Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

Wasukuma nyodo asili yao....!!
Sio msukuma huyo... Kaishi huko tu wasukuma hawana urafiki na watu jamii ya Rwanda... Nadhani ni huko

Wasukuma huwa ni wakarimu asilia... Kwa huyu hana uasili wowote Wa kisukuma... Huwezi mfananisha na Cheyo huyu... Mzee Wa kujaza watu mapesa huyu anawaondolea watu mapesa... Total vice versa
 
JANA NIKITIZAMA KITUO KIMOJA CHA TELEVISION, KIJANA MOJA KAPOTEZA FAMILIA NZIMA, MKE NA WATOTO, NA HANA MAKAZI YA KUISHI KUTOKANA NA TETEMEKO LENYEWE.
HIVI MTU KAMA HUYO AKIKUTANA NA KAULI KAMA HII ATAJISIKIAJE, NA HIYO KAZI ATAFANYAJE KWA MOLALI IPI KWA MFANO.??
Kwa kauli hii amefuta uzito wote wa ujumbe wa pole kutoka kwa Mr. Uhuru.
Na kuna bibi nae ana miaka 80 nyumba zake mbili zimeanguka huku ana mgonjwa alo paralyze kwa miaka 6 .....hakuwahi kuomba msaada aliishi kivyake mpaka maafa yalipo mkumba sasa leo kumpa kauli zile si kumtukana?kwani wao ndo walioomba yawakute?
 
Tunazo guts za kupeleka majeshi yetu kutoa msaada nchi nyingine
Tunao uwezo wa kurusha madege ya kivita kwa ajili ya sherehe
Tunayo bajeti ya kuhamisha serikali nzima toka mji hadi mji
Na kadhalika...na kadhalika
....lakini.....
Inatuchukua wiki kupokea taarifa ya janga kama hili,na hapo ndio tunaanza kujipanga kutoa msaada,...tena huku tukitoa kauli kama hizi kwa walioathirika!!Wananchi walewale tuliowaambia wazae na kuongezeka maana serikali yao ipo itawahudumia?!!!
Hongereni sana wananchi wa Tz.
 
Wengi wetu hatujazoea kusikia ukweli ukitolewa live. Maudhui ya alichosema Mhe. Rais yana mantiki kubwa labda ni namna alivyowasilisha ndiyo inayoweza kuleta ukakasi kwa wahanga wa tukio.
Ukweli kwamba tetemeko halijaletwa na CCM au ukweli upi huo? Kama ni huo tunajuwa kuwa tetemeko haliwezi kuletwa na serikali.
 
Na kuna bibi nae ana miaka 80 nyumba zake mbili zimeanguka huku ana mgonjwa alo paralyze kwa miaka 6 .....hakuwahi kuomba msaada aliishi kivyake mpaka maafa yalipo mkumba sasa leo kumpa kauli zile si kumtukana?kwani wao ndo walioomba yawakute?
Na kwa ukweli jirani wameshaanza hata kumjengea nyumba bibi kama huyu angepewa matumaini kwamba tunasikitika na tukio labda utakuchangia bati milango na simenti si ilitosha kuliko kusimanga watu ambao miaka yote hawajawahi kuomba serikali iwasaidie bali serikali imekiwa ifuja kodi zao kwa viongozi kujineemesha matumbo yao na familia zao,ukweli hatuna kiongozi bali tuna dikteta
 
Watu wenye roho hizi vitabu vya dini vimeandika kuwa walipewa maisha marefu ili wananchi waadhibike kwa muda mrefu hadi vizazi na vizazi havikuwasahau...
 
Mtu mwenye uwezo wake wala hawezi isubiri serikali imjengee nyumba yake kwa sababu wala hakujengewa na serikali. Ila kama kuwasaidia tumeshindwa tuwape maneno ya faraja tu.
 
Unawaita watu na kuwaomba wachangie waathirika wa janga,na watu wanajitokeza na kutoa misaada mingi,unakusanya hela zao halafu unawageukia waathirika na kuwaambia wasitegemee sana hizo hela,hii inaleta picha gani?!
 
Si ndo huyu chaguo la MUNGU?....[emoji15] [emoji15] [emoji15] ..Mimi naendelea na msimamo wangu...Wana Kagera, poleni sana.Toka ndani ya moyo wangu nasikia uchungu sana kwa maafa yaliyowafika...MUNGU awatokee kwa uwezo wake kama MUNGU.Awafanyie wepesi awaondolee kunung'unika na hasira.Na wafiwa wote MUNGU awafariji...mkuu wa kaya kesha sema,jipangeni mfanye kazi.

OVA
 
Hiyo ni fact.Wapo wanaohitaji msaada ila wengine lazima wajue ukweli wasongeshe maisha yao Hakuna uwezekano wa kuwasaidia wote.
Haiwezekani dirisha la nyumba yako tu ndio lililong'oka eti hulirudishii mpaka serikali ikupatie chochote.
Wabongo wasipopewa ukweli kila mtu ataishi kwa matumaini ya kuibukia kwenye majanga.
 
Unawaita watu na kuwaomba wachangie waathirika wa janga,na watu wanajitokeza na kutoa misaada mingi,unakusanya hela zao halafu unawageukia waathirika na kuwaambia wasitegemee sana hizo hela,hii inaleta picha gani?!
Anazihifadhi hazina kwanza ili ziwe nyingi. Wewe unawasiwasi gani?
Mtangulizi wa raisi alimaliza hazina yote sasa hamna baki tunazitafuta.
Don't wory
Tetemeko ni mtaji. Fikiria wako. Mungu c athmani hata wewe aweza kupa.
Kodi tutawabana sanatu.
Tumetumwa pesa na vat......n.

MAN AT WORK.DONT TALK
 
Hiyo ni fact.Wapo wanaohitaji msaada ila wengine lazima wajue ukweli wasongeshe maisha yao Hakuna uwezekano wa kuwasaidia wote.
Haiwezekani dirisha la nyumba yako tu ndio lililong'oka eti hulirudishii mpaka serikali ikupatie chochote.
Wabongo wasipopewa ukweli kila mtu ataishi kwa matumaini ya kuibukia kwenye majanga.
kwani kuna mtu ambaye dirisha lake limevunjika ameomba msaada?
 
kuna wakati MTU anaweza kuongea.alaf aibu unaona wewe.mtoto wangu akitaja agombane na Mimi.aniambie anataka kuwa mwanasiasa.
 
Kwa hiyo amekuja kukanusha na kutolea ufafanuzi kwamba tetemeko halijaletwa na serekali, binafsi sijaelewa mantiki ya raisi kwenye hili
 
Back
Top Bottom