Sio msukuma huyo... Kaishi huko tu wasukuma hawana urafiki na watu jamii ya Rwanda... Nadhani ni hukoWasukuma nyodo asili yao....!!
Na kuna bibi nae ana miaka 80 nyumba zake mbili zimeanguka huku ana mgonjwa alo paralyze kwa miaka 6 .....hakuwahi kuomba msaada aliishi kivyake mpaka maafa yalipo mkumba sasa leo kumpa kauli zile si kumtukana?kwani wao ndo walioomba yawakute?JANA NIKITIZAMA KITUO KIMOJA CHA TELEVISION, KIJANA MOJA KAPOTEZA FAMILIA NZIMA, MKE NA WATOTO, NA HANA MAKAZI YA KUISHI KUTOKANA NA TETEMEKO LENYEWE.
HIVI MTU KAMA HUYO AKIKUTANA NA KAULI KAMA HII ATAJISIKIAJE, NA HIYO KAZI ATAFANYAJE KWA MOLALI IPI KWA MFANO.??
Kwa kauli hii amefuta uzito wote wa ujumbe wa pole kutoka kwa Mr. Uhuru.
Ukweli kwamba tetemeko halijaletwa na CCM au ukweli upi huo? Kama ni huo tunajuwa kuwa tetemeko haliwezi kuletwa na serikali.Wengi wetu hatujazoea kusikia ukweli ukitolewa live. Maudhui ya alichosema Mhe. Rais yana mantiki kubwa labda ni namna alivyowasilisha ndiyo inayoweza kuleta ukakasi kwa wahanga wa tukio.
Na kwa ukweli jirani wameshaanza hata kumjengea nyumba bibi kama huyu angepewa matumaini kwamba tunasikitika na tukio labda utakuchangia bati milango na simenti si ilitosha kuliko kusimanga watu ambao miaka yote hawajawahi kuomba serikali iwasaidie bali serikali imekiwa ifuja kodi zao kwa viongozi kujineemesha matumbo yao na familia zao,ukweli hatuna kiongozi bali tuna diktetaNa kuna bibi nae ana miaka 80 nyumba zake mbili zimeanguka huku ana mgonjwa alo paralyze kwa miaka 6 .....hakuwahi kuomba msaada aliishi kivyake mpaka maafa yalipo mkumba sasa leo kumpa kauli zile si kumtukana?kwani wao ndo walioomba yawakute?
Anazihifadhi hazina kwanza ili ziwe nyingi. Wewe unawasiwasi gani?Unawaita watu na kuwaomba wachangie waathirika wa janga,na watu wanajitokeza na kutoa misaada mingi,unakusanya hela zao halafu unawageukia waathirika na kuwaambia wasitegemee sana hizo hela,hii inaleta picha gani?!
kwani kuna mtu ambaye dirisha lake limevunjika ameomba msaada?Hiyo ni fact.Wapo wanaohitaji msaada ila wengine lazima wajue ukweli wasongeshe maisha yao Hakuna uwezekano wa kuwasaidia wote.
Haiwezekani dirisha la nyumba yako tu ndio lililong'oka eti hulirudishii mpaka serikali ikupatie chochote.
Wabongo wasipopewa ukweli kila mtu ataishi kwa matumaini ya kuibukia kwenye majanga.
Toa orodha ya wanaosubiri msaada na picha za uharibifu uliowapata.kwani kuna mtu ambaye dirisha lake limevunjika ameomba msaada?
unazo em 7 mkuu?Nimeamini ule ukweli kuwa ukoo wa Rais wa wasukuma na mainjinia kuwa wanakichaa naanza kuuona,, huyu jamaa hatoboi 2020 naona jeshi kushika hatamu
zile zilikua ni shukrani mkuuLakini la mbeya halikutolewa majibu ya ufafanuzi au kwakuwa lilijaa shukrani na si lawama?!