Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Huwezi sema lazima tutafanya hili janga halitabiriki na bdo halijaesha wala kuonesha dalili ya kuisha. So hatujui nani atakuwepo kufika octob. Huwezi jua labda tukwa na msiba wa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitaki kuamini, nataka kujua.

Wewe unaelewa kwamba watu wakifa kwa mafungu kutokana na ugonjwa huu, huo uchumi unaoufikiria kuutetea hautakuwapo?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Maana kila siku waziri Ummy anatu update na matangazo, kamati ziundwa chini ya waziri mkuu na vingine vinafanyika yaani kila mtumishi serikalini anawajibika kwa nafasi yake lakini unaona wanacheza.

Hivi wewe na serikali nani mwenye vyanzo thabiti vya kujua tatizo kwa upana wake?

Ila kama unaona serikali haiwajibiki kwa wananchi wake,fanya wewe sio kubeza kwa kila kitu
 
Utasubiri sana wewe msaliti wa nchi yetu.
Tofautisha Kati ya nchi na Dikteta Kama Magufuli.
Nyerere alikuwa mwema, alipita na Tanzania ipo, Magufuli ni katili atapita na kuiacha Tanzania.

Mimi ni msaliti wa shetani anayeitwa CCM na mzalendo wa Tanzania. Nyie vilaza mtu yoyote anayewachukia eti ni msaliti wa nchi, nyie mtakufa wote na Tanzania mtaiacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana kila siku waziri Ummy anatu update na matangazo, kamati ziundwa chini ya waziri mkuu na vingine vinafanyika yaani kila mtumishi serikalini anawajibika kwa nafasi yake lakini unaona wanacheza.

Hivi wewe na serikali nani mwenye vyanzo thabiti vya kujua tatizo kwa upana wake?

Ila kama unaona serikali haiwajibiki kwa wananchi wake,fanya wewe sio kubeza kwa kila kitu
Tanzania hakuna serikali ya watu, hilo ni genge hatari la wahuni lenye silaha za moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana kila siku waziri Ummy anatu update na matangazo, kamati ziundwa chini ya waziri mkuu na vingine vinafanyika yaani kila mtumishi serikalini anawajibika kwa nafasi yake lakini unaona wanacheza.

Hivi wewe na serikali nani mwenye vyanzo thabiti vya kujua tatizo kwa upana wake?

Ila kama unaona serikali haiwajibiki kwa wananchi wake,fanya wewe sio kubeza kwa kila kitu
Vatican City na Mecca watu wamekubali kusitisha sala makanisani na misikitini.

Sisi Jiwe anasema watu waendelee kukutana makanisani na misikitini, bila mpango wowote wa kuzuia maambukizi.

Mpaka hapo hujaona serikali inacheza tu bado?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
UN wanapokea malalamiko yenu mengi sana, wanasubiri Magufuli afanye mass killing kwenye maandamano baada ya uchaguzi mkuu wa 2020,apigwe pingu Kama Bashir wa Sudan.
Na tayari CIA wana organise hayo maandamano, waliwa beep kwa kumpiga ban Makonda, machale yakawacheza mkakaa kimya, ila bado mtajaa kwenye 18 zao huu mwaka.
Bashir alijifanya mjanja yuko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo nilifikiri unaakili kumbe ni boga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vatican City na Mecca watu wamekubali kusitisha sala makanisani na misikitini.

Sisi Jiwe anasema watu waendelee kukutana makanisani na misikitini, bila mpango wowote wa kuzuia maambukizi.

Mpaka hapo hujaona serikali inacheza tu bado?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Ulivyosema JIWE tu nimekujua ni shabiki wa siasa.

Any way subiria chama unachokipenda ikipata madaraka itafanya kama Vatican.
 
Unajuaje nina chama ninachokipenda?

Hujajibu hoja.

Unaona serikali iko serious kuhusu kuzuia maambukizi ya Covid 19 kwa press releases, huku watu wameachiwa waambukizane?

Huo uchumi unaotaka kiutetea, watu wakiqnza kufa kwa mafungu, uchumi huo utaendelea kusimama?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Back
Top Bottom