Ajira may be 7m.
Jiulize reli ya Tanga vijana wangapi wanafanya, wanakula nini wanalala wapi
Mama ntilie hana shamba ananunua wapi mahitaji, hayo mahitaji yanasafirishwa yaani ni chain hadi kwa mkulima na muuza mbolea.
Haya reli zingine pia ya Dar isaka, reli ya umeme, bwawa la umeme bado hujaelewa tu na kuwa mwenyeji wa hazina!?
Acha ushamba.
Je una habari Dodoma tu kuna wafanyakazi wa serikali wamehamia 15,000
Huoni sector ya ujenzi ime boom wewe uko hazina tu.
Drs wameajiriwa
Sometimes we have to be real.