Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

Ila kaongea ukweli
Ungefiwa ww na ndugu yako ktk tetemeko hili lkn Rais anaongelea upuuzi wa misaada ungesema hivyo?
Rais anatakiwa awatie hope watu wake kwa kuondokewa na jamaa zao sio kuwasimanga!

Ndani ya masaa 24 Rais alitakiwa awepo Bukoba!Nina uhakika kama maafa haya yangetokea Chato hasa kijiji anapoishi Mama yake angeenda huko kuona hali halisi siku hiyo hiyo!

Kaashindwa kwenye uchumi na kashindwa kwenye utawala!Anaweza nn sasa?
 
Watu wa Kagera wanahitaji misaada siyo maneno na misaada sio serikali tu hata wewe unayekosoa unatakiwa utoe msaada maana ushukuru Mungu unauwezo wa kuingia jamii forum ukiwa mzima, Na huo ndo utakuwa uzalendo.
 
Ungefiwa ww na ndugu yako ktk tetemeko hili lkn Rais anaongelea upuuzi wa misaada ungesema hivyo?
Rais anatakiwa awatie hope watu wake kwa kuondokewa na jamaa zao sio kuwasimanga!

Ndani ya masaa 24 Rais alitakiwa awepo Bukoba!Nina uhakika kama maafa haya yangetokea Chato hasa kijiji anapoishi Mama yake angeenda huko kuona hali halisi siku hiyo hiyo!

Kaashindwa kwenye uchumi na kashindwa kwenye utawala!Anaweza nn sasa?
Kwaiyo tunaofiwa wote ndugu zetu tuitegemee serikali kutusaidia misaada? Rais kawaambia unwell ili wasibweteke sana
 
Kwaiyo tunaofiwa wote ndugu zetu tuitegemee serikali kutusaidia misaada? Rais kawaambia unwell ili wasibweteke sana
Nani kasema misaada?
Rais ni taasisi na watz wote wanamuita Rais "BABA"na ni kazi ya taasisi hiyo kwanza kuwapa hope walio patwa na maafa!
Rais badala yake anawapa hofu watu walio fiwa na ndugu zao!Kauli ya kipuuzi kabisa hii na nailani sana

Alitakiwa aelezee serikali yake ilipokeaje taarifa za vifo hivi kwanza sio yy kwake habari kubwa ni misaada
 
Huyu jamaa ni mkatili sana. Hana huruma aisee. Bado mijitu itakuja kujipendekeza kusifia na kuitetea hiyo kauli. Mungu atalipa kisasi!
Wewe unaona ni ukatili sisi tunaona ni kuambiwa ukweli. Kama upendi kuambiwa ukweli kwenye hawamu hii utakonda sana!
 
Michango inapelekwa lkn haimaniishi wananchi wakae wabweteke kusubiri michango huo utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu. Sio kosa ktk kauli ya rais
Watu wanapenda kudanganywa zaidi ya kuambiwa ukweli! Rais angetoa kauli kama, serikali iko tayari kuwasaidia kila kitu, ndio wangefurahi hata kama hakuna ukweli wowote!
 
Haya Mambo mpaka yakukute ndo utajua Uchungu wake
Angekuwa ana uchungu angehamua kutawala kirahisi kwa kuwaachia mafisadi waendelee kupeta.

Kudhibiti ufisadi kuna gharama zake ndio hizi kila siku kusimangwa kwa mambo yenye manufaa kwa wengi!
 
kama ilikuwa ni jukumu lao kwa nini wameitisha michango yenye lengo la kuwasaidia? au ni hela za kujenga nyumba za serikali Dodoma, huu ndio utapeli.
 
Mtu yuko nje..familia na watoto...amepoteza vitu vyake...hajapata hata hema bado afanye kazi..
Niongeze kidogo-baba kavunjika mguu na mama ana kitoto kichanga ni nani atafanya kazi? Neno la Mungu linasema: kisha Bwana akamwambia mfalme Solomon, cho chote utakachoomba nitakupa. Mfalme akasema naomba unipe tu busara ya kuongoza watu ulionipa. Yes, busara tu na sio pesa! Kama serikali haileti maafa kwa nini kila mwaka kunatengwa hela kwa ajili Hiyo? Nimeangalia video YouTube kweli Hali sio nzuri na Kama polisi walienda kukusanya misaada ya vyama vingine ni lazima Hali itakuwa mbaya zaidi. Aliyetoa Hiyo amri hafai kuitwa binadamu. Lakini yote haya yataisha kwani Mungu yupo na wana bukoba.
 
Angekuwa ana uchungu angehamua kutawala kirahisi kwa kuwaachia mafisadi waendelee kupeta.

Kudhibiti ufisadi kuna gharama zake ndio hizi kila siku kusimangwa kwa mambo yenye manufaa kwa wengi!
Too low-escrow escrow escrow! Ni mafisadi gani wanashughulikiwa Kama waliohusika na skendali ya escrow wanatanua mitaani?
 
Kwa maisha tuliyo nayo haina haja ya salaam, kwani natambua hali za wengi sio humu nzuri sana.

Jana mkuu wa nchi amewaonya wanasiasa hasa (hasa wa upinzani kwa tafasiri yangu) kutotumia janga la bukoba kama sehemu ya siasa.

Mimi naona tatizo sio siasa, bali tatizo ni kusema ukweli.

Wanasiasa wa upinzania ndio walikuwa wa kwanza kuikoso serkali, namna ilivyoshidwa kuwasaidia wana bukoba.

MWANACCM BULRMBO ALIENDA BUKOBA, MBONA HAKUSEMWA NA MWENYEKITI WAKE? HATUJAONA OLESENDEKA AKISEMA BULEMBO AMEPEWA ONYO KUTOTUMIA JANGA LA BUKOBA KUIDADI CCM.

Maisha yetu yanategemea siasa. KATIBA YA INCHI NA SHERIA NYINGINE MSINGI WAKE SIASA.

SASA KAMA HATAKI SIASA, BASI ASIPANDE WAZUIE NA WANACCM WASIJIHUSISHE KWENYE MAJANGA KAMABULEMBO NA WENGINE JUZI SUMBAWANGA.
 
Umeongea vema lakini unajikanyaga kiapproach. Kama pia una PhD pia basi una shida kwa kuwa huna approach sahihi ya kumaliza tatizo. Labda nikupe changamoto 2 au 3 za kuanzia siku.

1. Nini maana ya politiks?

Siasa ina tafsiri nyingi sana ila kwa tukio husika tunazungumzia sera na mbinu za serikari kushughulika na natural disasters; na ili mara nyingi ni bipartisan agenda kwa sababu taratibu zake zina international directives.

2.How cheap are CHADEMAs politiks and probably how expensive are CCM politics.
Cheap kwa sababu wanakaa kwenye kamati za bunge, cheap kwa sababu budget zinapopita ata kama serikari inajisahau kupanga budget ya maafa aijawahi kuwa concerns yao, cheap kwa sababu awajahi kui-pressure serikari kutaka kujua utayari wa 'Disaster Management Agency' wala mechanism zake za ku deal na maafa pamoja na uratibu wao kujumuisha wengine and if anything viongozi wao are clueless as the rest of us.

Kutokana na wao kutowahi kulihimiza ili jambo wanamakosa ya uzembe kama serikari; kwakuwa natural disaster zinakuja bila ya taadhari zozote kujifanya wewe ndio huko concern sana na kulaumu wengine wakati unahusika kwenye kusimamia pia serikari hizo sasa ndio opportunistic politics or cheap politics kutaka kujipaisha kupitia matukio.

3. Kwa nini siasa zinafanyika kwenye maafa na sio majukwaani.
Si ndio maana nikaziita cheap politics na kukosa maadili hili ni swala la kitaifa na sio kipindi cha kufanya siasa; muda wa kulaumiana ni watakapo rudi bungeni na kuanza kufanya assessment zao what went wrong and how the nation prepares herself in the future. Lakini kwa sasa wananchi wanahitaji assurance kutoka kwa wanasiasa wa pande zote.

4.kwa kupitia tukio hili tunajifunza nini kama taifa kutowachukia matajiri kama tunavyotambua uwepo wa masikini na kuchukua hatua mahususi kupromote wealth zao
It only shows poor planning kuwaita matajiri IKULU wakati kulitakiwa kuwa na formal social campaigns to donate kutoka kwa waratibu wa shughuli za maanga.

5.tunajifunza nini kama taifa kujenga umoja upendo na mshikamano kwa dhati na sio kwa kutumia msuli? Je mshikamano na upendo wa dhati unajengwa vipi katika taifa?
This is not a political perspective issue rather a procedure concern and readiness; na mshikamano aujengwi na cheap politics za kulaumu wengine kama nilivyoanisha kwa sababu it is national calamity na viongozi walitakiwa kuanza wao kuonyesha unity.

6. Je ni nini nafasi ya viongozi wa dini na siasa katika taifa? Je wanapaswa kuheshimiwa au kupuuzwa?
Mimi ni muumini wa dini, hila hapa kila mtu anautashi wake binafsi nina msimamo mkali wa kiongozi wa dini na siasa anaejiingiza kwenye siasa kama nina madaraka ningemtupa rumande bila ya kujali nafasi yake hapa Tanzania au duniani huo ni msimamo wangu.

7.je. tetemeko ni jaribu au sio jaribu?
Its called a natural disaster the wording sums it all what is the event.

Umeongea kitaalamu jinsi ya kukabili maafa...lakini je...bila kujibu maswali hayo hapo juu inawezekana kweli?
Sorry lakini concerns zako ni za kisiasa sio kitaalamu as to dealing with the event.

Ngoja niachie hapo wengine wataendelea.
Have a blessed Sunday
 
Back
Top Bottom