Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Wewe unajitoa huitaki? Hutaki kura yako iheshimiwe?Mnasubiri Rais awape Tume huru badala ya kupambana muipate
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajitoa huitaki? Hutaki kura yako iheshimiwe?Mnasubiri Rais awape Tume huru badala ya kupambana muipate
Majukumu gani hayo ya ngazi ya familia? Mbona mnakuwa wajinga hivi? Nchi walizoamua kuwa hata mikutano ya ibada isifanyike wameingilia majukumu ya familia? tetea hoja kwa hoja na si vioja! Sema bado hatujawa na threat kiasi cha kuzuia hata mikusanyiko ya ibada, sio kuleta ujuaji mwingi.Kwaiyo hadi majukumu na maamuzi yako ya ngazi familia unataka maelekezo ya rais?
Basi subiri uteelekezwa cowards
1.5T ziko wapi?Nani wakumwachia nchi toka upinzani? Mbowe? Unataka Hazina yetu itoweke kabisa then akimbilie Marekani? Si unaona hata watoto wake majina yao ya Kimarekani.
huyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
Hili no janga la afya la kimataifa.Wakuongoze hadi ngazi ya familia mkuu?
Tumekuelewa mzee hiyo ofisi ni ngumu usichukue fomu tena.. Ila kingine tupatie tume huru ya uchaguzi ili wananchi wafanye maamuzi wenyewe"Na uchaguzi tutafanya, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha, nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo,"
Iliyopo ni huru, au unataka Mbowe awe mwenyekiti ndio iwe huru?Nauliza Mchakato wa Tume huru ya uchaguzi vipi ??
No wengi tunamwombea awe hai ili akamilishe miradi aloianzisha, hata kama hataimalizia by 2025 angalau iwe katika hatua za kukamilika morning ili atakayeingia baada yake awe na ari ya kuimaliziahuyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
Tume huru 2025 na katiba mpyaTumekuelewa mzee hiyo ofisi ni ngumu usichukue fomu tena.. Ila kingine tupatie tume huru ya uchaguzi ili wananchi wafanye maamuzi wenyewe
unaenda mbaliii hadi Israelhuyu jamaa japo nilimpa kura 2015...but now naomba isarel mtoa roho afanye yake
Ziko Moshi kwa Mtei1.5T ziko wapi?
Jingine tena hiliSio kwamba angesema kufanyika kwa uchaguzi mkuu kutategemea na hali ya coronavirus kuonesha busara na hekima ya hali ya juu, ikiwemo hekima iliyopo kwenye nembo ya 'uhuru na hekima' ya UDSM?
Nimeelewa ndio maana tusilaumu na tuamini serikali maana inachukua maamuzi hatua kwa hatua.Nimeonesha kwamba, hili si jambo la familia, ni jambo linaloeleweka kimataifa na nchi nyingi zinafanya hivyo.
Umeelewa hilo kwanza?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Wewe ndo mungu wa Magufuli na kwa hiyo unaijua kesho yake, Hongera sanaYou will be coward ukifikiri kuwa hatapata kipindi cha pili. Piga ua anamaliza 2025 unless kifo tu
Mkiulizwaga hilo swali mnakuwa wakali sana!Ziko Moshi kwa Mtei