Mungu si athumani, naomba Mungu siku moja litokeo nyumbani kwake, alafu aje achukue wiki nzima yupo kimya, alafu akizungumza azungumzee maneno kama haya aliyoyasema!
NINA HASIRA ACHA NIISHIE HAPA
hali hiyo kazaliwa chato huko angebahatika kuzaliwa pwani huyu jamaa angekua mkaali zaidi ya mzee yusuf wa jahazi....Miaka mitano tutaona Kama decade kwa mipasho utafikiri mswahili dah aseee.
You can't use what you don't have!!Hii sio kauli kabsa anatakiwa atumie hekima
HAYA ALIJIFICHA ZAMBIA HAKWENDA BUKOBA HAKWENDA KWENYE HARAMBEE HAKUINGIA NIKAJUA ANAPAKA LIPSTICK MDOMO ASISEME OVYO KUMBE AMEPAKA LIPSTICK YA MAPARACHICHIOyaga gete ngosha
Magu yupo poa..ukweli ndio huwa hatupendi tumekalia kona kona tuuu...HAYA ALIJIFICHA ZAMBIA HAKWENDA BUKOBA HAKWENDA KWENYE HARAMBEE HAKUINGIA NIKAJUA ANAPAKA LIPSTICK MDOMO ASISEME OVYO KUMBE AMEPAKA LIPSTICK YA MAPARACHICHI
amenisikitisha mhandika hotuba wake anatakiwa kuacha kazi au kufukuzwaKwanza, kukosekana kwa rais na watoa huduma wa kwanza (first responders) tokea awali si jambo linaloeleweka kwa serikali makini. Pili, rais anaibuka baada ya wiki nzima "kupokea taarifa" ya maafa na misaada kama vile mgeni hakuwepo nchini! Halafu, kauli za kwanza anazotoa ni kuwapasha "wabaya" wake kwa kumtangulia "kuuza sura" kwenye maafa!
Hajui kwamba umma wake wa kwanza ni waathirika wa tetemeko waliofiwa, kubomokewa makazi na kuharibikiwa mali zao. Hawa wanahitaji neno la faraja. Wala hawahitaji kudanganywa kuhusu uwezo wa serikali. Si wajinga kiasi cha kuamini tetemeko limeletwa na CCM/serikali. Wamezoea kujitegemea. Wala hawapendi maisha ya dhiki kiasi cha kubweteka pale wanapoweza. Wanahitaji ujumbe wa faraja na sahihi kuhusu msaada wa dharura serikali itakaowafikishia, basi!
Hiyo mipasho ya kisiasa kwa washindani wake si kipaumbele wakati huu. There is nothing presidential in the behavior and "speak" of the honorable gentleman.
Kama kuna mtu Mbeya aliamini serikali ndio imeleta tukio la Kupatwa kwa jua mbeya basi sitashangaa kama wakiamini na serikali ndio imeleta tetemekoHatimaye mkuu kazungumza japo kwa kuchelewa sana. Ila naomba niulize: hivi inawezekana kukawa na watu wanaoamini kuwa "tetemeko limeletwa na serikali" mpaka mkuu atake wananchi wafahamishwe kuhusu hilo?