Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Nini maana ya coward?You will be coward ukifikiri kuwa hatapata kipindi cha pili. Piga ua anamaliza 2025 unless kifo tu
Maana kila siku waziri Ummy anatu update na matangazo, kamati ziundwa chini ya waziri mkuu na vingine vinafanyika yaani kila mtumishi serikalini anawajibika kwa nafasi yake lakini unaona wanacheza.Sitaki kuamini, nataka kujua.
Wewe unaelewa kwamba watu wakifa kwa mafungu kutokana na ugonjwa huu, huo uchumi unaoufikiria kuutetea hautakuwapo?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Tofautisha Kati ya nchi na Dikteta Kama Magufuli.Utasubiri sana wewe msaliti wa nchi yetu.
Tanzania hakuna serikali ya watu, hilo ni genge hatari la wahuni lenye silaha za motoMaana kila siku waziri Ummy anatu update na matangazo, kamati ziundwa chini ya waziri mkuu na vingine vinafanyika yaani kila mtumishi serikalini anawajibika kwa nafasi yake lakini unaona wanacheza.
Hivi wewe na serikali nani mwenye vyanzo thabiti vya kujua tatizo kwa upana wake?
Ila kama unaona serikali haiwajibiki kwa wananchi wake,fanya wewe sio kubeza kwa kila kitu
Mtu akiishi nje ya nchi yake amekuwa kakataa kwao? Mbona nimefanya harakati nyingi tu za Siri za kuwatia adabu nyie mashetani kwenye uchaguzi huu wa 2020.Wewe ni mfungua vizibo vya bia mrombo wa pale Tarakea mkuu acha kukataa kwenu!!
Dah!Tanzania hakuna serikali ya watu, hilo ni genge hatari la wahuni lenye silaha za moto
Sent using Jamii Forums mobile app
Vatican City na Mecca watu wamekubali kusitisha sala makanisani na misikitini.Maana kila siku waziri Ummy anatu update na matangazo, kamati ziundwa chini ya waziri mkuu na vingine vinafanyika yaani kila mtumishi serikalini anawajibika kwa nafasi yake lakini unaona wanacheza.
Hivi wewe na serikali nani mwenye vyanzo thabiti vya kujua tatizo kwa upana wake?
Ila kama unaona serikali haiwajibiki kwa wananchi wake,fanya wewe sio kubeza kwa kila kitu
Utaalamu ni nini na kwa nini utaalamu uhitajike ili kujua watu wakifa kwa epidemic uchumi utaanguka?
Una maanisha nini? yaani achomoe cable kabisahuyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
Mwanzo nilifikiri unaakili kumbe ni boga tu.UN wanapokea malalamiko yenu mengi sana, wanasubiri Magufuli afanye mass killing kwenye maandamano baada ya uchaguzi mkuu wa 2020,apigwe pingu Kama Bashir wa Sudan.
Na tayari CIA wana organise hayo maandamano, waliwa beep kwa kumpiga ban Makonda, machale yakawacheza mkakaa kimya, ila bado mtajaa kwenye 18 zao huu mwaka.
Bashir alijifanya mjanja yuko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dua la kuku halimpatagi mwewe, wewe ni kuku tu.huyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
Ulivyosema JIWE tu nimekujua ni shabiki wa siasa.Vatican City na Mecca watu wamekubali kusitisha sala makanisani na misikitini.
Sisi Jiwe anasema watu waendelee kukutana makanisani na misikitini, bila mpango wowote wa kuzuia maambukizi.
Mpaka hapo hujaona serikali inacheza tu bado?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Si mwaka jana ulikuwa unasema uko Australia na una miaka 23? Na unafanya forex.?Miaka yangu Duniani ni 120 na sasa bado nina 37 tu.
CCM ni Virus kwa hiyo lazima iangamie na kutoweka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje nina chama ninachokipenda?Ulivyosema JIWE tu nimekujua ni shabiki wa siasa.
Any way subiria chama unachokipenda ikipata madaraka itafanya kama Vatican.