Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha umburura na ushabiki usio na logic nakuombea haya majanga yangekukuta wewe ndio ulete hizo porojo.Rais amesema ukweli. Kagera ina watu wengi sana na ina wasomi wa kutosha. Ukitathmini kwa undani unaweza ukawatenga waathirika katika makundi yafuatayo:
1) Kundi la Familia ya Watu Maskini kabisa, kama wazee wanaoishi peke yao au na watoto wadogo baada ya wazazi wao kuwaterekeza au kutangulia mbele ya haki, Hawa hawana mahala pa kupata msaada wowote
2) Kundi la Familia ya Watu wasio na kipato cha kila siku, Maisha yao wanayaendesha kwa kazi za mikono, hivyo nguvu ya kufanya kazi wanayo.
3) Kundi la Familia ya Watu wenye kipato cha kati. Wanafanya kazi na kupata mshahara kila mwezi
4) Kundi la Familia zinazojiweza. Zina watoto wasomi na wanauwezo wa kusaidia kujenga makazi mapya hata bila msaada wa serikali.
Kwa kuzingatia mahitaji, Kundi la kwanza linahitaji msaasa zaidi wa kujengewa nyumba. Kundi hili bila serikali kulisaidia itakuwa haijatenda haki.
Kundi la pili, nalo linahitaji msaada lakini si kujengewa nyumba. Kundi hili wasaidiwe vifaa vya ujenzi ili waweze kurekebisha nyumba zao kwa nguvu zao wenyewe.
Kundi la tatu, linaweza kusaidia kwa kiwngo tu kama fidia. Wote wanaweza wakapewa pesa kiasi fulani ili kuwasaidia kurekebisha nyumba zao.
Kundi la nne, halihitaji msaada wowote. Wanafamilia wanao uwezo wa kujenga au kurekebisha nyumba iliyoharibika.
Hivyo serikali inabidi itulie na ifanye tathmini ya kutosha ili kutambua familia zilizoathirika na kuzitenga katika makundi wakati wa kutoa msaada. Ikikosea ikakurupuka tu na kuanza kugawa misaada kiholela, kitakachotokea ni malalamiko mengi na wananchi kuichukia serikali yao.
Wazungu wanathamini sana utu kuliko vitu.Government is for the people but not people for the government.
Miaka mitano tutaona Kama decade kwa mipasho utafikiri mswahili dah aseee.
Mmmhsawa
Vipi mkuu, napitia mafile karibuMmmh
[emoji54]JK Mungu anakuona
😳[emoji54]
Wanatamani wampeleke akafute hizo kauli lakini haiwezekaniVipi mkuu, napitia mafile karibu