Umeongea vema lakini unajikanyaga kiapproach. Kama pia una PhD pia basi una shida kwa kuwa huna approach sahihi ya kumaliza tatizo. Labda nikupe changamoto 2 au 3 za kuanzia siku.
1. Nini maana ya politiks?
Siasa ina tafsiri nyingi sana ila kwa tukio husika tunazungumzia sera na mbinu za serikari kushughulika na natural disasters; na ili mara nyingi ni bipartisan agenda kwa sababu taratibu zake zina international directives.
2.How cheap are CHADEMAs politiks and probably how expensive are CCM politics.
Cheap kwa sababu wanakaa kwenye kamati za bunge, cheap kwa sababu budget zinapopita ata kama serikari inajisahau kupanga budget ya maafa aijawahi kuwa concerns yao, cheap kwa sababu awajahi kui-pressure serikari kutaka kujua utayari wa 'Disaster Management Agency' wala mechanism zake za ku deal na maafa pamoja na uratibu wao kujumuisha wengine and if anything viongozi wao are clueless as the rest of us.
Kutokana na wao kutowahi kulihimiza ili jambo wanamakosa ya uzembe kama serikari; kwakuwa natural disaster zinakuja bila ya taadhari zozote kujifanya wewe ndio huko concern sana na kulaumu wengine wakati unahusika kwenye kusimamia pia serikari hizo sasa ndio opportunistic politics or cheap politics kutaka kujipaisha kupitia matukio.
3. Kwa nini siasa zinafanyika kwenye maafa na sio majukwaani.
Si ndio maana nikaziita cheap politics na kukosa maadili hili ni swala la kitaifa na sio kipindi cha kufanya siasa; muda wa kulaumiana ni watakapo rudi bungeni na kuanza kufanya assessment zao what went wrong and how the nation prepares herself in the future. Lakini kwa sasa wananchi wanahitaji assurance kutoka kwa wanasiasa wa pande zote.
4.kwa kupitia tukio hili tunajifunza nini kama taifa kutowachukia matajiri kama tunavyotambua uwepo wa masikini na kuchukua hatua mahususi kupromote wealth zao
It only shows poor planning kuwaita matajiri IKULU wakati kulitakiwa kuwa na formal social campaigns to donate kutoka kwa waratibu wa shughuli za maanga.
5.tunajifunza nini kama taifa kujenga umoja upendo na mshikamano kwa dhati na sio kwa kutumia msuli? Je mshikamano na upendo wa dhati unajengwa vipi katika taifa?
This is not a political perspective issue rather a procedure concern and readiness; na mshikamano aujengwi na cheap politics za kulaumu wengine kama nilivyoanisha kwa sababu it is national calamity na viongozi walitakiwa kuanza wao kuonyesha unity.
6. Je ni nini nafasi ya viongozi wa dini na siasa katika taifa? Je wanapaswa kuheshimiwa au kupuuzwa?
Mimi ni muumini wa dini, hila hapa kila mtu anautashi wake binafsi nina msimamo mkali wa kiongozi wa dini na siasa anaejiingiza kwenye siasa kama nina madaraka ningemtupa rumande bila ya kujali nafasi yake hapa Tanzania au duniani huo ni msimamo wangu.
7.je. tetemeko ni jaribu au sio jaribu?
Its called a natural disaster the wording sums it all what is the event.
Umeongea kitaalamu jinsi ya kukabili maafa...lakini je...bila kujibu maswali hayo hapo juu inawezekana kweli?
Sorry lakini concerns zako ni za kisiasa sio kitaalamu as to dealing with the event.
Ngoja niachie hapo wengine wataendelea.
Have a blessed Sunday