Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Vyuo vinaingiza mapato kupitia ada ila wahitimu wanahenyeka mtaani. Imagine soko liko saturated tayari, wahitimu zaidi ya 200,000 kugombea ajira 13,000?Msiombe watazifuta wakiona hazilipi
Mkuu mpe mtaji....atajiajiri vipi ilihali hana mtaji?Jamn hata kama wewe ingekuwa raisi wa nchi hii usingeweza kuajiri wahitimu wote, piga moyo konde jaribu tu nakujiajiri ndugu yangu. Najua kwenye kujiajiri mwanzo mgumu lakini ukitulia vzuri kunasiku unaweza kuja kusema bora hukuajiriwa.
Jasili!onyesha njia how,wajiongeze vipi?ivi kwann vijana wengi mnaiangukia sana serikali? tunakwama wap watanzania? yaaani kila kitu serikali, mbna wengine wanatoka nchini kwao uko wanakuja kufanya kazi tanzania, na kuna watanzania wengine wanafanya kazi nchi zingine! whats so important kwamba kila kitu ni jukumu la serikali hata kujiongeza nayo unataka serikali ihusike, daaah
Jasili!onyesha njia how,wajiongeze vipi?
Kijana wa Darasa la Saba,akifika mjini akapata bajaji/bodaboda ya kuingiza buku mbili,akapanga chumba,akapata kadem,Kamaliza maisha!kumuambia Mhitimu wa chuo kikuu,na yeye aendeshe bodaboda,ni kumtukana matusi ya nguoni,na ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Anajua kulima na kufuga,muoneshe auze wapi?
Anajua IT,mpe tatizo atengeneze APP atatue apate pesa.
Hata Diamond,asingefika hapo alipo,bila ya watu kuona kipaji,pesa ikawekwa,nyimbo zikatengenezwa,alikuwa na kipaji,matunda ya kipaji yasingejurikana bila rasilimali fedha.
Vijana Wana uwezo mkubwa tu,wape nafasi uone Maajabu.
Hivi unajua kwamba kampuni Kama Google na Microsoft wanatumwa sana vijana waliosomea IT wa Ghana na Nigeria kutengeneza software,Tena kwa gharama nafuu kuliko kutumia Mhitimu wa Havsrd?
Weka njia,sio maneno meengi
Limekuwa au lilikuwa mkuu? Umesahau kwamba chama chako awamu hii kimeandaa neema ya ajira 8m? Mimi napendekeza tusifanye mi[emoji109] tena, tufanye [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]ili ziwe 32m kabisa.Pole sana kwa unayopitia wewe na wengine wengi. Ajira limekua tatizo kubwa sana Tanzania na hata duniani.
Sawa mkuuAjira inaletwa na mungu. Kwani kuna kiumbe kisicho na mungu. Ndege wana miungu na wanaishi pia
Mpaka awamu hii ipite si umri utakuwa umeenda sana mkuu!Jibu wape subiria awamu hii ipite
Na ogopa sana kundi hilo ..wako desperate wanaweza fanya lolote...tutarajie ujambaz wa kisomi,vikund vvya kigaid,ukahaba,utapel na uhamaj wa nchiNa kundi hili la vijana asilimia kubwa ukiwaeleza uwepo wa Mungu mtapigana!
Mfia dini gani huyu wakat hapa tu yupo na ID fakeKwamba unataka kusemaje mfia dini?