Rais Magufuli tafakari hili haraka sana, Wapambe wanakudanganya

Ukitaka kuwa kada wa chama cha mafisi lazima akili uichetue kidogo
 
Rais ahakikishe uchaguzi huu unakuwa huru na haki... ni mtego kwake!! wapambe wasije wakamponza.
 
Sudan na sasa malawi!
 
Jinga wewe unawezaje kufua nguo ikiwa umeivaa(ccm) ningekuona una akili Kama ungesema vua nguo chafu(ccm? vaa nguo Safi (opposion party) ili nguo Chafu ifuliwe

Magufuli anatofauti gani na wenzake wenye ccm yao??
 
Ushauri mzuri. Yesu alisaritiwa na mtume aliyempenda - Yuda.
 
Hata wakifa
Hukumu itasomwa juu ya makaburi yao.. Ili kumbukumbu ziwekwe sawa..
 
Yaani Mawe ataishia mahali pabaya sana

Ka rub everybody kuanzia wananchi na wanaomzunguka the wrong way.

Watu watambanika live!
 
Jinga wewe unawezaje kufua nguo ikiwa umeivaa(ccm) ningekuona una akili Kama ungesema vua nguo chafu(ccm? vaa nguo Safi (opposion party) ili nguo Chafu ifuliwe

Magufuli anatofauti gani na wenzake wenye ccm yao??
Wewe ndio jinga, Kwa sababu unaamini kitu cha kijinga, eti ukiwa nje ya Ccm Tu ndio unaweza kuwa mtakatifu, huu ndio upumbavu!

Tunatakaswa na kusamehewa Kwa Mungu pekee, sio mivyama yenu inayolilia nafasi za kwenda kupora hazina ya nchi,

Toa maoni yako usinifatefate bhana
 
Ujumbe kuntu huu.
 
Mkuu hiyo maada na Mbowe wapi na wapi! Jenga hoja kujibu hoja! Yeye katoa ushauri na hadhari hajamzungumzia Mbowe wala Chadema, sasa wewe unarukiaje kwa Mbowe???
 
Hivi raisi ana uwezo wa kuondoa hizo kinga? Nawaza ni bunge!
 
Nchi imejaa vijitu vijinga tu. sasa ndo umeandika Nini upuuzi mtupu. Miaka 60 bado watu ni masikini hiyo ccm inakusaidia Nini wewe kujipendekeza tu. wanaofaidi wengine. Jenga hoja kwa utulivu tukuelewe dogo frustration zako za maisha hazitaondoka kwa kujipendekeza kwa magufuli
 
Aisee CCM inamizizi, unaweza kata matawi ila mizizi ikabaki, hivyo upinzani kutawala nchi hii nimiaka mia mbele
 
Ni ujumbe mzuri sana huu hasa kwa wale ndugu zetu ambao kila uchao wanapaza sauti zao eti CCM ITATAWALA MILELE! Wasipojifunza hapa ni shauri yao, watakujalia na kusaga meno! Kibaya zaidi hata humu kuna wanaccm hawataki kuambiwa ukweli wala kushauriwa kuacha maovu wao na chama chao! Lakini ukweli ni kwamba rais yeyote atakayekuja kutokea upinzani nchini Tz lazima atafanya yafuatayo:-
1.Kufuta kinga ya rais kutoshtakiwa yeye na miungu wengine wa sasa.
2.Kufuta vifungu vyote vya sheria vinavyozuia matokeo ya rais kupingwa mahakamani.
3.Kukamata mali zote za umma zilizokwishahodhiwa na CCM kama vile,viwanja vya mpira, viwanja vya majengo, shule, vyuo,mashamba Majengo yote ya CCM mikoani na wilayani hadi taifa yaliyojengwa wakati tukiwa na mfumo wa chama kimoja na kuwatoza faini ya kuendelea kuvitumia tangu mwaka 1992 to date.
4.Kukifuta kabisa kinachoitwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) au kukifungia kufanya shughuli zozote za kisiasa kwa miaka yote kiliyopora ushindi wa vyama vya upinzani.
5.Kuwakamata na kuwaweka lockup ya kifungo cha maishaviongozi na wanachama wote wa CCM.

Hizo ni baadhi ya hatua tu! Kuna nyingine kubwa zaidi CCM na wanacham wake wanaweza kukumbana nazo, Sasa mtakapokuja kuanza kuungua msijesema hatukuwaambia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…