Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Mkuu acha roho mbaya na uchochezi.
Kwanini usichukulie kuwa Manara kapewa promo, ivo wazazi wengi watapeleka watoto wao kufundishwa dini au watakuwa wanamsikiliza Manara, kwa vile ana elimu nzuri ya dini!!

Kumbuka,Huwezi rithi mbigu kwa kuuwa wasio na hatia.
 
Lini Sunday Manara alikuwa Mkristo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkubwa una chuki na timu au? ni hilo tu la kufundisha madrasa?
 
Nyie waislam sasa ni ukoma sugu,.. Hivi nyie watu roho zenu ni za aina gani na huyo Mungu wenu ni Mungu wa aina gani, mbona ni wakorofi na msiyechoka kutafuta migogoro, malumbano, kila kukicha,.. Hayo mapepo yenu yanastahili yabaki huko baharini. Yaani nyie kila kukicha dunia nzima mnawaza kukorofishana,... Mara mfumo Kristo, mara hili mara lile,.. Hapo alipotukana uislam ni wapi,.. Huyo Manara hakumwambia Nugaz ameiingilia mpira taaluma asiyoijua arudi kwenye mapori akafanye anachokijua?.... Muro kumkumbusha Manara akawasaidie watu kwa elimu yake ya madrasa ni kuutukana uislam? Wewe kama ulipata cheti kinachoonyesha umepitia skuli, ni zero kbs. Waislam mna matatizo makubwa sana, mnataka watu wasikohoe, wala wasitamke neno uislam,.. Nyie ni viumbe vya aina gani,.. Na dunia leo inakua sio mahala pema penye amani tena ni kwasababu yenu nyie watu, shetani ana wa drive vizuri sana,.. Me naamini wote tungekua na mafundisho ya krikrito hapa duniani pangekua na amani nzr na ya ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam ni ushetani, naamini hivyo na iko hivyo,.. Ukitulia vzr na kuzipitia hoja zao,.. Ni wazi kbs waislam ni watu wa shari na sio binadamu wa kawaida,.. Hawako ktk mpango wa Mungu kbs,.. Yaani wanawaza mabaya kila siku, daah!!... Namshukuru Mungu kunifanyia niwe mkristo maana najisikia amani kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…