Rais Magufuli tunusuru vijana wako tunapitia kipindi kigumu

Rais Magufuli tunusuru vijana wako tunapitia kipindi kigumu

Jamn hata kama wewe ungekuwa Rais wa nchi hii usingeweza kuajiri wahitimu wote, piga moyo konde jaribu tu nakujiajiri ndugu yangu. Najua kwenye kujiajiri mwanzo mgumu lakini ukitulia vizuri kunasiku unaweza kuja kusema bora hukuajiriwa.
 
Msiombe watazifuta wakiona hazilipi
Vyuo vinaingiza mapato kupitia ada ila wahitimu wanahenyeka mtaani. Imagine soko liko saturated tayari, wahitimu zaidi ya 200,000 kugombea ajira 13,000?

Madudu kwenye ajira hizi yameibua manunguniko na kukata tamaa miongoni mwa wahitimu na ndugu na jamaa zao, na kuwashushia morali ya uzalendo. Sasa kwa vile vyuo ndo vinajukumu la manpower planning kwenye nchi basi lazima vilazimishwe kupunguza udahili wa kozi za ualimu ili zije na kozi zinazofaa kwa wakati huu na ujao. e
 
Jamn hata kama wewe ingekuwa raisi wa nchi hii usingeweza kuajiri wahitimu wote, piga moyo konde jaribu tu nakujiajiri ndugu yangu. Najua kwenye kujiajiri mwanzo mgumu lakini ukitulia vzuri kunasiku unaweza kuja kusema bora hukuajiriwa.
Mkuu mpe mtaji....atajiajiri vipi ilihali hana mtaji?
 
Hivi kwanini vijana wengi mnaiangukia sana serikali? tunakwama wapi Watanzania? yani kila kitu serikali, mbona wengine wanatoka nchini kwao uko wanakuja kufanya kazi Tanzania, na kuna watanzania wengine wanafanya kazi nchi zingine! whats so important kwamba kila kitu ni jukumu la serikali hata kujiongeza nayo unataka serikali ihusike, daaah
 
Of course Kuna issue ya marketing ya coz unayosoma, halafu pia Kuna kujiongeza coz bila kuajiriwa napo lazima maisha yaende mbele, Kuna fact Kama mtaji, mtu anamiliki simu ya 200k+ halafu unalalamika mtaji elimu inakuwa imekudumaza akili
 
ivi kwann vijana wengi mnaiangukia sana serikali? tunakwama wap watanzania? yaaani kila kitu serikali, mbna wengine wanatoka nchini kwao uko wanakuja kufanya kazi tanzania, na kuna watanzania wengine wanafanya kazi nchi zingine! whats so important kwamba kila kitu ni jukumu la serikali hata kujiongeza nayo unataka serikali ihusike, daaah
Jasili!onyesha njia how,wajiongeze vipi?

Kijana wa Darasa la Saba, akifika mjini akapata bajaji/bodaboda ya kuingiza buku mbili, akapanga chumba, akapata kadem, Kamaliza maisha! kumuambia Mhitimu wa chuo kikuu, na yeye aendeshe bodaboda, ni kumtukana matusi ya nguoni na ni matumizi mabaya ya rasilimali.

Anajua kulima na kufuga, muoneshe auze wapi?
Anajua IT, mpe tatizo atengeneze APP atatue apate pesa.

Hata Diamond, asingefika hapo alipo, bila ya watu kuona kipaji, pesa ikawekwa, nyimbo zikatengenezwa, alikuwa na kipaji, matunda ya kipaji yasingejurikana bila rasilimali fedha.

Vijana Wana uwezo mkubwa tu, wape nafasi uone Maajabu.
Hivi unajua kwamba kampuni Kama Google na Microsoft wanatumwa sana vijana waliosomea IT wa Ghana na Nigeria kutengeneza software, Tena kwa gharama nafuu kuliko kutumia Mhitimu wa Havsrd?
Weka njia, sio maneno meengi
 
Jasili!onyesha njia how,wajiongeze vipi?
Kijana wa Darasa la Saba,akifika mjini akapata bajaji/bodaboda ya kuingiza buku mbili,akapanga chumba,akapata kadem,Kamaliza maisha!kumuambia Mhitimu wa chuo kikuu,na yeye aendeshe bodaboda,ni kumtukana matusi ya nguoni,na ni matumizi mabaya ya rasilimali.
Anajua kulima na kufuga,muoneshe auze wapi?
Anajua IT,mpe tatizo atengeneze APP atatue apate pesa.
Hata Diamond,asingefika hapo alipo,bila ya watu kuona kipaji,pesa ikawekwa,nyimbo zikatengenezwa,alikuwa na kipaji,matunda ya kipaji yasingejurikana bila rasilimali fedha.
Vijana Wana uwezo mkubwa tu,wape nafasi uone Maajabu.
Hivi unajua kwamba kampuni Kama Google na Microsoft wanatumwa sana vijana waliosomea IT wa Ghana na Nigeria kutengeneza software,Tena kwa gharama nafuu kuliko kutumia Mhitimu wa Havsrd?
Weka njia,sio maneno meengi

Ebu show me sehem kokote duniani ambapo serikali inawatafutia masoko wananchi wake niachane na biashara nnaofanya nkafanye kitu chenye uhakika! maisha yangekua ni ivo aisee hata mm ningeingia uko mapema sana, yaaani kuanza kuangaika na wateja nsiowajua wakati kuna sehem yenye uhakika!

  • Hata The biggest companies in the world google. microsoft unaongelea wote wanapiga kazi kwa bidii kumvuta mteja na ndo kwanza serikali iko bussy kusubiri wafanye kosa wawapige faini, kila mwezi
  • Mpaka unaingia kusoma chuo nadhan kwa mtu mwenye akili zmekaa sawa sawa atakua tayar ashaplan maisha yake yanaenda vp mpaka mwisho, wewe unamaliza chuo alafu hujui mstari unaendaje baada ya chuo huo ni uzembe sasa! biashara imefungwa mmepoteza kazi malalamiko, hujapata kazi malalamiko, sasa wewe kama wewe faida yako ni nn hapa nchini? serikali ina wtu limited wananchi wako mil 60 na wanalipa kodi 18%: alafu unataka 18% ihudumie 60MIl people , ama kweli kazi ipo kwenye hii nchi
 
Alisema ndani ya miaka hii mitaani atatengeneza ajira milioni 8 cha vumilia bado kidogo najua huwez kukosa hapo
 
Pole sana kwa unayopitia wewe na wengine wengi. Ajira limekua tatizo kubwa sana Tanzania na hata duniani.
Limekuwa au lilikuwa mkuu? Umesahau kwamba chama chako awamu hii kimeandaa neema ya ajira 8m? Mimi napendekeza tusifanye mi[emoji109] tena, tufanye [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]ili ziwe 32m kabisa.

Watz tutamiliki ajira hata nne nne mambo yatakuwa mwake, mabeberu watajinyonga kwa wivu!
 
Kikwete juzi kasema kisomo tu pekeake hakitoshi kwenye soko la ajira.... Inatafakarisha sana
 
Acha tu ndugu yangu, kuna wakati ilifika wazazi na ndugu zangu wakadhan sikumaliza chuo na huenda nili disco muda mrefu, mpaka ilibidi niwape cheti changu ndio wakaamini
 
Na kundi hili la vijana asilimia kubwa ukiwaeleza uwepo wa Mungu mtapigana!
Na ogopa sana kundi hilo ..wako desperate wanaweza fanya lolote...tutarajie ujambaz wa kisomi,vikund vvya kigaid,ukahaba,utapel na uhamaj wa nchi
 
Back
Top Bottom