Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Rais Magufuli ulimtumbua upesi aliyechana Quran, mbona unachelewa Kumtumbua Jerry Muro aliyewadharau Waislamu?

Nawaaminia Waislamu na najua kama Mheshimiwa Rais atashindwa Kumwajibisha DC wake Jerry Muro basi Wao watamuwajibisha kwa namna yao ya Kipekee kabisa na nitashangaa kuona Waislamu wote nchini Tanzania wanalinyamazia hili. Nawakubali sana Waislamu hivyo msiniangushe katika hili na lazima DC Jerry Muro ama awaombeni Radhi haraka au asubiri yale Maombi yenu Maalum na ya Kipekee ya Wakaidi Kwake Allah ( Mwenyezi Mungu ) Msikubali kabisa Waislamu tafadhali.
uliwahi kusafiri safari ya somalia kupitia mombasa nini?
 
Bado nashindwa kuelewa ubaya upo wapi!

Kumtumikia Mwenyezi MUNGU Ni sifa na utukufu Sasa wewe unaona ubaya upo wapi?

Manara juzijuzi amekuwa barozi wa kuhifadhi juzuu Kama sijakosea, Manara amekuwa kalama ya ushawishi kufundisha madrasa atafanya watoto wengi wasome dini, ubaya upo wapi.

Wewe uliyeoba Kuna ubaya ndo ibilisi kabisa imeitoa kulikokusudiwa na kupeleka sehemu nyingine. Muogope MUNGU.
Mimi ni muislam kama kamkumbusha kwenda kufanya kazi tukufu ni jambo jema Sana Na anapaswa kumshuru alie mkumbusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhihaka hiyo angefanyiwa Mkristo nchi ingetulia sasa? Acheni Unafiki DC Jerry Muro amewadhihaki na kuwadhalilisha Waislamu hasa kupitia Walimu wao wa Madrassa. Waislamu wote nchini Tanzania mkilinyamazia hili nanyi sitokuja kuwaelewa tena kwani hapa mmedhihakiwa vilivyo na sasa muda wa Kudhihakiwa hivi ufikie Kikomo. Msikubali ng'o na Sisi Wakristo tunaopenda Haki tutakuwa nyuma yenu kuwaungeni mkono kwani hata Sisi ( Wakristo tunaojielewa ) tumesikitishwa na kukasirishwa sana na Kauli hizi za Kifedhuli za aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC sasa ni Mkuu wa Wilaya Ndugu Jerry Muro.
Hakuna dhihaka Mkuu mtu kukumbushwa akafanye kazi tukufu Na adhwim kama fundisha iman ya kiroho madrasa ni kazi tukufu mbele ya muumba mbingu Na nchi Na ashukuru kukumbushwa kurudi kwenye hiyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuacheni kuongeza chumvi pasipohitajika kufanya hivyo.kauli ya Jerry Muro haina madhara na ni ya kimichezo zaidi wala haina uhusiano na kashfa dhidi ya uislam.Manara aijibu kauli ile kimichezo na si kutafuta huruma ya waislam, Watanzania tuache uchonganishi hautusaidii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Mkuu kufundisha mtu kumjua vyema mola wake ni jambo la fahari Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Haji Manara ni mwislamu wa kabila gani? aliingiaje uislam wakati baba yake Sunday Manara alikuwa mkristu au ndio wale watoto walioteguka na kudai demokrasia kabla ya miaka 18? au siku hizi kuna waislamu wanaitwa Sunday? halafu iweje utani wa Simba na Yanga upelekwe Ikulu wakati Hajis Manara siku hizi kapanda daraja yupo na anaongelea Laliga tu wala sio kubwabwaja na akina Utopolotopolo kama wanavyosikika huko wasafi. mwisho ujumbe wangu kwako Hajis wape salaam zao hiyo tarehe 08/03/2020
Uwezo wako wa kufikili umeishia happy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam ni ushetani, naamini hivyo na iko hivyo,.. Ukitulia vzr na kuzipitia hoja zao,.. Ni wazi kbs waislam ni watu wa shari na sio binadamu wa kawaida,.. Hawako ktk mpango wa Mungu kbs,.. Yaani wanawaza mabaya kila siku, daah!!... Namshukuru Mungu kunifanyia niwe mkristo maana najisikia amani kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wako wa kufikili Upo chini sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jerry Muro amesema Haji Manara ni mtu wa kuiga iga, yeye alipojiita Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, nae Haji Manara akaiga kwa kujiita Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba. Jerry Muro anasema, alimwambia Haji Manara kuwa yeye Jerry Muro amejiita hivyo kwakuwa ana elimu ya kiwango cha Masters na pia ni PhD candidate, yeye Manara hana hiyo Masters abaki akijiita msemaji wa klabu ya simba.

Hapo ndipo mtangazaji akadakia na kumhoji Jerry Muro ataje elimu ya Haji Manara.
Jerry Muro akajibu kwa kusema "MANARA HANA CHOCHOTE ZAIDI YA ELIMU YA MADRASA"

Binafsi nimkumbushe Jerry Muro kuwa hata mufti mkuu wa waislamu Tanzania hana hiyo masters, ana elimu hiyo hiyo ya madrasa, Achunge ulimi wake pindi anapozungumzia masihala ya imani nyingine asizo na elimu nazo.
 
Roho mbaya tu. Upo kama mchawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishangaa sana kuona watani...wa kimpira wanaingiza mambo ya udini...ule Ulikua utani wa kimpira tu Manara...na Wewe unataka kuligeuza kuwa jambo kubwaaaa....hatuendi hivyo....Kikubwa watani wanasameheana wakikoseana...na utani wa kimpira kamwe tusiruhusu kuingiza mambo ya kidini
 
Nyie waislam sasa ni ukoma sugu,.. Hivi nyie watu roho zenu ni za aina gani na huyo Mungu wenu ni Mungu wa aina gani, mbona ni wakorofi na msiyechoka kutafuta migogoro, malumbano, kila kukicha,.. Hayo mapepo yenu yanastahili yabaki huko baharini. Yaani nyie kila kukicha dunia nzima mnawaza kukorofishana,... Mara mfumo Kristo, mara hili mara lile,.. Hapo alipotukana uislam ni wapi,.. Huyo Manara hakumwambia Nugaz ameiingilia mpira taaluma asiyoijua arudi kwenye mapori akafanye anachokijua?.... Muro kumkumbusha Manara akawasaidie watu kwa elimu yake ya madrasa ni kuutukana uislam? Wewe kama ulipata cheti kinachoonyesha umepitia skuli, ni zero kbs. Waislam mna matatizo makubwa sana, mnataka watu wasikohoe, wala wasitamke neno uislam,.. Nyie ni viumbe vya aina gani,.. Na dunia leo inakua sio mahala pema penye amani tena ni kwasababu yenu nyie watu, shetani ana wa drive vizuri sana,.. Me naamini wote tungekua na mafundisho ya krikrito hapa duniani pangekua na amani nzr na ya ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa uzi ni mjinga na wewe umeshindwa kujitofautisha naye, ninyi nyote ni wajinga!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji Manara naona umeamua kujifungulia uzi, as unaamini JF, hata Mh Dr JPM, anapitia-pitia nyuzi, unategemea fitina zako zitafanikiwa...baada ya press kutopata response ya MIHEMEKO...

Nafikiri sasa Manara umepata picha halisi jinsi watz wengi wanavyokuchukulia...
Reflect

POLE...muosha huoshwa...ukitania utataniwa...

Everyday is Saturday................... 😎
 
iamokay,
Kati ya Watu wote waliojibu na hasa Kuuchangia huu Uzi hadi sasa umefikia Kurasa ya Kumi (10) ni Wewe peke yako ndiyo una uwezo mkubwa sana wa Akili (Uwerevu) kwani umenena vyema na Kujenga Hoja kuliko Wapuuzi wengi waliouchangia huu Uzi Kipuuzi Kipuuzi tupu! Hongera mno Mdau wangu na nimependa huu Uwasilishaji wako.
 
Back
Top Bottom