Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

Kuua hapana ila mahakamani ndiyo mahala pake,atafute Haki yake na ikibidi akose dhamana kama Mh.Lema tuone kama atatoka salama huko!Mkuki kwa nguruwe...
Watanzania tukatae utawala wa kiimla,dalili zinaonyesha CCM wamejipanga kumfanya Jiwe Rais wa kudumu.Take A Note!
 
Suala ni kukubali matokeo ya kura iwapo atashindwa.Hayo mawazo ya Jua kukucha kutoka Magharibi,sijui mvua inyeshe kutokea ardhini ni sawa?Ushindi wa Magufuli ni Natural? Mbona tunafanya Uchaguzi kama matokeo tayari mnayo?
 
Ni rahisi kwa ngamia kupita tundu la sindano kuliko Magufuli kushindwa Urais
Hakuna cha ziada na hakuna kilichopungua.
 
Ikulu ni mahali patakatifu, si sehemu pa wanaharakati kufanyia majaribio ya uongozi
Magufuli alipakalia,ni Mwanaharakati gani atashindwa?Ikulu ni yetu Watanzania na atakayepewa na Wananchi ataingia kwa hiyo msitupangie.
 
Ushindi kwa Magufuli siyo ombi kutoka kwa vijana wa BAVICHA au BAWACHA , ushindi kwa Magufuli ni mpango ulioidhinishwa na mwenye mamalaka.
 
Magufuli kishaanza kuaga pale ikulu anajua anashindwa ktk uchaguzi huu. Ameomba aondoke na tausi 25 akafuge kwake.
Alisikika mjinga mmoja pale ufipa akiota ndoto za mchana.
 
Your nailed it clearly
 
Huyo Robert Amsterdam hawezi kuwa na impact yoyote. Ongea mengine tu.
 

Watu wengi waliojiandikisha si kwa lengo la kupiga kura, bali kupata kitambulisho. Lkn sasa watu hao wamebadili upepo, watatumia kitambulisho chao kufanya wanao jua wao.
 
Magufuli anapigwa chini, siku tatu kabla ya uchaguzi ndipo atajua hilo. Kwasasa tunamwacha asije tusumbua
 
Mkubwa, unauliza swali ambalo hatathubutu kulijibu..

Yaani kwa CCM na Magufuli fomular wanayoitumia iko hivi:

KUSHINDA + KUSHINDWA = KUSHINDA...!

Wamesema, hawana msamiati wa "KUSHINDWA KATIKA UCHAGUZI HUU WA 2020" katika kamusi yao..

Wameshasema hivi kwa kutumia vinywa vyao mwenyewe, kwamba;

"....Iwe Mungu muumba ANATAKA ama awe HATAKI, wao CCM na Magufuli wao ni LAZIMA WASHINDE uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2020 na kuunda serikali..."

Duuh, hii ni kufuru dhidi ya Mungu Yehova iliyovuka mipaka. Kwa kweli wanachokitafuta watakipata...!

Kwa maneno haya, huyu mtu ni KIBURI mwanzo mwisho. Hawezi kutoka ama kuachia madaraka ya Urais kilaini. Lazima atatolewa kwa AIBU na kwa LAZIMA kwa kutumia WINCHI huku akiwa amefungashwa kwenye ndege kuelekea The Hague..!
 
Na huu muda unakuja around the corner ....
 
Shida inaa
Shida inaanzia hapa mjenga nchi ni mwananchi na mbomoa nchi ni mwananchi.
 
Tuna taasisi dhaifu sana ambazo hazina ubavu wa kumfuata Ikulu sitting president na kumuamuru aondoke Ikulu

NEC yenyewe kabla ya kutangaza matokeo bila shaka wataomba ruhusa kutoka TISS. Doomed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…