Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

uliwahi kusafiri safari ya somalia kupitia mombasa nini?
 
Mimi ni muislam kama kamkumbusha kwenda kufanya kazi tukufu ni jambo jema Sana Na anapaswa kumshuru alie mkumbusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna dhihaka Mkuu mtu kukumbushwa akafanye kazi tukufu Na adhwim kama fundisha iman ya kiroho madrasa ni kazi tukufu mbele ya muumba mbingu Na nchi Na ashukuru kukumbushwa kurudi kwenye hiyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mkuu kufundisha mtu kumjua vyema mola wake ni jambo la fahari Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wako wa kufikili umeishia happy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwezo wako wa kufikili Upo chini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry Muro amesema Haji Manara ni mtu wa kuiga iga, yeye alipojiita Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, nae Haji Manara akaiga kwa kujiita Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba. Jerry Muro anasema, alimwambia Haji Manara kuwa yeye Jerry Muro amejiita hivyo kwakuwa ana elimu ya kiwango cha Masters na pia ni PhD candidate, yeye Manara hana hiyo Masters abaki akijiita msemaji wa klabu ya simba.

Hapo ndipo mtangazaji akadakia na kumhoji Jerry Muro ataje elimu ya Haji Manara.
Jerry Muro akajibu kwa kusema "MANARA HANA CHOCHOTE ZAIDI YA ELIMU YA MADRASA"

Binafsi nimkumbushe Jerry Muro kuwa hata mufti mkuu wa waislamu Tanzania hana hiyo masters, ana elimu hiyo hiyo ya madrasa, Achunge ulimi wake pindi anapozungumzia masihala ya imani nyingine asizo na elimu nazo.
 
Roho mbaya tu. Upo kama mchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishangaa sana kuona watani...wa kimpira wanaingiza mambo ya udini...ule Ulikua utani wa kimpira tu Manara...na Wewe unataka kuligeuza kuwa jambo kubwaaaa....hatuendi hivyo....Kikubwa watani wanasameheana wakikoseana...na utani wa kimpira kamwe tusiruhusu kuingiza mambo ya kidini
 
Mtoa uzi ni mjinga na wewe umeshindwa kujitofautisha naye, ninyi nyote ni wajinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji Manara naona umeamua kujifungulia uzi, as unaamini JF, hata Mh Dr JPM, anapitia-pitia nyuzi, unategemea fitina zako zitafanikiwa...baada ya press kutopata response ya MIHEMEKO...

Nafikiri sasa Manara umepata picha halisi jinsi watz wengi wanavyokuchukulia...
Reflect

POLE...muosha huoshwa...ukitania utataniwa...

Everyday is Saturday................... 😎
 
iamokay,
Kati ya Watu wote waliojibu na hasa Kuuchangia huu Uzi hadi sasa umefikia Kurasa ya Kumi (10) ni Wewe peke yako ndiyo una uwezo mkubwa sana wa Akili (Uwerevu) kwani umenena vyema na Kujenga Hoja kuliko Wapuuzi wengi waliouchangia huu Uzi Kipuuzi Kipuuzi tupu! Hongera mno Mdau wangu na nimependa huu Uwasilishaji wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…