Sudan na sasa malawi!Nimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana!
Nimekuwa nikitafakari sana utendaji wa rais wangu na wanaomzunguka! Ukweli kwa mtizamo wa haraka haraka utapenda namna unavyojinasibu kuwaweka wakoloni wa zamani katika kikaango! Nimetafakari nia nzuri za kina Guadhafi na Saadam Husein na jinsi raia walivyodanganywa! hadi kuwatoa kafara!
Nimetafakari hayo yote nikajiaminisha kuwa wewe rais wangu unaweza kuwa na nia njema sana lakini hao wanaokuzunguka wakakuharibia. Na hii haijaanza leo! Kipindi cha Nyerere wakati yeye anatekeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea kwa vitendo wapo waliojificha kwenye kivuli hicho huku wakiwa na agenda ya uroho wao na tunawafahamu wapo hadi sasa.
Rais wangu jitenge haraka sana na watu wasiokutakia mema! ili kuondoa fursa ya wakoloni wa zamani kutumia watanzania kukuumiza! Hili ni kosa la akina Guadhafi na Saadam walilofanya! Kutengeneza kakikundi aminifu kilichokuwa kinafaidi.
Jitenge na Makonda haraka sana! Jitenge na Ndugai haraka sana! Jitenge na AG haraka sana! Jitenge na wapiga debe hawa ambao nawaona ni kama mbwa koko waharibifu tu. Fanya haraka uepuka haya ya Malawi yanayokuja! Akina Sirro watakutosa trust me! Mabeyo ni mwoga na hana support ya TPDF trust.
MALAWI: RAIS LAZARUS CHAKWERA AMUONDOLEA KINGA YA KUTOSHTAKIWA RAIS WA ZAMANI PETER MUTHARIKA, AMFUTA KAZI MKUU WA POLISI
> Saa 24 tangu ashike madaraka, Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Peter Mutharika
> Pia, amemfuta kazi Mkuu wa Polisi ambaye atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya utesaji na mauaji yanayomkabili. Wakati wa maandamano ya kupinga ushindi batili wa Rais Mutharika Mkuu huyu wa Polisi ndiye aliyekuwa "Maliyamungu" wa Rais Mutharika akiamuru polisi wawakamate waandamanaji, wawatese na hata kuwaua kwa mateso na risasi. Rais Chakwera pia amewataka Mawaziri kurudisha mali za Serikali walizoiba ndani ya saa 72 kisha washtakiwe na waliohujumu uchumi wafilisiwe.
NOTE: 1. Huu ni ujumbe mahsusi kwa Viongozi wanaopambana kujiwekea kinga za kutoshitakiwa. Mfahamu tu kuwa kinga hizo sio za milele siku mkiondolewa madarakani hakuna guarantee kuwa hizo kinga zitaendelea kuwepo pengine muombe Mungu mufe upesi kabla ya kufurushwa madarakani. Chama kingine kitaposhika hatamu huenda hizo kinga zikafutiliwa mbali na mkawa wenyeji wa mahakamani na hatimaye gerezani au kunyongwa hadi kufa sambamba na kufilisiwa.
2. Hapa kuna ujumbe unatumwa kwa wakuu wa Polisi pamoja na Polisi kwa ujumla. Wakati Mkuu wa majeshi wa Malawi akiamuru Jeshi liwalinde waandamanaji na kuwakabili Polisi wanaowapiga na kuwaua waandamanaji, Mkuu wa Polisi wa Malawi yeye alikuwa bize kuamrisha Polisi wawapigie waandamanaji kipigo cha MBWA KOKO hadi wachakae. Mkuu huyu wa Polisi alifanya haya ili kumfurahisha Rais Mutharika ili alinde MATUMBO yake ilihali akijua ni kukiuka Katiba na kinyume cha maadili ya kipolisi.
Wale polisi mnaotumiwa vibaya na watawala barani Afrika endeleeni tu kuwafurahisha wateule wenu ila mjue hawatokuwa madarakani milele.
Wahenga walisema mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji.
Hili ni somo jengine kutoka Malawi sijui kama nchi ya KUSADIKIKA imejifunza chochote hapa. Wacha nimalizie riwaya pendwa ya "Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe" kabla ya kuanza kusoma "Mfalme Juha".
Nini maoni yako?
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Jinga wewe unawezaje kufua nguo ikiwa umeivaa(ccm) ningekuona una akili Kama ungesema vua nguo chafu(ccm? vaa nguo Safi (opposion party) ili nguo Chafu ifuliweKwa nchi za Kiafrica mtu kufuata Sheria ni Hadi alazimishwe na akikazimishwa atasema ananyimwa Uhuru?
Najua Mimi sitaweza kuja kuwa Raisi maana itakuwa mara nne ya Raisi aliyepo sasa,
Ni makosa makubwa Sana kiongozi yeyote wa nchi kufuga mchwa kwenye Taifa, Ni makosa makubwa Sana kila dhambi nchini kuilea na ikaendelea kutamalaki, wizi, Ufisadi, Rushwa, zilizokuwa zimelelewa na kufugwa na CCM siku na miaka mingi, na ndio ikawa life style ndani ya Chama na serikalini na ndio ikawa maisha ya kawaida kabisa Kwa kila ofsi utakayoingia,
Ndiyo matokeo ya ubaya unaomwandama huyu Raisi aliyepo sasa, Yeye amekuja kuondoa life style iliyokuwa imezoeleka, ni lazima kuwepo kelele Tu,
Na kama anataka iwepo shwari kama zamani, ayaache hayo mambo, nakuhakikishia hata hao wapiga kelele hatawaona tena, atakuwa Rafiki wa kila mtu,
Na Upinzani uliopo ni wa Aina hiyo, na Vyama pinzani vinapendwa sana Kwa sasa na dizaini ya watu hao na style hiyo ya maisha ya zamani, Upinzani siku zote hauwezi kukataa wapiga Kura hata Kura za majambazi kwao ni Sawa Kwa sababu wao wanataka Dola
Lakini uzuri ni kwamba, bado wenye haki nchi hii wako wengi kuliko hao mchwa,
Na hicho wanachokitamani wapinzani kitokee nchini ni Kwa sababu ya kelele za wasiohaki, na wasio haki siku zote matumbo Yao hushibishwa na visivyo vyao, na Mungu hawezi kukaa Kwa mashetani hawa"
Lakini mwisho wa siku, mtu ukiwa ni mwenye haki, ni vyema pia Sheria zikakutawala, sio Sheria kukutawala, hizi Sheria zetu za Kiafrica kuwalinda watawala si za haki pia na huo ndio ukweli, Unataka kuwa Raisi wetu, kuwa sehemu yetu
Ushauri mzuri. Yesu alisaritiwa na mtume aliyempenda - Yuda.Nimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana!
Nimekuwa nikitafakari sana utendaji wa rais wangu na wanaomzunguka! Ukweli kwa mtizamo wa haraka haraka utapenda namna unavyojinasibu kuwaweka wakoloni wa zamani katika kikaango! Nimetafakari nia nzuri za kina Guadhafi na Saadam Husein na jinsi raia walivyodanganywa! hadi kuwatoa kafara!
Nimetafakari hayo yote nikajiaminisha kuwa wewe rais wangu unaweza kuwa na nia njema sana lakini hao wanaokuzunguka wakakuharibia. Na hii haijaanza leo! Kipindi cha Nyerere wakati yeye anatekeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea kwa vitendo wapo waliojificha kwenye kivuli hicho huku wakiwa na agenda ya uroho wao na tunawafahamu wapo hadi sasa.
Rais wangu jitenge haraka sana na watu wasiokutakia mema! ili kuondoa fursa ya wakoloni wa zamani kutumia watanzania kukuumiza! Hili ni kosa la akina Guadhafi na Saadam walilofanya! Kutengeneza kakikundi aminifu kilichokuwa kinafaidi.
Jitenge na Makonda haraka sana! Jitenge na Ndugai haraka sana! Jitenge na AG haraka sana! Jitenge na wapiga debe hawa ambao nawaona ni kama mbwa koko waharibifu tu. Fanya haraka uepuka haya ya Malawi yanayokuja! Akina Sirro watakutosa trust me! Mabeyo ni mwoga na hana support ya TPDF trust.
MALAWI: RAIS LAZARUS CHAKWERA AMUONDOLEA KINGA YA KUTOSHTAKIWA RAIS WA ZAMANI PETER MUTHARIKA, AMFUTA KAZI MKUU WA POLISI
> Saa 24 tangu ashike madaraka, Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Peter Mutharika
> Pia, amemfuta kazi Mkuu wa Polisi ambaye atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya utesaji na mauaji yanayomkabili. Wakati wa maandamano ya kupinga ushindi batili wa Rais Mutharika Mkuu huyu wa Polisi ndiye aliyekuwa "Maliyamungu" wa Rais Mutharika akiamuru polisi wawakamate waandamanaji, wawatese na hata kuwaua kwa mateso na risasi. Rais Chakwera pia amewataka Mawaziri kurudisha mali za Serikali walizoiba ndani ya saa 72 kisha washtakiwe na waliohujumu uchumi wafilisiwe.
NOTE: 1. Huu ni ujumbe mahsusi kwa Viongozi wanaopambana kujiwekea kinga za kutoshitakiwa. Mfahamu tu kuwa kinga hizo sio za milele siku mkiondolewa madarakani hakuna guarantee kuwa hizo kinga zitaendelea kuwepo pengine muombe Mungu mufe upesi kabla ya kufurushwa madarakani. Chama kingine kitaposhika hatamu huenda hizo kinga zikafutiliwa mbali na mkawa wenyeji wa mahakamani na hatimaye gerezani au kunyongwa hadi kufa sambamba na kufilisiwa.
2. Hapa kuna ujumbe unatumwa kwa wakuu wa Polisi pamoja na Polisi kwa ujumla. Wakati Mkuu wa majeshi wa Malawi akiamuru Jeshi liwalinde waandamanaji na kuwakabili Polisi wanaowapiga na kuwaua waandamanaji, Mkuu wa Polisi wa Malawi yeye alikuwa bize kuamrisha Polisi wawapigie waandamanaji kipigo cha MBWA KOKO hadi wachakae. Mkuu huyu wa Polisi alifanya haya ili kumfurahisha Rais Mutharika ili alinde MATUMBO yake ilihali akijua ni kukiuka Katiba na kinyume cha maadili ya kipolisi.
Wale polisi mnaotumiwa vibaya na watawala barani Afrika endeleeni tu kuwafurahisha wateule wenu ila mjue hawatokuwa madarakani milele.
Wahenga walisema mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji.
Hili ni somo jengine kutoka Malawi sijui kama nchi ya KUSADIKIKA imejifunza chochote hapa. Wacha nimalizie riwaya pendwa ya "Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe" kabla ya kuanza kusoma "Mfalme Juha".
Nini maoni yako?
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Hata wakifaNimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana!

Yaani Mawe ataishia mahali pabaya sanaNimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana!

Ondoa mawazo yako huko yaliko amishia kwenye mada. Ukifanya hivyo UTAMUELEWA tu.Mimi pia aliyesoma alichoandika mleta mada anieleweshe
Wewe ndio jinga, Kwa sababu unaamini kitu cha kijinga, eti ukiwa nje ya Ccm Tu ndio unaweza kuwa mtakatifu, huu ndio upumbavu!Jinga wewe unawezaje kufua nguo ikiwa umeivaa(ccm) ningekuona una akili Kama ungesema vua nguo chafu(ccm? vaa nguo Safi (opposion party) ili nguo Chafu ifuliwe
Magufuli anatofauti gani na wenzake wenye ccm yao??
wewe Kenge husikii mpaka damu zikilutoke masikioni??Kaa uandike ueleweke sio unaandika km mtu asiyejua kusoma
Ujumbe kuntu huu.Nimeiona hii kwenye mitandao ya kijamii yakanifikirisha sana!
Nimekuwa nikitafakari sana utendaji wa rais wangu na wanaomzunguka! Ukweli kwa mtizamo wa haraka haraka utapenda namna unavyojinasibu kuwaweka wakoloni wa zamani katika kikaango! Nimetafakari nia nzuri za kina Gadaffi na Sadam Hussein na jinsi raia walivyodanganywa, hadi kuwatoa kafara!
Nimetafakari hayo yote nikajiaminisha kuwa wewe rais wangu unaweza kuwa na nia njema sana lakini hao wanaokuzunguka wakakuharibia. Na hii haijaanza leo! Kipindi cha Nyerere wakati yeye anatekeleza siasa ya ujamaa na kujitegemea kwa vitendo wapo waliojificha kwenye kivuli hicho huku wakiwa na agenda ya uroho wao na tunawafahamu wapo hadi sasa.
Rais wangu jitenge haraka sana na watu wasiokutakia mema! ili kuondoa fursa ya wakoloni wa zamani kutumia watanzania kukuumiza! Hili ni kosa la akina Guadhafi na Saadam walilofanya! Kutengeneza kakikundi aminifu kilichokuwa kinafaidi.
Jitenge na Makonda haraka sana! Jitenge na Ndugai haraka sana! Jitenge na AG haraka sana! Jitenge na wapiga debe hawa ambao nawaona ni kama mbwa koko waharibifu tu. Fanya haraka uepuka haya ya Malawi yanayokuja! Akina Sirro watakutosa trust me! Mabeyo ni mwoga na hana support ya TPDF trust.
MALAWI: RAIS LAZARUS CHAKWERA AMUONDOLEA KINGA YA KUTOSHTAKIWA RAIS WA ZAMANI PETER MUTHARIKA, AMFUTA KAZI MKUU WA POLISI
> Saa 24 tangu ashike madaraka, Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Peter Mutharika
> Pia, amemfuta kazi Mkuu wa Polisi ambaye atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya utesaji na mauaji yanayomkabili. Wakati wa maandamano ya kupinga ushindi batili wa Rais Mutharika Mkuu huyu wa Polisi ndiye aliyekuwa "Maliyamungu" wa Rais Mutharika akiamuru polisi wawakamate waandamanaji, wawatese na hata kuwaua kwa mateso na risasi. Rais Chakwera pia amewataka Mawaziri kurudisha mali za Serikali walizoiba ndani ya saa 72 kisha washtakiwe na waliohujumu uchumi wafilisiwe.
NOTE: 1. Huu ni ujumbe mahsusi kwa Viongozi wanaopambana kujiwekea kinga za kutoshitakiwa. Mfahamu tu kuwa kinga hizo sio za milele siku mkiondolewa madarakani hakuna guarantee kuwa hizo kinga zitaendelea kuwepo pengine muombe Mungu mufe upesi kabla ya kufurushwa madarakani. Chama kingine kitaposhika hatamu huenda hizo kinga zikafutiliwa mbali na mkawa wenyeji wa mahakamani na hatimaye gerezani au kunyongwa hadi kufa sambamba na kufilisiwa.
2. Hapa kuna ujumbe unatumwa kwa wakuu wa Polisi pamoja na Polisi kwa ujumla. Wakati Mkuu wa majeshi wa Malawi akiamuru Jeshi liwalinde waandamanaji na kuwakabili Polisi wanaowapiga na kuwaua waandamanaji, Mkuu wa Polisi wa Malawi yeye alikuwa bize kuamrisha Polisi wawapigie waandamanaji kipigo cha MBWA KOKO hadi wachakae. Mkuu huyu wa Polisi alifanya haya ili kumfurahisha Rais Mutharika ili alinde MATUMBO yake ilihali akijua ni kukiuka Katiba na kinyume cha maadili ya kipolisi.
Wale polisi mnaotumiwa vibaya na watawala barani Afrika endeleeni tu kuwafurahisha wateule wenu ila mjue hawatokuwa madarakani milele.
Wahenga walisema mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji.
Hili ni somo jengine kutoka Malawi sijui kama nchi ya KUSADIKIKA imejifunza chochote hapa. Wacha nimalizie riwaya pendwa ya "Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe" kabla ya kuanza kusoma "Mfalme Juha".
Nini maoni yako?
Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
Mkuu hiyo maada na Mbowe wapi na wapi! Jenga hoja kujibu hoja! Yeye katoa ushauri na hadhari hajamzungumzia Mbowe wala Chadema, sasa wewe unarukiaje kwa Mbowe???Mbowe atakumbukwa kwa kuua upinzani, hoja za kijinga kama hizi za mleta mada...vitisho kuhusu "Guadafhi" (sijui ni nani huyo) Saadam, Milosovic nk haiwezi kufufua upinzani njaa huu wa Tanzania! Nendeni hapo jirani Burundi muone vyama vya upinzani wanavyofanya kazi zao!
Nchi imejaa vijitu vijinga tu. sasa ndo umeandika Nini upuuzi mtupu. Miaka 60 bado watu ni masikini hiyo ccm inakusaidia Nini wewe kujipendekeza tu. wanaofaidi wengine. Jenga hoja kwa utulivu tukuelewe dogo frustration zako za maisha hazitaondoka kwa kujipendekeza kwa magufuliWewe ndio jinga, Kwa sababu unaamini kitu cha kijinga, eti ukiwa nje ya Ccm Tu ndio unaweza kuwa mtakatifu, huu ndio upumbavu!
Tunatakaswa na kusamehewa Kwa Mungu pekee, sio mivyama yenu inayolilia nafasi za kwenda kupora hazina ya nchi,
Toa maoni yako usinifatefate bhana
Lazima mjifanye hamjaelewa, lakini ukweli mmeelewa!Mimi pia aliyesoma alichoandika mleta mada anieleweshe