Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Tafuta popote ninapomsifu, ukipaona nitag.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JPM kifaa huyo! Hakuna kuhairisha tutapiga kura kidigitali
You will be coward ukifikiri kuwa hatapata kipindi cha pili. Piga ua anamaliza 2025 unless kifo tu
Bila tume huru hakuna uchaguzi yaaniKwahiyo hamtaki tena uchaguzi?
macson
Mkuu nchi hii ina watu zaidi ya milioni 55,please toka humo ulimo fungiwaNani wakumwachia nchi toka upinzani? Mbowe? Unataka Hazina yetu itoweke kabisa then akimbilie Marekani? Si unaona hata watoto wake majina yao ya Kimarekani.
Usimlinganishe Rizmoko na huyo ndugu ni mbingu na dunia Baba Riz ni hazina idumuyoHaya maneno mliyasema kipindi kile cha ridhiwani, sasa hivi nani anakumbuka??
Sent using Jamii Forums mobile app
Chini ya tume Huru ya uchaguzi?You will be coward ukifikiri kuwa hatapata kipindi cha pili. Piga ua anamaliza 2025 unless kifo tu
Utaanza kufa wewe tena na CoronaTofautisha Kati ya nchi na Dikteta Kama Magufuli.
Nyerere alikuwa mwema, alipita na Tanzania ipo, Magufuli ni katili atapita na kuiacha Tanzania.
Mimi ni msaliti wa shetani anayeitwa CCM na mzalendo wa Tanzania. Nyie vilaza mtu yoyote anayewachukia eti ni msaliti wa nchi, nyie mtakufa wote na Tanzania mtaiacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini tayari tumeshakunyoosha unapumlia mpira tu kwa sasa ila unajikaza tu kila ugusapo unagonga mwamba la Buringi uko hoi bin tabani.Mtu akiishi nje ya nchi yake amekuwa kakataa kwao? Mbona nimefanya harakati nyingi tu za Siri za kuwatia adabu nyie mashetani kwenye uchaguzi huu wa 2020.
Wewe kweli mshamba hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!huyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
TUME C YAKWAKE
mnaandaliwa ki saikolojiaRais Magufuli kasisitiza kuwa uchaguzi mkuu 2020 upo palepale, jee wapinzani waliosema kama hakuna Tumehuru ya uchaguzi basi watahakikisha kuwa haufanyiki nini kinaendelea?
Hivi kweli serikali hii inaweza kujitia uziwi kwenye jambo hili LA Tumehuru na kusubiri matokeo ya nini watafanya upinzani?View attachment 1399821
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi! Tangu 2015 ulikuwa wapi?Nauliza Mchakato wa Tume huru ya uchaguzi vipi?
Astrologer?Asichokijua ni kwamba kwa uzembe uliofanyika wa kucontroll Corona hadi kufikia mwezi wa kumi tutakuwa kama Italy mara nne hivi!
Sijaelewa na ulivyo mpinzani hujui kuandika: apo = hapo; taharifa = taarifa; maana lolote = maana yeyote. Rudi shule ndipo uwe na kibali cha angalau kujadili kuhusu utawala wa PhD holderKwa kuwa tume ni mali binafisi ya ccm, apo kwa taharifa hii hujaandika la maana lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganya kuwa duniani kuna Tume huru ya uchaguzi? Kuna uchaguzi na anayeshindwa kama alikuwa chama tawala, Tume inachupa na kuwa huru. Chama tawala kikishinda! Tume siyo huruChini ya tume Huru ya uchaguzi?
Tume huru ina maana gani? Ni ile yenye wanachama wa CHADEMA? au mseto kama ile iliyowahi kuundwa Zanzibar? Hao watu huru ni akina nani? Kuna maneno yanatumika na hawa wazembe bila hata kujua kitakachopatikana ni kitu gani. Vikisimama jukwaani vinazua mambo ambayo hata hayapo dunia hii.Rais Magufuli kasisitiza kuwa uchaguzi mkuu 2020 upo palepale, jee wapinzani waliosema kama hakuna Tumehuru ya uchaguzi basi watahakikisha kuwa haufanyiki nini kinaendelea?
Hivi kweli serikali hii inaweza kujitia uziwi kwenye jambo hili LA Tumehuru na kusubiri matokeo ya nini watafanya upinzani?View attachment 1399821
Sent using Jamii Forums mobile app