji28][emoji8][emoji60][emoji123]