Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

Nani wakumwachia nchi toka upinzani? Mbowe? Unataka Hazina yetu itoweke kabisa then akimbilie Marekani? Si unaona hata watoto wake majina yao ya Kimarekani.
Mkuu nchi hii ina watu zaidi ya milioni 55,please toka humo ulimo fungiwa
 
Utaanza kufa wewe tena na Corona
 
Mtu akiishi nje ya nchi yake amekuwa kakataa kwao? Mbona nimefanya harakati nyingi tu za Siri za kuwatia adabu nyie mashetani kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Wewe kweli mshamba hasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini tayari tumeshakunyoosha unapumlia mpira tu kwa sasa ila unajikaza tu kila ugusapo unagonga mwamba la Buringi uko hoi bin tabani.
 
mnaandaliwa ki saikolojia
 
Kwa kuwa tume ni mali binafisi ya ccm, apo kwa taharifa hii hujaandika la maana lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa na ulivyo mpinzani hujui kuandika: apo = hapo; taharifa = taarifa; maana lolote = maana yeyote. Rudi shule ndipo uwe na kibali cha angalau kujadili kuhusu utawala wa PhD holder
 
Chini ya tume Huru ya uchaguzi?
Nani kakudanganya kuwa duniani kuna Tume huru ya uchaguzi? Kuna uchaguzi na anayeshindwa kama alikuwa chama tawala, Tume inachupa na kuwa huru. Chama tawala kikishinda! Tume siyo huru
 
Tume huru ina maana gani? Ni ile yenye wanachama wa CHADEMA? au mseto kama ile iliyowahi kuundwa Zanzibar? Hao watu huru ni akina nani? Kuna maneno yanatumika na hawa wazembe bila hata kujua kitakachopatikana ni kitu gani. Vikisimama jukwaani vinazua mambo ambayo hata hayapo dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…