Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Nawashauri na nawataka Waislamu wote nchini Tanzania wasilivumilie hili la DC Jerry Muro tafadhali kwani amewadhihaki mno.
nenda instagram ya Suma lee@hakunaga kuna Maalim kamjibu vizuri Manara
 
Mimi nafikiri wewe na Manara ndio sasa mna dharau, tena mbaya. Yaani mnawafikiria hao mnaojifanya kuwatetea ni wajinga wa kiasi cha kulishwa propaganda za kitoto kama hizi na wawatilie maanani?

Utakuwa una jina la Kikristo lkn wewe sio Mkristo. Ukristo na uchochezi ni mbali mbali. Yawezekana ni balehe ndio inakufanya uandike maneno yote haya na kumtaja taja rais as if unazungumza na shemeji yako kuhusu vitafunio hapo kwa dadaako unapoishi.

Mi nakushauri uondoke hapo alikoolewa dadaako, unamnyima shemeji yako uhuru wa kuonesha mahaba kwa dadaako.
 
Upuuzi tu, unatumia kichaka cha dini kuonesha chuki zako binafsi. 'what a shame?
 
Nadhani wewe ni zaidi ya mchochezi kwa kuwa unabisha jambo ambalo kimsingi hulijui na nia yako ni kuleta sintofahamu hapa nchini kwetu.

Huyo hapo ni Haji Manara sasa twambie wapi Jerry alipo kosea

In God we Trust
 
Wote wajinga wajinga tu,sijui kwanini nawewe umeingia kwenye mtego nakuleta Uzi wa kijinga,Jerry na Hajji ni pipa na mfuniko
 
Unazunguka tu huyu raisi wako ndo tatizo, raisi anaokota jalalani wapuuzi kama muro makonda, anawapa vyeo
 
Dah ila kuna dini zinajua kulalamika jamani unawweza hisi ni watu fulani wapole sana wasio na makuu kabisa....sasa wakishaishika nchi kama saudi arabia au iran yani ndo wanavua kofia ya unyonge na kuwa makatili hawajawahi onekana katika uso wa dunia.
 
Hakuna wakristo wa aina yako ndugu,kama una malengo ya kisiasa hapo nakuelewa. Sisi wakristo huwa tuna fikiri kabla hatujafanya/kuandika.

macson
 
Mbona kamtukuza sana tu. Hakuna ubaya kumwambia mtu field yako ni hii kwa hiyo hii nyengine huijui. Kuna ubaya gani hapo?
 
Bora Kinuke tu ila Waisalmu wasimuhurumie DC Jerry Muro kwani hiyo ni Kauli ya Kuwadharau kama siyo Kuwadhihaki sana.
Waislamu hawako wajinga kiasi hicho! Hilo ni jambo dogo sana. Statement ya Muro ina tafsiri mia kidogo. Uislamu unakataza negativity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…