Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Itategemeana na nani kashinda ,ikiwa Maganja au shibuda mbona anaachia kwa mbwembwe kabisaRais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.
Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.
Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?
TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Anajipigia kura mwenyewe? Kumbuka kipindi hiki wapiga kura wote wanavaa uhusika wa 'wajumbe'. Wajumbe siyo watu, usijiapize ndugu.JPM kushindwa u Rais , ni sawa na jua lianze kutoka magharibi kwenda mashariki, au mvua ianze kunyesha kutokea ardhini kwenda mawinguni au mwezi uanze kuangaza mchana na jua usiku.
Epukeni kujipa matumaini hewa ambayo hapo baadae yatawaacha na simanzi kubwa huku mioyo imejaa machozi kwa kutokuamini kile kilichotokea
Magufuli hata akishindwa uchaguzi na Figisu zake zooote Ni king'ang'anizi hivyo ni ngumu sana kuwa tayari kuachia madaraka.
Kwa kipindi chake tu hiki cha kwanza cha miaka 5 ameonyesha kila Dalili za kutaka kuwa Raisi asiye na ukomo wa madaraka.
Watanzania tuamke magufuli anaharibu nchi.
Nakazia Magufuli kushinda ni lazima.Anajipigia kura mwenyewe? Kumbuka kipindi hiki wapiga kura wote wanavaa uhusika wa 'wajumbe'. Wajumbe siyo watu, usijiapize ndugu.
Ok!Nakazia Magufuli kushinda ni lazima.
Hakuna Interview anayo ikubali Magufuli hapa ndio utajua kuwa jamaa ni muoga sana, kauli kama hizi maisha magufuli hawezi kutoa yeye anajua tu kuwa lazima aendelee kutawala kitu ambacho sio kabisaRais Magufuli kama mgombea wa Chama tawala, anatakiwa kutoa tamko la kukubali matokeo kwa namna yoyote yatakavyokuwa. Itakuwa jambo la hekima kujitokeza hadharani na kuonesha msimamo wake.
Mpinzani wake mkuu, Lissu, ameshasema kuwa akishinda au kushindwa kwa haki, yupo tayari kukubali matokeo.
Wote hawa wanaamini watashinda, lakini je Magufuli ukishindwa utakubali?
TUNAOMBA MSIMAMO WAKO KWA HILI
Mara zote huwa napenda kuwakumbusha wakati wa uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.Anajipigia kura mwenyewe? Kumbuka kipindi hiki wapiga kura wote wanavaa uhusika wa 'wajumbe'. Wajumbe siyo watu, usijiapize ndugu.
Ha ha ha ha daaah mkuu umetulia kubwa mno kufikiri !Hakina ndivyo ilivyoItategemeana na nani kashinda ,ikiwa Maganja au shibuda mbona anaachia kwa mbwembwe kabisa
Shida itakuja ukiwa lissu atashinda mzee jiwe atafikiri juu ya mayanga construction company ,25000 hekari ,Mauza uza ya Acacia sijui wasiojulikana ataamua bora waniulie kwa kiti
Kwani kuna mtu anamchukia Magufuli? Kumchagua mtu siyo mapenzi, ni wananchi wanaona ni mgombea gani anaweza kuwaletea ahueni ya maisha kwa kuweka sera rafiki.....Kama huko mnachaguana kwa kupendana endeleeni.Mara zote huwa napenda kuwakumbusha wakati wa uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la kudumu la mpiga kura.
CCM ilihamasisha sana watu wake tofauti na nyie mlikuwa mnawaambia wagomee, tena wengine walikuwa wanapost picha mitandaoni kwa furaha kabisa kwamba vituoni hakuna watu na hilo ndio litawagharimu, msitegemee kupata ushindi eti kutoka kwa wana CCM wanaomchukia JPM
Huwa mnafikiria nini mnaposema atashinda tuu.JPM kushindwa u Rais , ni sawa na jua lianze kutoka magharibi kwenda mashariki, au mvua ianze kunyesha kutokea ardhini kwenda mawinguni au mwezi uanze kuangaza mchana na jua usiku.
Epukeni kujipa matumaini hewa ambayo hapo baadae yatawaacha na simanzi kubwa huku mioyo imejaa machozi kwa kutokuamini kile kilichotokea
Mkuu amini nikwambiacho na akili yako uanze kuiandaa kisaikolojia kuwa JPM mitano tena, bila matusi wala niniKwani kuna mtu anamchukia Magufuli? Kumchagua mtu siyo mapenzi, ni wananchi wanaona ni mgombea gani anaweza kuwaletea ahueni ya maisha kwa kuweka sera rafiki.....Kama huko mnachaguana kwa kupendana endeleeni.
Hahahahahah......basi poa.Mkuu amini nikwambiacho na akili yako uanze kuiandaa kisaikolojia kuwa JPM mitano tena, bila matusi wala nini
Usijali kiongozi, kuanzia tarehe 02 hapo tutaanza kutafutana ila msizime simu tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah......basi poa.