Encryption
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 999
- 1,356
Kwanza anza na kufuatilia Historia ya Malawi, Historia haidanganyi
Wale jamaa waliotaka kumuua Lisu kwani walikuwa na nia ya kuchukua madini yetu???Hata mimi namshangaa sana, hayo ni ya wamalawi, sisi msimamo uko pale pale.
Unakiogopa kibeberu???Wewe ndio jinga, Kwa sababu unaamini kitu cha kijinga, eti ukiwa nje ya Ccm Tu ndio unaweza kuwa mtakatifu, huu ndio upumbavu!
Tunatakaswa na kusamehewa Kwa Mungu pekee, sio mivyama yenu inayolilia nafasi za kwenda kupora hazina ya nchi,
Toa maoni yako usinifatefate bhana
Ungejuaa!!!Nchi imejaa vijitu vijinga tu. sasa ndo umeandika Nini upuuzi mtupu. Miaka 60 bado watu ni masikini hiyo ccm inakusaidia Nini wewe kujipendekeza tu. wanaofaidi wengine. Jenga hoja kwa utulivu tukuelewe dogo frustration zako za maisha hazitaondoka kwa kujipendekeza kwa magufuli
Hapana mkuu, nikiogope vipi kwani nimezaliwa huko mkuu? 😂Unakiogopa kibeberu???
Utakoma mwaka huu shwaini weye