Rais Magufuli tafakari hili haraka sana, Wapambe wanakudanganya

Kwanza anza na kufuatilia Historia ya Malawi, Historia haidanganyi
 
Hata mimi namshangaa sana, hayo ni ya wamalawi, sisi msimamo uko pale pale.
Wale jamaa waliotaka kumuua Lisu kwani walikuwa na nia ya kuchukua madini yetu???

Kama ni kweli basi John Pumba Maharage hatufai.

Kuna wizi wa shs trl 2.4 serikalini,hazijulikani zilipo
 
Unakiogopa kibeberu???

Utakoma mwaka huu shwaini weye
 
Ungejuaa!!!

Narudia tena! Akiri yako imejaa matumaini ya kijinga, Chama hakiwezi kumtakasa mtu we mjinga!! Familia zetu Tu hizi kunakuwaga na majambazi na majizi sugu, sembuse kwenye mavyama??

Hakuna Chama Tz kisichokuwa na majambazi na majizi, CCM yapo, Chadema yapo na popote pale,

Unaposema miaka 60 CCM haijafanya kitu, Wakati huohuo Kwa miaka hiyo unalinganisha na nchi gani we jinga?

Usinifutefuate, nachokipenda Mimi sio lazima ukipende wewe! Unaelewa?

Eti najipendekeza, unataka kunichagulia nini cha Kufanya kwenye maisha yangu siyo? Wewe mbona skuulizi? Wewe wa wapi?

Hembu niache nifanye nipendavyo ili mradi sivunji Sheria, nitamshabikia yeyote nitakaye hivyo usinichagulie wewe

Nakuheshimu Sana mkuu
 
Magufuli anataka shughuli za serikali zifanyike kwa kasi kubwa,bila kuzingatia cardinal rule of engagement.
Yeye anaona mihimili mingine inamchelewesha kutimiza ahadi zake kwa wananchi,anatamani awe Supreme Leader.
Kwa hali kama hiyo, hawezi kuwapenda opposition wanaotaka kuhoji au kuirudisha serikali kwenye mstari kikatiba.
Wapo watanzania wanaojali matokeo tu kuliko njia iliyotumika kuelekea kwenye jawabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…